Hivi mambo ya Ulinzi ya Muungano inakuwaje Rais wa Zanzibar badala ya Makamu wa Rais anawakilisha Jamhuri?

Mimi nilishasema huyu makamu wa rais wa bara ni kama hazipo sawa kichwani.

Kumbe wengi mnamuona kama mimi? 😄😄
Hajamtuma kutokana na cheo chake cha urais wa Zanzibar, bali kamtuma kwa Utanzania wake na kwa uzoefu wake wa mambo ya ulinzi.

Rais angetaka angeweza kukutuma hata wewe kama unaufahamu wa hayo mambo maana na wewe ni raia kama Hussein Mwinyi
 
Hajamtuma kutokana na cheo chake cha urais wa Zanzibar, bali kamtuma kwa Utanzania wake na kwa uzoefu wake wa mambo ya ulinzi.

Rais angetaka angeweza kukutua hata wewe kama unaufahamu wa hayo mambo maana na wewe ni raia kama Hussein Mwinyi
Naelewa hilo mkuu... Fikiria angetumwa Philip mpango vile angeenda kuchekacheka bila kuongea chochote 😄
 
Na hiyo mikutano ya huko agenda kubwa ni security kutokana na insurgency ya ISIS northern mozambique ambayo imepakana na TZ kule mtwara members wanajipanga kupambana nao
na Raisi ameona Hussein Mwinyi background yake ya Defence ministry atakuwa na good representation kuliko Mpango mwenye background za uchumi na fedha etc.
 
CHATOLISM Kunyweni mtori nyama ziko chini...safari hii ndio mnaona katiba inavunjwa ..nyie ni wagagagigikoko
 
Mwinyi ni Cabinet member, ni rais wa upande mmoja wa Muungano, pia amekuwa waziri wa ulinzi kwa muda mrefu sana.

Ukisema kikatiba, leta kifungu cha katiba.

Unrelated question: Hivi Rais wa Zanzibar naye kala kiapo cha utii wanachokula mawaziri wengine wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Binafsi sikumbuki kushuhudia hicho kiapo!
 
Unrelated question: Hivi Rais wa Zanzibar naye kala kiapo cha utii wanachokula mawaziri wengine wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Binafsi sikumbuki kushuhudia hicho kiapo!
Anakula kiapo kama kawaida

1622141006981.png
 
Acha uongo huko ni kulewa madaraka na kiprotoko haiji kaibisa rahisi wa nchi nyingine kuiwakilisha nchi nyingine!
Ndani ya Tanzania Zanzibar si nchi nje ya Tanzania Zanzibar ni nchi. Ndani ya Tanzania Rais wa Zanzibar hadhi yake ni sawa na mawaziri wengine kwani yeye ni Waziri (kivuli) asie na wizara maalum, na ndani ya bunge ana nafasi yake. Kaangalie composition ya bunge. Kitendo cha Rais Suluhu kumtuma Mwinyi ni kutokana na Mwinyi alikuwa waziri wa Ulinzi hivyo agenda nyingi zilizoongelewa kipindi cha karibuni ana uelewa nazo hasa ikiwa kwa upande wa Tanzania yeye ndio hio ndio ilikuwa nafasi yake kuliko waziri wa ulinzi wa sasa.
 
SSH anaamini kwa kumtuma nje Dr Mwinyi ndio anamuandaa kuwa Rais ajaye, pia SSH ana ubaguzi mkubwa wa kuipendelea Zenji na inshu za kijinsia, wanasiasa wanamchekia saivi ili wapewe kitu ila kila mtu anajua huyu ni Rais dhaifu, asiye na uelewa na bomu toka kuanza kwa Tz.
 
Mi namshauri zile tambo za kua Rais tena anayekidhi inabidi aziweke kivitendo! Aahakikishe hakwazi ufanisi wa Wizara za serikali yake! Hajawekwa Urais kulipa fadhila kwa Mwinyi mtoto!

Ajue muda wake ukiwa ukingoni hatakuwa na influence ya kumuweka mtu nadhani aangalie mchakato wa 2005 na 2015 kuona kwa jinsi gani BM na JK walivyojikuta mwepesi. Asiisaliti majukumu ya wizara zake kama katiba inavyoowanisha kwa minajili ya Si-Bromance yake na Rais Mwinyi wa SMZ.
 
Ikifika 2024 si CCM wala CDM , wote watakuwa wanamtukana tu na kumfanyia hujuma. CCM makundi yatakuwa yanapararuana ili kuhakikisha wanaonesha udhaifu wa SSH na wao wapewe kijiti 2025, huku CDM watakuwa wanaporomosha CD za matusi, kejeli na fitna. Mama anafikiria kumuweka mbele Dr Mwinyi ndio kumuandaa kumbe ndio anamuharibia, muda si mrefu Mwinyi atakuwa political target ya wengi sababu tu ya maono mafupi ya SSH.
 
Saa hizi watu wako busy kumsifu na kumpamba mama, hata anapoboronga hawasikii wala hawaoni time will tell
 
Kwhiyo unataka kusema juzi alivyofariki Mwendazake waziri wa Ulinzi at the time Mh. Hussein Mwinyi hakushiriki kwenye smooth transition at his capacity?
Hapakuwa na Power struggle ya ivo BTW kwa akili zako unadhani CDF na Minister of Defence nani mwamuzi wa mwisho kwenye ulinzi? Minister yupo kiutawala zaidi na mambo ya budget ila ki operation CDF ndo head
 
Mwinyi ni Cabinet member, ni rais wa upande mmoja wa Muungano, pia amekuwa waziri wa ulinzi kwa muda mrefu sana.

Ukisema kikatiba, leta kifungu cha katiba.
Na safari zote huambatana na huyu waziri wa Ulinzi mpya hivi bado watu hawaelewi kwanini

Katika hawa kuanzia raisi mpaka na wengine nani ambaye ana muda mrefu ktk hii wizara ya ulinzi
 
Back
Top Bottom