Hivi Mgao umeanza tena kimyakimya?

Hivi Mgao umeanza tena kimyakimya?

Ulitegemea nini mwenye kiwanda cha kutengeneza uongo Kikwete amefuzu kozi akawaachia akina Pinda Muhongo bila aibu bungeni walisema hakutakuwa na mgao lakini Dar es Salaam kuna mgao wa umeme ni masaa matano mpaka kumi na mbili kila siku,nchi ya wagagagigogo

Inawezekana maeneo yenu yapo kwenye maboresho kama wanavyotangaza kila siku.Mimi nipo hapa Dar,tena uswahilini, mgao nausikia kwenu
 
Inawezekana maeneo yenu yapo kwenye maboresho kama wanavyotangaza kila siku.Mimi nipo hapa Dar,tena uswahilini, mgao nausikia kwenu
Matengenezo siku hizi yanafanywa kwenye vyumba au mashimo si tungeona kwa macho hayo matengenezo hakuna kitu cha aina hiyo ni mgao majambazi wa kutumia rasimali hovyo wamesha kunywa fedha za mafuta,badala yakutafuta vyanzo vingine vya umeme wao wamekazana iweje iwe coincedence kazini kwangu iwe hivyo nyumbani pia
 
sijajua kama kuna mgawo au la maana hata huku iringa jana umeme ulikatwa toka asubuhi ukarudi saa moja jioni bila taarifa wala nini.........ngoj tusubiri ...TIME WILL TELL
 
Huku wilaya ya kahama ndio usiseme leo unawaka kesho unakatika duu ni balaa tupu!
 
Ulitegemea nini mwenye kiwanda cha kutengeneza uongo Kikwete amefuzu kozi akawaachia akina Pinda Muhongo bila aibu bungeni walisema hakutakuwa na mgao lakini Dar es Salaam kuna mgao wa umeme ni masaa matano mpaka kumi na mbili kila siku ,nchi ya wagagagigogo

Na maboresho yanayofanywa nchima ya kubadili nguzo za umeme zilizochakaa hujayasikia? au ndio wewe uko kiwandani?
 
jana nimeona startv tagazo la Tanesco kukanusha vikali kuwa hakuna na hakutakuwa na mgao
ni danganya toto ama?
 
Mtera Hakuna maji, tunatengeneza mitambo..., mafuta mazito yamekwisha.., hitalafu ya mitambo.., tunabadilisha nguzo..n.k.

Different Cast same Script
 
siyo kweli،hakuna mgao،tatizo ni uboreshaji wa njia،siyo lazima zi
rekebishwe eneo ulilipo,.

hapa nilipo kuna send off ya mate wangu, umeme umekatika tangu saa 3. Sasa hivi tunatumia generator na hakuna taarifa za kwamba kuna marekebisho ya nguzo kwenye line hii. kitendo cha kuwatishia mafisadi kwa maneno hakitatupeleka kokote!
 
Waongo sana hawa.MUDA huu tabora nzima haina Umeme Bila sababu Ni saa 5.36 usiku sasa
jana nimeona startv tagazo la Tanesco kukanusha vikali kuwa hakuna na hakutakuwa na mgao
ni danganya toto ama?
 
Tanesco wekenu mambo sawa, hii tabia yakutuzuga kuna matengenezo na hakuna mgao, haiwasaidii na inatukera!
 
Wanawaponda waandishi wa habar kwa kupotosha watu kuwa kuna mgao wa Umeme....
hili swala ni kwel kuna mgao wa chini chini ...eti wanasema wanabadilisha nguzo...inakuingia akilini umeme kukatwa saa 6 usiku???? nguzo gani wanabadilisha usiku???
MJUMBE AUWAWI....
 
Wanawaponda waandishi wa habar kwa kupotosha watu kuwa kuna mgao wa Umeme....
hili swala ni kwel kuna mgao wa chini chini ...eti wanasema wanabadilisha nguzo...inakuingia akilini umeme kukatwa saa 6 usiku???? nguzo gani wanabadilisha usiku???
MJUMBE AUWAWI....

Yawezekana ilitokea imergency; kwani wewe uliambiwa kuwa kuna ratiba ya kubadirisha nguzo mbovu usiku?
 
Back
Top Bottom