Hivi mtu anazinduaje Mbuga?


Ok sawa mkuu
 
Waachie wenye kazi zao mjomba. We fanya yako. Ukiona unaumizwa na jambo ambalo halina madhara yoyote kwako jua una maradhi yanakutafuna taratibu. Wahi hospital
Aachie wenye kazi yao yeye abaki ni kulipa kodi tu,asiulize hata matumizi yake,sindiyo mkuu?
 
Kuna siku moja mwehu katika soko la Igalula, alikuwa anawashangaa wenye akili timamu na akawaita kuwa hawana akili; nilitafakari sana mwisho nikakubali kuwa yupo sahihi kwa upande wake.
 
Imeandikwa kiswahili na hujaelewa, umenisoma juu nilichoandika? Nimeandika hata saadani aliianzisha Kikwete, aliizindua? Use at least 20% of your common sense!! Utaelewa!

Unaandika pumba kwa sababu ya fake ID. Anyways siwezi kuchoka kukusimulia.

Lugha inatofautiana kipindi hadi kipindi. Sadani imekuwepo kabla hata ya Kikwete na hao Wanyama walikuwemo. Kuanzisha linaweza tumika pia kama kuzindua ( Inategemea na mwandishi).

Hii ya Burigi Chatto - JPM na viongozi wenzake wamepeleke Wanyama na kuzindua/Kuanzisha rasmi. Nahuko ndiko kutangaza utalii.
 
Watanzania na waafrica in totally tunahitaji kufanyiwa, brain transformation.... Kuzindua mbona kama siyo big deal? Mbona sioni siasa hapo tofauti na ulicho kisema?

Rais aende akatalii aende na waandishi wa habari kabisa like serious hahaha big jok mkuu, kuanzisha kampeni ni gharama na upigaji wa hela tu hakuna jipya hapo..... Bora alivyo zindua
 
Mkuu naomba usishangae kabisa.. Watu wa jamii za kule wanaweza kuzindua hata baiskeli au mashine y kusaga..
Tena gharama za tukio zikawa kubwa kweli kweli kuliko hata kipato cha mzinduaji..!!
Naomba tu mjiandae kisaikolojia; kule Chato shughuli za uzinduzi zitakuwa baab-kubwa na zaidi ya yote jukwaa la kuwaponda wote wenye wivu, "mabeberu na mawakala wao"!

My take: kwa kuwa hii ni awamu ya washamba... hakuna maajabu tutaacha kushuhudia.. And very soon watazindua Ziwa Victoria!
 

Nimecheka hadi tumbo limeuma
 
Good thinking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…