Calamity
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 856
- 47
achana na kitimoto huyoSijafundishwa kutukana, nilikuwa namweleza ukweli ndugu yangu Dudus kuhusu caliber yako, -kama nakuona vile unavyonyong'onyea kila inapotajwa Legacy ya Nyerere; siui na hili utaelewa?