Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 10,153
- 12,197
Dah! Maisha yanaficha mengi sana.Kwa kifupi tu hear say zinasema yule Dr Chain anaekwenda mahakamani kila siku ya kesi alipata utepe Lulu akiwa na miaka 9. Hii ilikuwa rahisi kwani jamaa alikuwa wa mama kwanza