GANJIBHAAI
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 781
- 2,027
Kwa dalili hizi 9 bado moja tu kesho sio Idd, kama kawaida yake mtoto Idd...š
Huyu jamaa ndio mtu ovyo kuwahi kutokea.Ngoja Mufti amalize kifuturu. Kuna kisomo Cha kuuvuta mwezi
anajishauri yaani yeye ndio ana amua mtasherehekea liniHuyu jamaa ndio mtu ovyo kuwahi kutokea.
Hashindwi kukurupuka baada ya shibe ya magimbi akasema Eid Jumanne.
Na saahizi umeshatoweka kama hawajauona ni kasheshe kutofautiana siku mbili na sunni ni kipengeleTusipende kutoa lawama kwa mufti tuwe tunakodoa macho kuuangalia wenyewe
We jamaa ššBado mufti hajapata hela ya kununua mbuzi na abaya ya mkewe. Pesa ikipatikana atatangaza. Kuweni na utulivu
Kesho mkuuWakuu mwenye taarifa rasmi kutoka BAKWATA kama mwezi umeonekana ama la. Wengine hatutaki ugomvi na mabos wetu kesho.
Asante sana mkuu unajua sisi tunasikiliza tamko tuKesho mkuu
Ameshatangaza mbonaWakuu mwenye taarifa rasmi kutoka BAKWATA kama mwezi umeonekana ama la. Wengine hatutaki ugomvi na mabos wetu kesho.
Unaharisha sanašMe nimesafiri kabisa tangu ijumaa, hapa naskilizia itakuaje... isipokua kesho sijui namwambia nini boss ššššš
BAKWATA ni mithili ya UWT, ni tawi la CCM.Ahahha hapo
anajishauri yaani yeye ndio ana amua mtasherehekea lini