Hivi kwanini wanasheria huwa wanaitana wakili msomi

Hivi kwanini wanasheria huwa wanaitana wakili msomi

Kama jukumu lenu sio kushinda kesi si mtafute kazi nyingine ya kufanya? Nchi inaingia hasara kwenye kesi kila leo huku kuna wangese wanajiita wakili wasomi..!!
Hata ukitoa povu huo ndiyo ukweli.

SIYO JUKUMU LA MWANASHERIA KUSHINDA KESI

Kama unabisha nipe kifungu cha sheria.
 
Ninarudia tena kwa herufi kubwa HAKUNA MWANASHERIA ANAYESHINDWA AU KUSHINDA KESI MAHAKAMANI BALI MTEJA NDIYE HUSHINDA AU KUSHINDA KESI HIZO. PIA KATIKA MAJUKUMU YA MWANASHERIA, KUSHINDA KESI SIYO MOJA YA MAJUKUMU YA MWANASHERIA.

Kama hutaki kuelewa acha broo!
Teh teh

Ova
 
Hata ukitoa povu huo ndiyo ukweli.

SIYO JUKUMU LA MWANASHERIA KUSHINDA KESI

Kama unabisha nipe kifungu cha sheria.
Sasa si unashinda kesi kwa niaba ya mteja wako

Ova
 
Mwansheria ni mtaalamu wa kila sekta.

Kila sekta ina sheria, na hivyo mwanasheria anawajibika kuzifahamu.

Pia sekta zote zina kesi na hivyo mwanasheria anahusika nazo.

Ina aminika kwamba, mwanasheria ni mtaalamu anayeongoza kwa kuwa na elimu pana kuliko taaluma zote duniani.

Hii ndiyo sababu sisi Wanasheria kuitana wasomi yaani Learned lawyer/Advocate.
Hakuna lolote
 
Sioni kama kuna ubaya kwenye tathinia ya sheria kujiita wakili msomi.Nitaaluma yao kulingana na kazi yao.Hivyo basi tusilazimishe tufanane wote,kwa lugha nyepesi tunaweza tukasema hii ni misimu ndani ya sheria watu wengine tusio husika ni vigumu kuwaelewa.

Umetoa maoni mazuri sana.

Wengine wanakaza mafuvu kulazimisha yasiyokuwepo.
 
Hamna msomi anayeweza kusema ushoga ni haki ya binadamu zaidi ya wakili
 
Ni wapuuzi mno. Serikali huwa inashindwa kesi nyingi kwa upuuzi wa hawa watu.

Taasisi inayotoa haki ni mahakama. Wakili ni sehemu ya mahakama.

Pia mteja mwenye kesi ni mdau mmoja wapo wa mahakama.

Mawakili wanawakilisha mawazo ya mteja na hivyo hawapaswi kulaumiwa kwa kitimiza wajibu.

Mawakili wanaongozwa na kanuni za maadili zenye kueleza majukumu, wajibu na haki zao.

Katika Kanuni hizo, hakuna mahali zinasema kwamba kushinda kesi ni moja ya jukumu.

Hata ukipanda mtini hilo halipo!
 
Back
Top Bottom