Habari za muda huu wana jamii.
Mimi ni Mwalimu Unyangala(Mwl Sekondari).
Mara kadhaa najiuliza ni kwanini tunaompinga huyu mungu wa Magogoni kutokana na matatizo yake ya akili(ana mapungufu ya akili),tunaambiwa ni wanachadema wote.
Ukiachana na kupewa chama kila tukitoa malalamika ya hali mbaya kiuchumi majibu ni tulikuwa wapiga dili,sasa mwalimu nilikuwa napiga dili gani?
Huyu mungu wetu wa magogoni amezuia haki zetu kama watumishi wa umma na kutuita wapiga dili ndiomaana tunalalamika.
Members kama
Lizaboni Lupyeee Troll JF na marehemu
Magonjwa Mtambuka nk nawaambia mtambue kuwa sio kweli kuwa kila mtanzania ni mpiga dili.
Hali imekuwa mbaya tangu huyu mwenye matatizo ya akili alipoteuliwa kuwa mungu ambaye hajaribiwi.
Mimi natamani hata nisikie amefariki dunia,japo naweza kutangulia mimi.
Mwl Unyangala.
Sio mwanachama wa chama chochote,hata CWT mimi sijawahi kuwa mwanachama.