M
Muache kujikweza. Siyo kwamba mnafahamu sheria zote, bali mnafahamu principles za sheria. Huko Chuo mlikuwa mnasoma sheria zote zinazohusu mambo yote ya nchi hii? Si kweli.
Hua mnajifunza baadhi ya sheria na principles za sheria kwa ujumla wake.
Mkisha anza ku-practice huku kwenye ground ndo mnaanza kufuatilia sheria husika inasema nini kulingana na case inayokuwa mbele yako.
Judges na Mahakimu wenyewe huwa hawajui sheria zote mpaka tuwapelekee sheria husika kukiwa na issue, ije kuwa wewe Mwanasheria?
Halafu umenikumbusha, nyinyi wanasheria wengi wa sasa mnachofanya ni ku-copy na ku-paste nyaraka za zamani, unakuta issue imeandikwa kwa Ki-english kireeeefu utadhani umeandika mwenyewe kumbe documents husika ume-copy kutoka kwa wenzio walichoandika zamani na ku-edit tu. Acha kujitapa buana.