Hivi mpaka muda hii hakijaeleweka tu? Idd ni lini?

Sio lazima kumfuata mufti fuata Qur'an na hadithi
Qur'an 4:59 inasema:
"Enyi walioamini, mti Allah, na mti Mtume wake, na wale walio na mamlaka miongoni mwenu"
Ni muhimu kuwasikiliza viongozi as long as hawawamrishi kufanya maovu au dhuluma
 
Ushasema "kama hawawaamrishi kufanya maovu"

Sasa kama wanaifuata ccm siyo lazima kumfuata mufti wewe kodoa macho ukiuona kula sikukuu lawama za nini?
 
Mufti ndio kiongozi wetu waislam humu Tanzania ..hivi wewe una elimu ya dini kuliko Mufti ... Na mufti aliwahi lini kuamrisha watu kufanya maovu ...kuhusu serikali za kidhalimu uislamu sahihi haifundishi uhanarakati wa kufanya mapinduzi bali kutoa elimu sahihi kulingana na sunna na quran ...
 
Kwahiyo mkuu mimi kama nilikodoa macho jana nikauona mwezi na Leo sikufunga nikala wewe na sheikh wako zubeli mtakuja nikamata?
 
Wakuu mwenye taarifa rasmi kutoka BAKWATA kama mwezi umeonekana ama la. Wengine hatutaki ugomvi na mabos wetu kesho.
Mwanangu kesho masheikh ubwabwa wanatembea na ndizi kwenye mifuko ya kanzu!
IMG-20250330-WA0017.jpg
 
Back
Top Bottom