- Thread starter
- #21
Elimu ya Darasa la Tano ya Kutambua Jiji, Mji, Manispaa etc inakushinda halafu unajifanya mwanachuo.. fikiria kabla ya kutoa thread... kwa akili yako ungekuwa unafikiria wala usingejiunga na JF na kama ulivyojiunga basi ubaki kusoma comments na thread za GTs tu.
Ishu siyo geographia na demographics na population etc, ishu ni kwamba sioni kama nipo kwenye modern , urbanised city! bora mara mia Arusha. Yani naona kama nipo nje kabisa disconnected na dunia. Hovyo kabisa. watu hawana ile ata urban taste. Dissapointing.