Msingi wa vyama vya upinzani ni fikra kama zako mtoa uzi, ndio maana unajumuishwa pamoja na wanasiasa wapinzani. Ukidai haki katika nchi ya Mgfl leo utaambiwa hawa ndio mafisadi, au wapiga dili au wauza ngada hata kama wewe ni mkulima wa jembe la mkono.