Hivi kwanini Mwl. Nyerere hakupewa PhD?

Mkuu toka lini mimi nikatisha watu! Soma hii hapa chini.
Just twenty years ago, Dr Julius Nyerere -- already the outstanding political figure in his country -- became president of what was then called Tanganyika. It was the first British-ruled territory in East Africa to achieve independence. Its development into the United Republic of Tanzania of today has been largely his creation.SYNOPSIS: Julius Nyerere's leadership has been described as "wise and dynamic". But his programme for economic development in Tanzania on socialist lines is now facing a serious crisis. Dr Nyerere said recently that Tanzanians were poorer now than they were a decade ago. The nations; economy has been stricken by the world recession and by falling production.On December 9, 1962, Tanganyika became a republic and Dr. Nyerere the first president. One year earlier -- after being elected Prime Minister -- he celebrated the birth of the new sate... In honour of "Uhuru", meaning Freedom, the lights blaze out over the capital, Dar-es-Salaam...Nyerere and his Tanganyika African National Union were firmly in power.Tanzania was formed in 1964 from the union of Tanganyika and Zanzibar. President Karume of Zanzibar became first vice-president of the united republic. Eight years later he was assassinated.Independence achieved, President Nyerere started to build socialism in Tanzania. Hard work, self-help and education were what Tanzania had to rely on. The focal point of his rural socialism is the "???jamaa" or cooperative village. These communities have spread fast throughout the country.But big projects like the Tanzania-Zambia railway needed foreign capital. The Chinese government built the railway, enabling Zambia to export its copper without sending it through the former British colony of Rhodesia, now independent Zimbabwe. The massive project was inaugurated in 1970. Three years later, the railway was through to Zambia's border.During a visit to China in 1974, President Nyerere told the late Chairman Mao Tse-tung that African states were forced to choose socialism as their goal. He said this was because "capitalism was incompatible with their commitment to national independence and individual equality." Another visit abroad took the Tanzanian president to London in 1975 to talk about the Rhodesian dispute and other problems. It was Nyerere's first visit to Britain since Tanzania's independence in 1961.In 1979 -- shortly after President Nyerere's troops fought in Uganda against the Idi Amin regime -- his country was visited by Britain's Queen Elizabeth. It was part of controversial tour of black African nations -- many of them opposed the breakaway British colony of Zimbabwe. But the Queen's visit was essentially non-political.Another colourful event, this time in Zanzibar. Tanzania's Vice-President Jumbe attended a ceremony in 1980 opening the island's new House of Representatives. After being ruled by Tanzania for nearly 16 years, Zanzibar now had its first elected parliament.And there was jubilation in Dar-es-Salaam that year when Julius Nyerere took the presidential oath to remain Tanzania's leader. But he said it would be his last five-year term. Since then he has continued to work for African unity.In 1981, three presidents: Milton Obote of Uganda,

Hayo maandishi ni nani kayaandika?umeambiwa weka hapa maandishi officially ya ikulu km press riliz yanayompamba nyerere km dr au prof but still unarukaruka tu.kutuwekea eti waandishi fulani waliandika ni hoja dhaifu maana yeyote aweza kukuita atakavyo hasa kwa mazoea hata km ww hutaki.je ni wapi nyerere alijiita dr au prof?sehemu ya kuaminika ambayo ingetushawishi ni ama kupitia maandiko yake mwenyewe(ikumbukwe alikuwa anaandika na kutoa mihadhara pia) au kupitia taarifa rasmi za ikulu.kubali kujifunza na sio kung'ang'ana tu.
 
Acha uongo we Ritz. Hakuwahi kuitwa Prof wakati wowote wa utawala wake. Ni kweli miaka ya mwanzo kabisa ya uongozi wake alikuwa anaitwa Dr lakini baadae alikataa ndipo likaja jina la Mwl na akaendelea kutambulika kwa jina hilo ndani na nje ya nchi. Kuna viongozi wengi tu nchini ambao wana hizo honorary doctorates lakini hawazitumii. Baadhi yao ni Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa, John Malechela, Getrude Mongela, n.k
 
cha kushangaza hana hata kitabu alicho andika hayo ndio maajabu ya baba riz (the tourist).
 
Mkuu soma hii kiduchu kutoka BBC kisha takuwekea zingine.

Dr Julius Nyerere, who has died aged 77, led the former British protectorate of Tanganyika to independence in 1961, becoming its first prime Minister and later its first president.His country was withdrawn from British rule without violence and with comparatively little racial bitterness. Dr Nyerere acquired in the process the reputation of being a moderate, an idea that was encouraged by his personal modesty and his preference for Western values.

Teh teh teh

Very good, tuwekee na source usije ukawa umeandika mwenyewe. Na hata kama walimwita hao waliompa hiyo heshima, huku kwetu hayati JKN hajawahi kusema, kuomba, kusititiza aitwe hivyo na hakuwahi kuitwa hapa home kama ilivyo kwa huyu wa sasa.
Ila hatuna haja ya kumsimanga Jakaya Kikwete, kuitwa hivyo haina impact yoyote kwenye chochote hata kwake mwenyewe. Waswahili wanasema ''chema chajiuza kibaya chajitembeza''. Mwacheni ajiburudishe, hiyo ni burudani yake jameni
 
Mkuu soma hii kiduchu kutoka BBC kisha takuwekea zingine.

Dr Julius Nyerere, who has died aged 77, led the former British protectorate of Tanganyika to independence in 1961, becoming its first prime Minister and later its first president.His country was withdrawn from British rule without violence and with comparatively little racial bitterness. Dr Nyerere acquired in the process the reputation of being a moderate, an idea that was encouraged by his personal modesty and his preference for Western values.





Teh teh teh

Mtu mwoango utamjua kwa kuleta ushahidi wa yule aliyekwishafariki na ambaye hatuwezi kumtaka aridhie kinachosemwa. Sasa unaleta kitu lilichotoka BBC baada ya mwalimu kufariki. Are you serious. Tunataka utupe ushahidi wa Mwalimu kuwa addressed na titles alizokwishatunukiwa. Hilo tu ndio utuletee. Sisi tumezaliwa, tukawa watu wazima na hakuna namna yoyote alivyokuwa anaitwa Nyerere except Mwalimu. His contribution to academic and diplomatic industries alipaswa kuitwa DR. Prof nakadhalika lakini hakutaka na aliona fahari kuitwa Ndugu au Mwalimu. Kiri ukweli huu. Mambo ya Dr. Prof, Mtukufu na Mheshimiwa ni ya juzi Ritz tuwe wakweli na hayajaanza na leo
 
Ritz anachuki tu na Mwl Nyerere na kubishana nae ni kupoteza muda. Hiyo Dr ya kuitwa tu mbona hata huku mtaani tunaitana? Mwl. JK alikuwa wazi na alikataa miheshima ya kupambwa pambwa. Huyu JK wa sasa hizo tittles zina dark side ndani yake!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Dogo nakushauri uwe msomaji utajifunza kitu Kingunge masikini ya Mungu wala hayumo kwenye waliotafuta uhuru.

Sawa babu Ritz uliyetafuta UHURU wa kuitwa Prof.
Tupe hadithi za mama na Mwana.
 
Last edited by a moderator:
Wakati wa Nyerere elimu ilikuwa na thamani. Wakati wa kikwete watu wanamaliza chuo hawawezi kuandika hata essay, unategemea ma professor watakuwa wa viwango gani?

Nyerere aliamini katika matokeo kuliko maonyesho.

Kikwete ni janga la AFrica.


Kwanini mwalimu nyerere akupewa heshima ya profesa? Inamaana jakaya ni rais bora kuliko nyerere?
 
Ritz anachuki tu na Mwl Nyerere na kubishana nae ni kupoteza muda. Hiyo Dr ya kuitwa tu mbona hata huku mtaani tunaitana? Mwl. JK alikuwa wazi na alikataa miheshima ya kupambwa pambwa. Huyu JK wa sasa hizo tittles zina dark side ndani yake!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Mkuu chuki gani tena wakati nimeweka na ushahidi.
 
Mkuu toka lini mimi nikatisha watu! Soma hii hapa chini.
Just twenty years ago, Dr Julius Nyerere -- already the outstanding political figure in his country -- became president of what was then called Tanganyika. It was the first British-ruled territory in East Africa to achieve independence. Its development into the United Republic of Tanzania of today has been largely his creation.SYNOPSIS: Julius Nyerere's leadership has been described as "wise and dynamic". But his programme for economic development in Tanzania on socialist lines is now facing a serious crisis. Dr Nyerere said recently that Tanzanians were poorer now than they were a decade ago. The nations; economy has been stricken by the world recession and by falling production.On December 9, 1962, Tanganyika became a republic and Dr. Nyerere the first president. One year earlier -- after being elected Prime Minister -- he celebrated the birth of the new sate... In honour of "Uhuru", meaning Freedom, the lights blaze out over the capital, Dar-es-Salaam...Nyerere and his Tanganyika African National Union were firmly in power.Tanzania was formed in 1964 from the union of Tanganyika and Zanzibar. President Karume of Zanzibar became first vice-president of the united republic. Eight years later he was assassinated.Independence achieved, President Nyerere started to build socialism in Tanzania. Hard work, self-help and education were what Tanzania had to rely on. The focal point of his rural socialism is the "???jamaa" or cooperative village. These communities have spread fast throughout the country.But big projects like the Tanzania-Zambia railway needed foreign capital. The Chinese government built the railway, enabling Zambia to export its copper without sending it through the former British colony of Rhodesia, now independent Zimbabwe. The massive project was inaugurated in 1970. Three years later, the railway was through to Zambia's border.During a visit to China in 1974, President Nyerere told the late Chairman Mao Tse-tung that African states were forced to choose socialism as their goal. He said this was because "capitalism was incompatible with their commitment to national independence and individual equality." Another visit abroad took the Tanzanian president to London in 1975 to talk about the Rhodesian dispute and other problems. It was Nyerere's first visit to Britain since Tanzania's independence in 1961.In 1979 -- shortly after President Nyerere's troops fought in Uganda against the Idi Amin regime -- his country was visited by Britain's Queen Elizabeth. It was part of controversial tour of black African nations -- many of them opposed the breakaway British colony of Zimbabwe. But the Queen's visit was essentially non-political.Another colourful event, this time in Zanzibar. Tanzania's Vice-President Jumbe attended a ceremony in 1980 opening the island's new House of Representatives. After being ruled by Tanzania for nearly 16 years, Zanzibar now had its first elected parliament.And there was jubilation in Dar-es-Salaam that year when Julius Nyerere took the presidential oath to remain Tanzania's leader. But he said it would be his last five-year term. Since then he has continued to work for African unity.In 1981, three presidents: Milton Obote of Uganda.

Hii ilikuwa mwaka 1981 kuna wengine humu walikuwa bado hawajazaliwa.

1981 umeona ni mbaaali sana? Utakuwa Mtoto mdogo sana wewe.
Back to point, hii story yako ni kwamba Nyerere alijiita Dr au ni mpuuzi mmoja kama wewe alikuwa anajidai kumpambisha kichwa ili apate japo chochote?
Je, Nyerere alikubali officially kuitwa Dr?
Au huo u-Dr alipewa wapi officially?
 
Interesting!
Ebu tupe reference coz sie tangu 1960s tunasikilizaga RTD but hili leo nalipata kwako!

Kaka, wakati tumepondaponda betri za National kisha tukaziweka kwenye bati la nyasi mchana kutwa ili zipigwe na jua charge iongezeke ili baadaye saa mbili kamili tuweze kupata ngoma za Morris Nyunyusa kabla Jacob Tesha hajatuletea taarifa ya habari kwenye ile radio ya mbao, ni lini ulishawahi kusikia jina la Dr Nyerere likitamkwa?
 
Ritz ana chuki zake binafsi na mwalimu na hakuna haja ya kubishana naye kwa sababu alikolelewa tangu watoto wanafundishwa chuki na ubishi.

Sana sana ninachokion kwake ni wivu wa sifa. Anataka sifa za mwalimu ziende kwake ama kwa mtu anayemtaka yeye.

Watanzania mnajua ni akina nani wanaotakaga ma sifa hata kama hawana vigezo, wamejaa wivu na maneno mengi, ufanisi hakuna!.

Msimlaumu Ritz si makosa yake. Tatizo ni la mfumo wa maisha yake na jamii inayomzunguka.



Ritz anachuki tu na Mwl Nyerere na kubishana nae ni kupoteza muda. Hiyo Dr ya kuitwa tu mbona hata huku mtaani tunaitana? Mwl. JK alikuwa wazi na alikataa miheshima ya kupambwa pambwa. Huyu JK wa sasa hizo tittles zina dark side ndani yake!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Acheni kujazana ujinga Nyerere wakati wa utawala wake walikuwa wanamuandika Dr.Julius Kambarage Nyerere na yeye alikubali wala hakukataa.

Dogo, sina hakika na elimu yako, but hata kama hukufika la saba ebu changamsha kidogo tu akili yako utofautishe kuitwa na kujiita, unapokubali watu watamke Dr. mbele yako ukachekelea unakubali kukwezwa! but if an alien writes about you utamzuiaje bearing the fact that vyuo kbao vimekupa heshima hiyo? ref: post no. 5 hapo juu.

Kingine nikufundishe kwamba: state's media na pia public media zikitumia tittle hiyo ni kwamba mwenyewe karidhia, Ebu onesha mahali Nyerere alipoitwa hivyo na state media au hata public media za Tanzania.

Kama kweli unawaita wadau wengine wana umri mdogo, you need to balance your chronological age with your mental age!
 
Mtu mwoango utamjua kwa kuleta ushahidi wa yule aliyekwishafariki na ambaye hatuwezi kumtaka aridhie kinachosemwa. Sasa unaleta kitu lilichotoka BBC baada ya mwalimu kufariki. Are you serious. Tunataka utupe ushahidi wa Mwalimu kuwa addressed na titles alizokwishatunukiwa. Hilo tu ndio utuletee. Sisi tumezaliwa, tukawa watu wazima na hakuna namna yoyote alivyokuwa anaitwa Nyerere except Mwalimu. His contribution to academic and diplomatic industries alipaswa kuitwa DR. Prof nakadhalika lakini hakutaka na aliona fahari kuitwa Ndugu au Mwalimu. Kiri ukweli huu. Mambo ya Dr. Prof, Mtukufu na Mheshimiwa ni ya juzi Ritz tuwe wakweli na hayajaanza na leo
Mkuu mbona nimeweka wakati yupo hai mbona kuna vitabu vingi tu watu wamemuita Dr sijui mnachopinga ni nini Nyerere alikuwa binadamu kama wengine tu.
© FZSDr. Julius Kambarage Nyerereby Dr. Markus Borner, Regional Representative of the Frankfurt Zoological Society"The survival of our wildlife is a matter of grave concern to all of us in Africa. These wild creatures amid the wild places they inhabit are not only important as a source of wonder and inspiration, but are an integral part of our natural resources and our future livelihood and well being.In accepting the trusteeship of our wildlife we solemnly declare that we will do everything in our power to make sure that our children's grand-children will be able to enjoy this rich and precious inheritance.The conservation of wildlife and wild places calls for specialist knowledge, trained manpower and money, and we look to other nations to co-operate with us in this important task - the success or failure of which not only affects the continent of Africa but the rest of the world as well."-Julius K. Nyerere, Arusha Manifesto, 1961Nyerere's philosophy to protect and cherish Tanzania's spectacular wildlife as a prime national heritage is expressed in the high priority the Tanzanian government has given to conservation of natural resources. At independence Tanzania had only one national Park, the Serengeti. Since then 12 more Parks were created, about 4.5 % of the country are National Parks; nearly a quarter is under some form of protection as Game- and Forest Reserves.Julius Kambarage Nyerere was born on April 13th, 1922 at Butiama, a small village near the Serengeti. His second name - Kambarage - is Swahili for " Rain Spirit". The 26th child of a local Chief, he attended first a government - then a mission - school near Lake Victoria. He went to the University of Makerere in Uganda to become a teacher and botanist and, in 1948 he won a scholarship to Edinburgh University to study history, politics and law. He became the first black graduate in the British-administered Tanganyika and, in 1954,-
 
the best huwa hakubaliki kirahisi, Nyerere was the BEST. na aliitwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere maana ya mwalimu in English ni teacher, Maana ya professor ni teacher so mwalimu aliitwa professor kwa kiswahili MWALIMU
 
Dogo, sina hakika na elimu yako, but hata kama hukufika la saba ebu changamsha kidogo tu akili yako utofautishe kuitwa na kujiita, unapokubali watu watamke Dr. mbele yako ukachekelea unakubali kukwezwa! but if an alien writes about you utamzuiaje bearing the fact that vyuo kbao vimekupa heshima hiyo? ref: post no. 5 hapo juu.
Hivi wewe na Mbowe au Lema nani ana elimu kumzidi mwenzake.
 
the best huwa hakubaliki kirahisi, Nyerere was the BEST. na aliitwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere maana ya mwalimu in English ni teacher, Maana ya professor ni teacher so mwalimu aliitwa professor kwa kiswahili MWALIMU
Na waliokuwa wanamuita Dr?
 
Kwanini mwalimu nyerere akupewa heshima ya profesa? Inamaana jakaya ni rais bora kuliko nyerere?

Hapani,ni kwasababu Nyerere alifeli somo moja (la uzuzu).Angefaulu vizur somo la UZUZU...Ahaaa saa hizi mbona tungekuwa tunamwita Professor Nyerere!Nasikia Jakaya alifaulu 100% kwa 100% hilo somo
 
Apate U Profesa kwa lipi ?
Nini amefanya kustahili heshima ?
Alupewa nchi ikiwa na system na mifumo mizuri kuindeleza.
Badala yake akaivuruga na kuleta ujinga wa kikomonisti
Akalazimisha fikra zake peke yake kama cimrade Mao
Nchi aliikuta ikijito sheleza chakula lakini aliiacha ikiwa hoi
Mfumo mzima wa kilimo wa ujima na vijiji ukafa na nchi ikawa chakula kwa mgao kwa wiki na foleni.
Elimu ilikufa kabisa kwa kushabikia sylabas za kikomonisti
Haki za binadamu zilivunjwa
Watu wakitiwa ndani bila hatia
Kwa ufupi ni failure ameiacha nchi nyuma sana ya wenzetu Kenya na Uganda.
Sasa wakati huu ndio tunajaribu kukimbia lakini kuwakuta sio rahisi maana ile miaka 25 alokaa ni hasara tupu.

alikuwa na urafiki sana na Mao sasa jiulize kwann na yeye hakuitwa Profesa kama huyo tezi dume.
 
Back
Top Bottom