Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,933
- 10,557
Mtuachie jiji letu kila siku kuuponda tu mji wetu cha kushangaza kila siku mnamiminika kuja mwanza kilichowashinda huko kwenu si uhaba wa fursa ndio maana mnakimbilia kwetu
Kula chips kwa tooth pick usisahau haa haa aaaaKama sifa mojawapo ya kuwa jiji ni wanaume wazima kuwakimbia panya badala ya kukabiliana nao acha tu tuendelee kuwa kijiji.
Kama sifa mojawapo ya kuwa jiji ni maduka makubwa kama mitaa na mwanaume mzima kumuita mwanaume mwenzio bilionea kwa sababu anaendesha forester na akaunti ya milioni 2 benki acha tu tuendelee kuwa kijiji.
Kwani dar na arusha zina hadhi gani!?...hamna mji wa maana bongo hii kigezo kikubwa cha kuwa jiji hapa ni wingi wa watu tuHuu mji mkubwa mbona unaniangusha sana? Mbona hauna hadhi kama Dar au Arusha?

Juzi nikiwa hapa kikazi, nikapata mail nimekuwa admitted kwenye chuo fulani hivi , ambapo walikuwa wanaitaji nifanye mtihani wa kuangalia proficiency yangu ya kiingereza, IELTS. Kwakuwa nimebanwa, nikajua mwanza nalo jiji nikaingia online, naona centers ni Dar na Arusha tu. duh!

Basi nikaona sitaweza, nikaamua nikapumzike basi ata movie theatre, holla, nikauliza hata ka Nakumatt mwanza hamna? Very dissapointed na hiki kijiji. Hivi mnaliita jiji kwa maana gani lakini? arghh mbona arusha mji mdogo lakini upo very international mnamatatizo gani nyie mangosha?
Tanzania yote Ni Kijiji.Huu mji mkubwa mbona unaniangusha sana? Mbona hauna hadhi kama Dar au Arusha?

Juzi nikiwa hapa kikazi, nikapata mail nimekuwa admitted kwenye chuo fulani hivi , ambapo walikuwa wanaitaji nifanye mtihani wa kuangalia proficiency yangu ya kiingereza, IELTS. Kwakuwa nimebanwa, nikajua mwanza nalo jiji nikaingia online, naona centers ni Dar na Arusha tu. duh!

Basi nikaona sitaweza, nikaamua nikapumzike basi ata movie theatre, holla, nikauliza hata ka Nakumatt mwanza hamna? Very dissapointed na hiki kijiji. Hivi mnaliita jiji kwa maana gani lakini? arghh mbona arusha mji mdogo lakini upo very international mnamatatizo gani nyie mangosha?
Unadhani Mwanza kutokuwa na hivo ulivovitaja ndo vigezo vya kuwa / kutokuwa jiji?
Good point. Mleta mada mshamba Sana.Kwani dar na arusha zina hadhi gani!?...hamna mji wa maana bongo hii kigezo kikubwa cha kuwa jiji hapa ni wingi wa watu tu
Kwa hiyo Mwanza hakuna movie theater kwa sasa...?Hafhi ya jiji ni psmoja na kuwa huduma zote muhimu hasa mawasiliano nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivo anavyovihitaji vyote vipo...Tanzania yote Ni Kijiji.
Hata huko unakosema Kuna movie theaters Ni Kijiji pia.
Mipango miji Tanzania nzima Ni hovyo hovyo.