Hivi mwanaume unakosaje gari jamani?

Hivi mwanaume unakosaje gari jamani?

Mkuu sasa unaanza kukufuru kwaiyo unaona watu wasiokuwa na usafiri ni kutikana na ujinga wao sio? Basi kwa Watu wenye Iman wanaamini ya kuwa Mali na Maisha mazuri mtoaji ni MwenyeziMungu na humpa amtakaye ?wangapi ktk Matajiri wakubwa ambao wameishia Darasa 7,Fm 4 na wengine hawajasoma Kabisa Njoo Green City uone haya!!
Alafu kujigamba ktk mitandao kwamba unagari au Nyumba Nzuri au Maisha yako ni Mazuri huo ni Ushamba na Ulimbukeni lini umemsikia mtu kama Bakhresa akijisifia kwenye Mitandao ya kijamii
Umaskini ugonjwa mbaya sana
 
Sorry we ni mchungaji. Mbona hauna haiba ya akina lusekelo and co.
 
Umaskini ugonjwa mbaya sana
Nyie mnajulikana kwa Masifa hata pale chuoni SUA kuna Dkt. alikuwa anajisifu sana kwamba yeye anafedha za kutosha ikawa anauliza maswali darasani watu wakijibu hasahasa Ladies anawapa fedha haoni hasara kutumia laki 1 au 2 kugawa ili tu asifiwe naona mkuu na wewe ndo unafuata nyenendo zake!!!
 
Ktk dunia hili tabu ya nn kumilki mavitu
Yote ni mizigo tu.
Miliki hela kwa kiwango cha furaha yako
Yooote utaona ni ubatili
Itakusaidia
1-kutoiba
2-kutozini
3-kutotamani Mali ya MTU mwingine
5-kutotamani make wa MTU mwingine
 
hahah naona umeliamsha dude!! sijui walikufungia wapi aisee
 
Gari sio asset....ni JENEZA TU hilo....tena inaonyesha km unalo hilo gari basi hata KIWANJA huna...tena inaonyesha ndy. Nyie mkizeeka MNASUMBUWA DADA zenu.....pakukaa hamna
 
Andiko la mtoa mada limekaa kama vile yeye ni KE na ana hasira na mwanaume aliyemchukua kwenye bajaj halafu baada ya kumbanjua akamwachia elfu tano tu. Angesema mwanamume anatakiwa awe na bidii ya kujenga nyumba tungemwelewa. Lakini gari? Gari jeneza. Tena gari ni mfilisi. Wewe mto mada ungekuwa unajua namna gari inavyoweza kuwa inatumia pesa hata kuliko familia usingeandika ulichoandika.
 
Nunua gari utailaza kituo cha polisi, ofisi za CCM, "shell"
 
We ujinga wako wa kibiashara huo peleka huko nina kazi nalipwa elfu arobaini kwa mwezi sa gari la makuti nanunua?! We kufikiri ni zero kumbe!?!
Sio kosa langu mimi wewe kuwa house girl. Wakati tunasoma nyie mlikuwa mnafanya nini.
.
images-19.jpeg
 
Back
Top Bottom