Michael lusato
Member
- May 25, 2019
- 60
- 174
Mtalii gani ataenda kung'atwa na Ndorobo si bora aende SerengetiWeweeeeeeeee mle maporini kuanzia Kimisi uje Burigi uje Biharamulo kuna wanyama kwa maelfu sasa unasemaje sio asili yao? Kuna simba mle wameshakula watu na mifugo ya watu balaaaaaaaa bluuuuuuuu mpaka waliuwawa na wanakijiji, hawa wanyarwanda ndio waliharibu kuchungia mifugo mle
Ila pundamilia wapo tele na twiga wa kumwaga kabisa mle wamo
Hii ni awamu ya uzinduzi kuna siku tutasikia wanazindua mlima Kilimanjaro.
Nadhani na Waingereza.Serengeti ilizinduliwa lini?
Ova
Kwani burigi ni wilaya?Hapana haitawekezana , nadhani ingekuwa busara zaidi watumie neno Burigi badala ya Burigi-Chato kama Ilivyo Serengeti au Ruaha Hifadhi hizi zimejumuisha Wilaya kadhaa kuweka Wilaya moja inaonekana ni Upendeleo!
Nmecheka sanaaaNatatizwa mno na utimamu wa akili wa ndugu zetu wanaoongoza serikali ya Awamu ya 5...
Baada ya vituko lukuki na matukio ya hovyo sasa wameamua eti kwenda "kuzindua" mbuga ya wanyama - hivi mtu anazinduaje mbuga? Kwanini hao wanyama hawakupajua hapo kabla?
And by the way, wanyama wamealikwa?
Kama wanyama hawajaalikwa na hawatashiriki ndo hapo tujiulize kati ya walengwa ambao ni wanyama na wazinduaji nani ana akili...na nani ni zero brain, mxieeew!
Tulisha yazoea,,haya ni ManyumbuJpm anawaleleka puta sana hadi mnashindwa muandike nini
Ung'watwaji na madondoro ndio utalii wenyewe huo, upo kwenye kipengele cha utalii wa hisia kali.Mtalii gani ataenda kung'atwa na Ndorobo si bora aende Serengeti
Ilikuwa inajulikana tokea enzi na enzi labda kama inapandishwa daraja kutoka kwenye hifadhi.Kwann kabla ya hapo hiyo mbuga ilikua inajulikana rasmi???
Hahaha haaa na huku waje wazindue Milima ya uluguru