MTAZAMO
Platinum Member
- Feb 8, 2011
- 19,990
- 34,838
nipo huku daraja II aisee kuna ma Apartment yamepangika, halafu ni full mkeka tu maeneo yote...
Hahahaha.......haya bana ....
nipo huku daraja II aisee kuna ma Apartment yamepangika, halafu ni full mkeka tu maeneo yote...
tuacheni na mwanza yetu anayeona hapafai ahame...........
tuna hospitali kubwa kuna wengine hawana,
cinema zilikuwepo tivoli na liberty kwa sasa tumeamua kupumzika maana kuna vitu vinakuja RCmall.
tuna beaches wengine hawana
tuna bandari wengine hawana
wa pili kuchangia pato la taifa,
tuna mbuga mjini wengine mpaka wazitafute porini
uwanja wetu wa ndege ni wa tatu kwa ubusy tz
tuna media kubwa tz
tuna population kubwa,
tuna ziwa,
kuna club za kisasa
tuna uwanja wa mpira mzuri
tuna soko kubwa la samaki
nk
mbona sisi hatuchongi IELTS centre sisi kiingereza cha nini hatuna watalii huku ni kisukuma na kiswahili, watalii wakija hao IELTS watakuja tu
Huu mji mkubwa mbona unaniangusha sana? Mbona hauna hadhi kama Dar au Arusha?

Juzi nikiwa hapa kikazi, nikapata mail nimekuwa admitted kwenye chuo fulani hivi , ambapo walikuwa wanaitaji nifanye mtihani wa kuangalia proficiency yangu ya kiingereza, IELTS. Kwakuwa nimebanwa, nikajua mwanza nalo jiji nikaingia online, naona centers ni Dar na Arusha tu. duh!

Basi nikaona sitaweza, nikaamua nikapumzike basi ata movie theatre, holla, nikauliza hata ka Nakumatt mwanza hamna? Very dissapointed na hiki kijiji. Hivi mnaliita jiji kwa maana gani lakini? arghh mbona arusha mji mdogo lakini upo very international mnamatatizo gani nyie mangosha?
Daktari akikuandikia dawa jitahidi umalize dozi,ulikimbia wodini kumbe haujapona vizuri. Umekimbiia huku kuandika upuuzi. Hoja yako toka mwanzo kwa sisi tunaoelewa tunajua umeandika kwa mapenzi. Siku nyingine kama huna cha kupost kaa kimya, unajidharirisha bure.Huu mji mkubwa mbona unaniangusha sana? Mbona hauna hadhi kama Dar au Arusha?

Juzi nikiwa hapa kikazi, nikapata mail nimekuwa admitted kwenye chuo fulani hivi , ambapo walikuwa wanaitaji nifanye mtihani wa kuangalia proficiency yangu ya kiingereza, IELTS. Kwakuwa nimebanwa, nikajua mwanza nalo jiji nikaingia online, naona centers ni Dar na Arusha tu. duh!

Basi nikaona sitaweza, nikaamua nikapumzike basi ata movie theatre, holla, nikauliza hata ka Nakumatt mwanza hamna? Very dissapointed na hiki kijiji. Hivi mnaliita jiji kwa maana gani lakini? arghh mbona arusha mji mdogo lakini upo very international mnamatatizo gani nyie mangosha?
Hahahah majiji yanazidiana hata Dar na Arusha ni tofaut na Nai na Cairo I ngawa kote kuna huduma unazotakaIshu siyo geographia na demographics na population etc, ishu ni kwamba sioni kama nipo kwenye modern , urbanised city! bora mara mia Arusha. Yani naona kama nipo nje kabisa disconnected na dunia. Hovyo kabisa. watu hawana ile ata urban taste. Dissapointing.
Kutokuwa na IELTS centre ndio sababu ya sehemu isiwe jiji? Mbona Arusha na DSM palianza itwa majiji kabla ya hizo centres!! Kweli ushamba mzigo miaka michache tu nyuma watu tulienda Nairobi na Kampala kutafuta hizo scores. Hiyo Nakumath Dar imeanza lini? Haya ndio matatizo ya kuja mjini ukubwani so hapo unajiona mjaanja!
Dar hii hii? labda posta, masak and the like zisoge hadi KimaraKelele wewe... dar inafananishwa na paris dubai kuala lampur sao paulo jeddah tokyo etc...
Mwanza haina tofauti na tosamaganga
Watu humu wanaoponda jiji la Mwanza ni kutokana na uelewa wao duni. Kuna majiji mengi duniani ambayo ni makubwa sana lakini hayawezi kufanana na miji mingine kutokana na aina ya specialisation. Miji ya kiviwanda na madini mara zote huwa haina mvuto kama miji ya kibiashara hasa financial centres. Ni kwa mantiki hiyo, huwezi kulinganisha miji ya kiuzalishaji dhidi ya miji ya kihuduma. Miji ya Mwanza na Mbeya, ni ya kiuzalishaji zaidi kulinganisha na ya Arusha na Dodoma ambayo ni ya kihuduma.Pole sana, sasa chuo gani waliokuchukua yaani hujui hata vigezo vya jiji! tatizo mnatokea nyumbani umekariri kuwa jiji liko hivi, pole sana hata Dar nina hakika hujaa siku nyingi ni ulitembezwa na kupata uliyoyasema basi umeona ndio mwisho wa mambo. Mie niko Mwanza karibu tukuonye jiji letu! au ulifikia kijiji cha Ilula ukajua ndio Mwanza mjini!!!
Huu mji mkubwa mbona unaniangusha sana? Mbona hauna hadhi kama Dar au Arusha?

Juzi nikiwa hapa kikazi, nikapata mail nimekuwa admitted kwenye chuo fulani hivi , ambapo walikuwa wanaitaji nifanye mtihani wa kuangalia proficiency yangu ya kiingereza, IELTS. Kwakuwa nimebanwa, nikajua mwanza nalo jiji nikaingia online, naona centers ni Dar na Arusha tu. duh!

Basi nikaona sitaweza, nikaamua nikapumzike basi ata movie theatre, holla, nikauliza hata ka Nakumatt mwanza hamna? Very dissapointed na hiki kijiji. Hivi mnaliita jiji kwa maana gani lakini? arghh mbona arusha mji mdogo lakini upo very international mnamatatizo gani nyie mangosha?
Vijinaume-jike vya Daslam utavijua tu, eti mwanza kijiji!!Huu mji mkubwa mbona unaniangusha sana? Mbona hauna hadhi kama Dar au Arusha?