real toxic
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 534
- 99
Duuuuu...i like it.....!
Mkuu nikuwekee akiitwa dr kabla ya kifo chake?Ritz
Huyo mwandisho amemwita Dr. Nyerere akiwa anatoa wasifu wa mwalimu tayari akiwa ni marehemu. Hakumwita katika uhai wake. Hivyo sioni bado mantiki ya hoja yako.
Kikwete Dr. Imelazimishwa na inner circle ya ccm kuwa ni lazima jina lake liane na utambuisho wa Dkt. Ili aonekane ni msomi wa level hiyo. Lkn pia udaktari wake ulitengenezwa kisiasa ndio maana alienda kupewa Udom chuo ambacho kilikuwa hakijatoa hata phd moja ya darasani.
Najaribu vipi wakati imeishaandikwa hiyo historia yenu ya kivukoni mtabaki nayo nyie.Ritz anajaribu kuandika historia upya. Lakini hawawezi. Wamejaribu kuua legacy ya Mwalimu leo inawasuta. Wametafuta vyeo kila mahali duniani eti Dr. eti Profesa, eti mheshimiwa lakini bado hawafikii level ya Mwalimu. Kikwete will go down in history as the worst president Tanzania ever had. It is sad.
Najaribu vipi wakati imeishaandikwa hiyo historia yenu ya kivukoni mtabaki nayo nyie.
Tafuta speech yoyote yake au iliyoandikwa na ikulu ikimtaja prof. Nyerere kama utapata, hata hao waliomuita kwa kulazimisha alipogundua ameitwa hivyo alipinga on the spot.Mkuu huyo mwandishi aliondika hiyo habari alikuwa anamuita Nyerere Dr ni James Robbins wa BBC.
Sijui kama anatoka pwani labda Pwani ya Bristol Uingereza.
Nadhani umejifunza kitu.
Mkuu soma hii kiduchu kutoka BBC kisha takuwekea zingine.
Dr Julius Nyerere, who has died aged 77, led the former British protectorate of Tanganyika to independence in 1961, becoming its first prime Minister and later its first president.His country was withdrawn from British rule without violence and with comparatively little racial bitterness. Dr Nyerere acquired in the process the reputation of being a moderate, an idea that was encouraged by his personal modesty and his preference for Western values.
Teh teh teh
Acheni kujazana ujinga Nyerere wakati wa utawala wake walikuwa wanamuandika Dr.Julius Kambarage Nyerere na yeye alikubali wala hakukataa.
Sio siri una akili sana kamanda, wetu ni kama goroli haina break mpaka igonge ukingoChanzo cha jk kupewa uprofesa china. Ni baada ya kusaini mikataba 21 kwa dakika moja. Bila hata kuipitia means alijua kilichomo. Rais wa uchina akasitaajabu uwezo wa jk fasta akampatia uprooo
Inawezekana umri wenu ni mdogo Nyerere mbona alikuwa anaandikwa Prof wakati wa utawala wake.
Ritz
Acha kutishia nyau. Weka hapa ushahidi. Hatutaki uprofesa wa kypewa baada yakuwa umegawa gesi kwa mtutu. Harafu utwambie huyo prof. wa china ni chuo gani chenye maana ambacho kimempa heshima. Hata hapa kwetu Tanzania vyuo vilivyonaheshima kipi kimetambua mchango wake?
Chanzo cha jk kupewa uprofesa china. Ni baada ya kusaini mikataba 21 kwa dakika moja. Bila hata kuipitia means alijua kilichomo. Rais wa uchina akasitaajabu uwezo wa jk fasta akampatia uprooo
Hivi Prof. JK ameandika kitabu gani au andiko gani la kisomi vile? Sijasikis hata mara moja tangu awe Raisi kuwa ametoa mhadhara Chuo Kikuu chochote humu nchini! Anayejua anijuze tafadhali!Inawezekana umri wenu ni mdogo Nyerere mbona alikuwa anaandikwa Prof wakati wa utawala wake.
Unadharau uongozi wa Nyerere wakati wengine wanalilia wafananishwe naye kwenye mbio za urais,Apate U Profesa kwa lipi ?
Nini amefanya kustahili heshima ?
Alupewa nchi ikiwa na system na mifumo mizuri kuindeleza.
Badala yake akaivuruga na kuleta ujinga wa kikomonisti
Akalazimisha fikra zake peke yake kama cimrade Mao
Nchi aliikuta ikijito sheleza chakula lakini aliiacha ikiwa hoi
Mfumo mzima wa kilimo wa ujima na vijiji ukafa na nchi ikawa chakula kwa mgao kwa wiki na foleni.
Elimu ilikufa kabisa kwa kushabikia sylabas za kikomonisti
Haki za binadamu zilivunjwa
Watu wakitiwa ndani bila hatia
Kwa ufupi ni failure ameiacha nchi nyuma sana ya wenzetu Kenya na Uganda.
Sasa wakati huu ndio tunajaribu kukimbia lakini kuwakuta sio rahisi maana ile miaka 25 alokaa ni hasara tupu.
Mkuu toka lini mimi nikatisha watu! Soma hii hapa chini.Ritz
Acha kutishia nyau. Weka hapa ushahidi. Hatutaki uprofesa wa kypewa baada yakuwa umegawa gesi kwa mtutu. Harafu utwambie huyo prof. wa china ni chuo gani chenye maana ambacho kimempa heshima. Hata hapa kwetu Tanzania vyuo vilivyonaheshima kipi kimetambua mchango wake?
Dogo nakushauri uwe msomaji utajifunza kitu Kingunge masikini ya Mungu wala hayumo kwenye waliotafuta uhuru.Utakuwa una umri zaidi ya Kingunge wewe.
eeenhe, hebu tuhadithie