Hivi Mgao umeanza tena kimyakimya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Mgao umeanza tena kimyakimya?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Jul 11, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,373
  Likes Received: 8,495
  Trophy Points: 280
  Wadau niko Morogoro mji mzima hakuna umeme ni zaidi ya saa mbili sasa napenda kujua mgao wa umeme umeanza??
   
 2. Kwaroz

  Kwaroz Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kwa arusha na moshi leo ni siku ya pili na mpaka sasa hakuna umeme na inawezekana kuna mgao au hitilafu ya karibu nchi nzima
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mi mwenyewe nashangaa.......Chugga City no stima....nini hii sasa.....?
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Arusha toka saa kumi na mbili hakuna umeme hadi saizi na hatuna matarajio yoyote mpaka saizi ya kurudi umeme na mbaya zaidi hakuna taarifa yoyote kwa umma nini kinachoendelea.
   
 5. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145

  Hapo ndipo jinamizi la kuichukia serikali ya mabwepande inapozidi kupanda. Kila kitu ni kukanusha tu hata ambayo yapo wazi.
   
 6. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hata arusha mkuu..kwaanzia saa 12 asbuhi..
   
 7. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,373
  Likes Received: 8,495
  Trophy Points: 280
  Kunani jamani humu JF hakuna mfanyakazi wa Richmond atujuze? Au mafuta ya Diwans yameisha
   
 8. k

  kimeloki JF-Expert Member

  #8
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 1,926
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  yaleyale.
   
 9. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ni saku ya pila mfululizo sasa hapa Jiji la arusha na viunga vyake likogizani hakuna meme na Tanesko hawajatoa taarifa yoyote juu ya nini kinaendelea.mwanzo walikata baadhi ya maeneo sasa hivi ni jiji zima.
   
 10. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,530
  Likes Received: 10,442
  Trophy Points: 280
  huku tunduma tokea saa mbili asubui mpaka dakika hii giza.!
   
 11. ikuo

  ikuo Member

  #11
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  mwanza tangu saa tano usiku mpaka sasa, hamna taarifa zozote toka tanesco nchi inaoza kila idara sijui mjengoni wamesema lolote. Tujuzeni mlioko huko.
   
 12. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kifupi hali ni mbaya sana na hakuna taarifa ya msingi juu ya nini kimetokea. Naona kamati inajipanga juu ya propaganda juu ya hili jambo.
   
 13. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #13
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,996
  Likes Received: 2,651
  Trophy Points: 280
  Hii ni njia nyingine ya kutengeneza ulaji.
   
 14. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #14
  Jul 11, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mkuu upo mitaa ya wapi? Mbona huku nilipo haujakatwa?
   
 15. john tongo

  john tongo JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Symbion at work
   
 16. Mbelwa Germano

  Mbelwa Germano JF-Expert Member

  #16
  Jul 11, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 789
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nipo USA-Ar hakuna umeme toka jana...sijui tatizo nini, Barbra masudi naona analishwa propaganda za kutueleza kupitia vyombo vya habari.
   
 17. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #17
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Labda upo line ya Malongo wewe lakini hali ni mbaya babaaaaaa,
   
 18. W

  Welu JF-Expert Member

  #18
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 815
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Mbeya, ileje, mbozi tangu asubuhi hakuna umeme.
   
 19. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,245
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Rocky city mpaka usiku huu hakuna Stima!
  Mwenye kaya anajirusha majuu! Allah ampe nini..Mabusha!
   
 20. M

  Mbilimbili Senior Member

  #20
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huku njiapanda Himo tokea saa 3 na nusu asbh hadi time hii full giza, jana pia saa 12 hv jioni hadi usiku wa manane ndio wamerudisha. Nilijua Ngeleja kichefuchefu lkn huyu waziri mpya ni balaa zaidi.
   
Loading...