Akasome tu veta, Ila asione wivu wenzie wakiitwa kwa salutation za WAKILI MSOMIbora kusoma veta na sio kusoma sheria. mimi naheshimu kazi za mikono. mtoto wangu marufuku kusoma sheria wala kozi za kiwaki. ni mwendo wa kozi za trades.
nb: kama hujui trades ka google.
Kwahiyo na wewe ni mwana sheria? 😂😂Mwansheria ni mtaalamu wa kila sekta.
Kila sekta ina sheria, na hivyo mwanasheria anawajibika kuzifahamu.
Pia sekta zote zina kesi na hivyo mwanasheria anahusika nazo.
Ina aminika kwamba, mwanasheria ni mtaalamu anayeongoza kwa kuwa na elimu pana kuliko taaluma zote duniani.
Hii ndiyo sababu sisi Wanasheria kuitana wasomi yaani Learned lawyer/Advocate.
Basi kwa jibu lako hili bila shaka umekubaliana na mimi nilichokuwa nakisemaHizo kesi za nyuma ndio zimeweka misingi ya kisheria/legal principles, i.e precedents, baadhi zinasomwa vyuoni zingine zinakuwa developed na mahakama
Mbona umefikia conclusion kabla?Basi kwa jibu lako hili bila shaka umekubaliana na mimi nilichokuwa nakisema
Acha kulisha watu matangopori, nyinyi vilazaNi hivi, sisi wanasheria, katika kazi zetu huwa hatuandiki bali huwa tuna tunga yaani tuna draft legal documents yaani kwetu sisi tunafanya kitu kinaitwa legal art.
Kwa hiyo ni kweli hatuandiki, bali we draft.
Kila mtu anaweza akaandika lakini ni mwanasheria pekee anaye-draft.
Kwetu sisi legal documents ndizo nyenzo za mawasiliano ya kikazi.
Kama ulikuwa unanifuatilia toka awali nimesema tunajifunza sheria na namna ya kuzitafsiri.
Kwa hiyo sheria yeyote mimi ukiniletea ninakutafsiria ila wewe layman huwezi maana huna ujuzi huo.
Nasema hivi sheria yeyote ninaiweza!
Maelezo uliyoyatoa yanafanana na maelezo niliyokuwa nakupa mwanzoni umetumia tu lugha tofauti kidogoMbona umefikia conclusion kabla?
Utofauti uko kwa kiwango gani?Maelezo uliyoyatoa yanafanana na maelezo niliyokuwa nakupa mwanzoni umetumia tu lugha tofauti kidogo
ChaiMwansheria ni mtaalamu wa kila sekta.
Kila sekta ina sheria, na hivyo mwanasheria anawajibika kuzifahamu.
Pia sekta zote zina kesi na hivyo mwanasheria anahusika nazo.
Ina aminika kwamba, mwanasheria ni mtaalamu anayeongoza kwa kuwa na elimu pana kuliko taaluma zote duniani.
Hii ndiyo sababu sisi Wanasheria kuitana wasomi yaani Learned lawyer/Advocate.
Wewe umetumia maneno ya kiingereza uliyokaririshwa shule mimi nimekupa maelezo ya kiswahili ila ni kitu kimojaUtofauti uko kwa kiwango gani?
Ni wajibu wa kila mtu kujua sheria, yaani kila sheria mpaka bajeti zote za serikali ni wajibu wa kila mtu kuzielewa vizuri.Mwansheria ni mtaalamu wa kila sekta.
Kila sekta ina sheria, na hivyo mwanasheria anawajibika kuzifahamu.
Pia sekta zote zina kesi na hivyo mwanasheria anahusika nazo.
Ina aminika kwamba, mwanasheria ni mtaalamu anayeongoza kwa kuwa na elimu pana kuliko taaluma zote duniani.
Hii ndiyo sababu sisi Wanasheria kuitana wasomi yaani Learned lawyer/Advocate.
Na ndio maana sio rahisi kukutana na wakili mjingamjinga.Mwansheria ni mtaalamu wa kila sekta.
Kila sekta ina sheria, na hivyo mwanasheria anawajibika kuzifahamu.
Pia sekta zote zina kesi na hivyo mwanasheria anahusika nazo.
Ina aminika kwamba, mwanasheria ni mtaalamu anayeongoza kwa kuwa na elimu pana kuliko taaluma zote duniani.
Hii ndiyo sababu sisi Wanasheria kuitana wasomi yaani Learned lawyer/Advocate.
Nafikiri haujaelewa maana ya wakili, kuna jamaa amelezea vizuri tu hapo juu.Mtu yeyote anaweza kuwa wakili aliyesoma na ambaye hajasoma ila katika kuwatofautisha ndio kuna wakili msomi na ambaye hajasoma.Ushamba tu,wakili msomi kuna wakili hajasoma?
Hana confidence.
Ukiona mtu anajipakia mavyeo kibao mahd sijui jua hii ndaza hii
Sana. Ila kuna ma-laymen hapa wana makasiriko eti waqnasheria tunajimwambafai.Na ndio maana sio rahisi kukutana na wakili mjingamjinga.