Hivi Mwanza nalo Jiji?

Hivi Mwanza nalo Jiji?

dopeboy

Senior Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
121
Reaction score
100
Huu mji mkubwa mbona unaniangusha sana? Mbona hauna hadhi kama Dar au Arusha?

Juzi nikiwa hapa kikazi, nikapata mail nimekuwa admitted kwenye chuo fulani hivi , ambapo walikuwa wanaitaji nifanye mtihani wa kuangalia proficiency yangu ya kiingereza, IELTS. Kwakuwa nimebanwa, nikajua mwanza nalo jiji nikaingia online, naona centers ni Dar na Arusha tu. duh!

Basi nikaona sitaweza, nikaamua nikapumzike basi ata movie theatre, holla, nikauliza hata ka Nakumatt mwanza hamna? Very dissapointed na hiki kijiji. Hivi mnaliita jiji kwa maana gani lakini? arghh mbona arusha mji mdogo lakini upo very international mnamatatizo gani nyie mangosha?

Usituletee siasa za EL akiwa CCM aliitwa Waziri Mkuu Aliyejiuzulu sasa kahamia CDM anaitwa Waziri Mkuu Mstaafu.

Kama sifa mojawapo ya kuwa jiji ni wanaume wazima kuwakimbia panya badala ya kukabiliana nao acha tu tuendelee kuwa kijiji.
Kama sifa mojawapo ya kuwa jiji ni maduka makubwa kama mitaa na mwanaume mzima kumuita mwanaume mwenzio bilionea kwa sababu anaendesha forester na akaunti ya milioni 2 benki acha tu tuendelee kuwa kijiji.

Huu mji mkubwa mbona unaniangusha sana? Mbona hauna hadhi kama Dar au Arusha?

Juzi nikiwa hapa kikazi, nikapata mail nimekuwa admitted kwenye chuo fulani hivi , ambapo walikuwa wanaitaji nifanye mtihani wa kuangalia proficiency yangu
ya kiingereza, IELTS. Kwakuwa nimebanwa,
nikajua mwanza nalo jiji nikaingia online, naona

centers ni Dar na Arusha tu. duh!

Basi
nikaona sitaweza, nikaamua nikapumzike ba
si ata movie theatre, holla, nikauliza hata ka
Nakumatt mwanza hamna? Very dissapointed
na hiki kijiji. Hivi mnaliita jiji kwa maana gani
lakini? arghh mbona arusha mji mdogo lakini
upo very international mnamatatizo gani nyie
mangosha?
kapimwe akili kwanza ushamba wako harafu unalaum jiji!! nyana!

Huu mji mkubwa mbona unaniangusha sana? Mbona hauna hadhi kama Dar au Arusha?

Juzi nikiwa hapa kikazi, nikapata mail nimekuwa admitted kwenye chuo fulani hivi , ambapo walikuwa wanaitaji nifanye mtihani wa kuangalia proficiency yangu ya kiingereza, IELTS. Kwakuwa nimebanwa, nikajua mwanza nalo jiji nikaingia online, naona centers ni Dar na Arusha tu. duh!

Basi nikaona sitaweza, nikaamua nikapumzike basi ata movie theatre, holla, nikauliza hata ka Nakumatt mwanza hamna? Very dissapointed na hiki kijiji. Hivi mnaliita jiji kwa maana gani lakini? arghh mbona arusha mji mdogo lakini upo very international mnamatatizo gani nyie mangosha?

wewe kweli ni dope

Elimu ya Darasa la Tano ya Kutambua Jiji, Mji, Manispaa etc inakushinda halafu unajifanya mwanachuo.. fikiria kabla ya kutoa thread... kwa akili yako ungekuwa unafikiria wala usingejiunga na JF na kama ulivyojiunga basi ubaki kusoma comments na thread za GTs tu.

Back
Top Bottom