Hivi kwanini Mwl. Nyerere hakupewa PhD?

Ni kweli nyerere alikua anaitwa Dr,ila alipenda sana kuitwa Mwal hii ni kutokana na yeye kutopenda sana kujikuza kama wengine, kapewa philosofical doctirate, lakini hata kama angeamua kukaa class mbona angeipata tu? Mzee Nyerere naomba ufufuke walau dakika 5 tu uone nchi inavyoliwa na wajanja wachache, haki ya mungu utalia sana mzee wangu kwani nchi yenye neema, yenye kutoa maziwa na asali leo hii inatafunwa na wachache, fufuka mwal japo dakika 5
 
Kwanini mwalimu nyerere akupewa heshima ya profesa? Inamaana jakaya ni rais bora kuliko nyerere?
 
Kumbuka Nyerere hakupenda kujikweza, ndio maana alikuwa hataki majina ya mheshimiwa, mtukufu, akapenda kuitwa "mwalimu" Jina lenye hadhi ya chini sana kwenye ardhi ya Tanzania. His inaonesha ni kwa kiasi gani NYERERE ndio raisi pekee "mzalendo " aliyeipenda nchi yake na watu wake! Kama ni PHD zaidi heshima alikuwa nazo nyingi sana lakini hakujikweza! Ni wanaijikweza tu ndio wanaitaka sifa zisizokuwa za kwao!
 
Nyerere hakuwa mtu wa kurubuniwa kirahisi na kipuuzi, aliipenda Tanzania alitamani kuona rasilimali za nchi zinanufaisha watu wote kwa usawa, na taifa kwa ujumla inapiga hatua za kimaendeleo, kikwete hana uchungu na watanzania wala Tanzania..! Hao watu hawakupi hivi hivi, kumbuka kauli ya kikwete ukitaka kula nawe kubali kuliwa. Ndicho kinachofanyika kwa jk anagawa rasilimali za nchi kwa mataifa ya magharibi. Hana ubora wowote ila anarubunika kirahisi.
 
Nyerere alitunukiwa Shahada nyingi za Heshima tena kuzidi hata hizi anazopewa Kikwete lakini hakupenda kujikweza nazo kwani yeye aliheshimu sana kile alichokisomea kuliko hivyo bandia

Hapa chini nakuwekea Orodha ya nini Nyerere (R.I.P) alipata

Mwalimu Julius K. Nyerere alitunukiwa shada zaidi ya 20 lakini hakujiita Dr Julius Nyerere,

Unaweza kujionea mtiririko Shahada za PHd alizotunukiwa Mwalimu Julius Nyerere hapa chini:

MWALIMU JULIUS NYERERE He received honorary degrees from the following:

1. University of Edinburgh (United Kingdom)

2. University of Dugueshe (United States of America)

3. Cairo University (Egypt)

4. University of Nsukka (Nigeria)

5. University of Ibadan (Nigeria)

6. University of Monrovia (Liberia)

7. Toronto University (Canada)

8. Havard University (United States of America)

9. Howard University (United States of America)

10. Ljubliana (Yugoslavia) - Honorary Doctoral of Law (26 March 1985)

11. Pyongyang University (Korea) -Honorary Doctorate of Philosophy (28th March 1985)

12. National University of Lesotho (Lesotho)

13. The State House Dar es Salaam (Tanzania) - Honorary Degree for Diplomacy (20th Sept, 1985)

14. Havana University of Cuba (Cuba) - Honorary Degree of Doctor Of Philosophy (30th Sept 1985)

15. University of Dar es Salaam (Tanzania) - Honorary Degree of Literature Honoris Causa (13th Sept 1986)

16. Universities of Philippines (Philippines) - Honorary Doctorate of Humanities (12th July 1991)

17. Manila (Philippines) - Honorary Doctor Degree (12th October 1992)

18. Makerere University Kampala (Uganda) - Honorary Doctor of Laws (29th January 1993)

19. Open University of Tanzania (Tanzania) - Doctor of Letters Honoris Causa (15th March 1997)

20. Claremont University Centre (United States of America) - Doctor of Laws for Claremont graduate School California (17th May 1997)

21. Sokoine University of Agriculture (Tanzania) - Doctor of Philosophy Honoris Causa (28th November 1997)

22. University of Fort Hare (South Africa) - Doctor of Laws Honoris Causa (23rd April 1998)

23. Lincoln University (United States of America) - Honorary Degree of Laws (5th May 1998)

Awards / Prices

1. Yogoslavia - Memorial Plaque of the City of Belgrade (15th October 1969)

2. Guyana - Freedom of the City of Georgetown (11th September 1974)

3. Havana, Cuba - Order of Jose Marti (21st September 1974)

4. Mexico - The Great Collar of the Aztec Eagle (24th April 1975)

5. India - Nehru Award for International Understanding (17th January 1976)

6. Guinea Bissau - Medal of Amilcar Cabral (19th September 1976)

7. Brussels - The Dag Hammarskjold Price for Universal Merit

8. New Delhi, India - Third World Prize (22nd February 1982)

9. Maputo, Mozambique - Eduardo Mondlane Medal (7th September 1983)

10. Geneva - Nansen Medal for Services to the Cause of Refugees (3rd October 1983).

11. Luanda, Angola - Order of Augstino Neto Award (3rd October 1985)

12. Luanda Angola - SADCC Sir Seretse Khama Medal (21 August 1986)

13. Dodoma, Tanzania - Lenin Peace Prize (7th September 1987)

14. Dodoma, Tanzania - Juliot Curie Gold Medal (February 1988)

15. Paris, France - UNESCO Simon Boliver Prize (21st October 1992)

16. Arusha, Tanzania - TANAPA /Gold Medal of Outstanding on Wildlife and Environmental Conservation (21st February 1994)

17. New, Delhi, India - Gandhi Peace Prize (27th January 1995)

18. Abujua, Nigeria - Nnandi Azikiwe Award (10th March 1996)

19. Harvard University - World Map Globe (28th December 1999)

20. CCM, Tanzania - The Century Statesman (2000)
 
Chanzo cha jk kupewa uprofesa china. Ni baada ya kusaini mikataba 21 kwa dakika moja. Bila hata kuipitia means alijua kilichomo. Rais wa uchina akasitaajabu uwezo wa jk fasta akampatia uprooo
 
Kwanini mwalimu nyerere akupewa heshima ya profesa? Inamaana jakaya ni rais bora kuliko nyerere?

Nyerere huwezi mfananisha na hao empty minded people hata robo....

Nyerere alitukiwa hizo shahada za heshima nyingi tu sema hakuwahi zipapatikia kwa kujiita dokta au profesa maana urais wake ulikua ni zaidi ya hayo...

Hata akina mkapa walipewa ila hawakuhangaika kujiita au kujiwekea title kwakuwa walielewa heshima waliyopewa na umma ni kubwa kuliko hayo...

pili Shahada za heshima hazitakiwi mtu uiweke kwenye title yako so unaowaona wanahangaika kujiita wakidhani ni Sifa Sana ni mapunguani wasio na tofauti na wale machifu wetu maamuma waliotoa vipande vya almasi kwa kupewa vioo wakidhani vina thamani kubwa kuliko almasi zao ...
 
Angepata ndugu yangu Wa msoga zingeandikwa mpaka kwenye majabali
 
Non performers wengi wanahitaji sana 'titles' kujifichamo........

Hata manabii wa kale hawakuhitaji 'titles' kufanya miujiza yao mingi. Watu kama akina MUSA, JOSHUA, ELIA, n.k., hata majina ya baba zao hatuyajui.

Lakini siku hizi mtu mmoja anajiita yeye kuwa ni mtume na nabii na mchungaji na mwiniilist na wa n.k....., lakini hakuna kitu. Ndio hao hao, dr prof......., hah hah hah...........
 
Nyerere huwezi mfananisha na hao empty minded people hata robo....

Nyerere alitukiwa hizo shahada za heshima nyingi tu sema hakuwahi zipapatikia kwa kujiita dokta au profesa maana urais wake ulikua ni zaidi ya hayo...

Hata akina mkapa walipewa ila hawakuhangaika kujiita au kujiwekea title kwakuwa walielewa heshima waliyopewa na umma ni kubwa kuliko hayo...

pili Shahada za heshima hazitakiwi mtu uiweke kwenye title yako so unaowaona wanahangaika kujiita wakidhani ni Sifa Sana ni mapunguani wasio na tofauti na wale machifu wetu maamuma waliotoa vipande vya almasi kwa kupewa vioo wakidhani vina thamani kubwa kuliko almasi zao ...

Unajua si Mwalimu Nyerere tu ambaye amepata lundo la hizi tuzo,wapo wengi lakini hawajawahi zitumia na kujiita ma-doctor wala professor! Tanzania baada ya Nyerere,Mwinyi na Mkapa tunapitia kipindi kigumu sana ambacho mtawala wa nchi anajipachika titles za kijinga kama akina Iddi Amin na Bokassa!
 
Kwanini mwalimu nyerere akupewa heshima ya profesa? Inamaana jakaya ni rais bora kuliko nyerere?
Inawezekana umri wenu ni mdogo Nyerere mbona alikuwa anaandikwa Prof wakati wa utawala wake.
 
Unajua si Mwalimu Nyerere tu ambaye amepata lundo la hizi tuzo,wapo wengi lakini hawajawahi zitumia na kujiita ma-doctor wala professor! Tanzania baada ya Nyerere,Mwinyi na Mkapa tunapitia kipindi kigumu sana ambacho mtawala wa nchi anajipachika titles za kijinga kama akina Iddi Amin na Bokassa!

Ndio maana hata cheo cha urais hakitendei haki akiamini kuna kingine kikubwa zaidi yake
 
Acheni kujazana ujinga Nyerere wakati wa utawala wake walikuwa wanamuandika Dr.Julius Kambarage Nyerere na yeye alikubali wala hakukataa.
 
Kwanini mwalimu nyerere akupewa heshima ya profesa? Inamaana jakaya ni rais bora kuliko nyerere?

Hebu fikiri kabla ya kuandika. Mzee wetu Nyerere ni zaidi ya uprofessor. kumpa uprofessor ni kumtukana. Na kumbuka ungeanzaje kumuuliza mwl kuhusu vitu vya kijinga? Nani anaangaika na tittle? Ni hao ambao hawajitambui na ambao wako kwenye nafasi ambazo ni by chance tu!
 
Back
Top Bottom