TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,563
Ritz nataka nikuone hapa JF ukiendelea kuongea kwa majigambo kama ufanyavyo sasa baada ya 2016.
Mkuu huyo mwandishi aliondika hiyo habari alikuwa anamuita Nyerere Dr ni James Robbins wa BBC.
Sijui kama anatoka pwani labda Pwani ya Bristol Uingereza.
Nadhani umejifunza kitu.
Kweli kaka, ndilo ninalomweleza huyu kiu.no tazama namba 72. hapo juuKaka, wakati tumepondaponda betri za National kisha tukaziweka kwenye bati la nyasi mchana kutwa ili zipigwe na jua charge iongezeke ili baadaye saa mbili kamili tuweze kupata ngoma za Morris Nyunyusa kabla Jacob Tesha hajatuletea taarifa ya habari kwenye ile radio ya mbao, ni lini ulishawahi kusikia jina la Dr Nyerere likitamkwa?
Hivi wewe na Mbowe au Lema nani ana elimu kumzidi mwenzake.
Mkuu nikuwekee akiitwa dr kabla ya kifo chake?
Kwanini mwalimu nyerere akupewa heshima ya profesa? Inamaana jakaya ni rais bora kuliko nyerere?
Chanzo cha jk kupewa uprofesa china. Ni baada ya kusaini mikataba 21 kwa dakika moja. Bila hata kuipitia means alijua kilichomo. Rais wa uchina akasitaajabu uwezo wa jk fasta akampatia uprooo
Usiwe punguani wewe niwekee ushahidi wapi Rais Kikwete kajiita Dr au Prof.Mkuu usijifanye hamnazo; hivi wewe utanizuia kukuita Dr. fulani? Tatizo linakuja pale utakapofurahia na kukenua meno kwa sifa ambazo huna. Nyerere (very very rarely) aliitwa; hakujiita na wala hakuona kuitwa huko ni kitu cha maana cha kufungamana nacho au miongoni mwa visifa vyenye maana kwake. Jamani, title ya President ni heshima ya juu kabisa katika nchi; ile kuwa tu Rais huhitaji vikorombwezo vingine.
Watu wanakuwa na mashaka kwamba Rais wetu anafurahia hizo titles to Dr. na Prof. kwa sababu badala ya kuitwa na wengine ndiye anayeongoza kujiita hivyo. Unataka ushahidi? Huu hapa:Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Tovuti Rasmi ya Ikulu; kwenye hiyo tovuti rasmi ya Ikulu hakuna bandiko linalomhusu Rais ambalo halianzi na hiyo title; hiyo ni Ofisi yake mwenyewe ukumbuke.
Cha kushangaza hata wasifu wake (taz. picha yake kushoto) wameandika "Dr. Jakaya M Kikwete - Wasifu". Neno "Rais" wala halipo kwa kupapatikia cheo cha Dr. Ingependeza kama ingesomeka "Rais Jakaya M Kikwete - Wasifu" yaani kwa haraka haraka au kwa mgeni sio rahisi kujua kwamba ndiye rais wa nchi. Hebu waambieni "Kurugenzi ya Mawasiliano ..." irekebishe hiyo kitu bana; heshima kwa Rais ni u-Rais wake sio u-Dr. au u-Prof.
Cc: MpigfilimbiwaHamelin, lendila, swanga, Jumong S, inter, ifweero, Simiyu Yetu, Chabruma, kiboko ya mengi, et. al.
Chanzo cha jk kupewa uprofesa china. Ni baada ya kusaini mikataba 21 kwa dakika moja. Bila hata kuipitia means alijua kilichomo. Rais wa uchina akasitaajabu uwezo wa jk fasta akampatia uprooo
unamiaka mingapi sister? sisi tulivaa matairi ya magari miguuni, mama zetu walivaa kaniki, tulipanga foleni kununua chunvi, sabuni, mafuta ya taa, kiberiti na vinavyofanania na hivyo. ilifikia kipindi tulifua hata nguo zetu kwa magombe ya miti. halafu wewe teenager-senge unapost ujinga humu. usiandike vitu ambavyo huvijui. boring.Unajua si Mwalimu Nyerere tu ambaye amepata lundo la hizi tuzo,wapo wengi lakini hawajawahi zitumia na kujiita ma-doctor wala professor! Tanzania baada ya Nyerere,Mwinyi na Mkapa tunapitia kipindi kigumu sana ambacho mtawala wa nchi anajipachika titles za kijinga kama akina Iddi Amin na Bokassa!
Usiwe punguani wewe niwekee ushahidi wapi Rais Kikwete kajiita Dr au Prof.
Usipende kuokota maneno kwenye vijiwe vya mbege na kuleta JF.
Weka ushahidi usipoweka nakuweka kwenye orodha yangu ya mapunguani wa JF.
Usiwe punguani wewe niwekee ushahidi wapi Rais Kikwete kajiita Dr au Prof.
Usipende kuokota maneno kwenye vijiwe vya mbege na kuleta JF.
Weka ushahidi usipoweka nakuweka kwenye orodha yangu ya mapunguani wa JF.
Ndiyo maana nakuita punguani kumbe anaitwa mimi nilidhani anajiita umeona upunguani wako.Hivi mimi na wewe nani punguani? Nimekuwekea link hapo; Ofisi yake (Ikulu) ndiyo inayoongoza kumwita hivyo; kama hapendi kwanini asiwaagize waache kufanya hivyo? Niletee statement hata moja kutoka Ofisi ya Rais ikimwita Nyerere Dr. au Prof enzi zake pamoja na kuwa na lundo la hayo ma-title; haipo na haitakaa iwepo.
Wakati wa Nyerere elimu ilikuwa na thamani. Wakati wa kikwete watu wanamaliza chuo hawawezi kuandika hata essay, unategemea ma professor watakuwa wa viwango gani?
Nyerere aliamini katika matokeo kuliko maonyesho.
Kikwete ni janga la AFrica.
Usiwe punguani wewe niwekee ushahidi wapi Rais Kikwete kajiita Dr au Prof.
Usipende kuokota maneno kwenye vijiwe vya mbege na kuleta JF.
Weka ushahidi usipoweka nakuweka kwenye orodha yangu ya mapunguani wa JF.
Haya chukuwa hii bayana takuwekea na picha hii wakati Dr Nyerere yupo hai.Ebu changamsha kidogo tu akili yako, rudi kwenye hoja! Lema na Mbowe wanahusikaje na hili?
Ndiyo maana nakuita punguani kumbe anaitwa mimi nilidhani anajiita umeona upunguani wako.
Naona wewe unafuata mkumbo tu jifunze kutoka kwa Ritz.Mmh..kweli ishi kwingi uone mengi..nlijuaga wapo fb tu. ..