Hivi kwanini mwarabu anamdharau mwanamke?

Hivi kwanini mwarabu anamdharau mwanamke?

Status
Not open for further replies.
Mbona msikitini mnawabagua amkao nao....

Maswali mengine ni ya kijinga ila kwakua ulieuliza ni Mkubwa acha tukuctiri

Kwani wewe watoto wako mbona wawatenganisha vyumba watt wa kike na wa kiume sababu hasa waijua
Tumia akili usitumie Ushabiki
 
Mbona msikitini mnawabagua amkao nao....

Kuna kitu kinaitwa respect...waislam tuna respect wanawake kwa vile ni dada zetu na mama zetu.
Uislam tunaamini katika siku ya mwisho na pia tunaamini katika kupata baraka za Allah na kuingia peponi na pia tunafahamu kuingia peponi imekuwa attached na kuwatendea wema mama zetu.
Pia tunafundishwa kuwapa mama zetu heshma na kuwajali zaidi mara 3 ya mababa.

Mtume wetu katika hotuba yake ya mwisho aloitoa mlima Arafat katika hija yake ya mwisho aliusia juu ya kuwatendea wema na kuwapa fursa wanawake na wake zetu.
Hivyo uislam uko wazi juu ya haki za wanawake.
Wakisali peke yao hio ni respect kwao..hao ni dada zako na wa wenzio...wanawake wanataka privacy yao.
Ukiweka mabasi yao hio mi kuwa respect dada zetu..tunawapa heshma.
Sio ushenzi huu wa kiafrika wakristo kwani hata wazungu wapo tofauti kina dada wanagombania kuingia daladala na mijidume ..nguo zao zinachanika...wengine wanaume kazi yao kuwakobea na kukaa nyuma ya ------ yao na huku gari limebanana mpaka mibaba wengine ule msuguamo huwajimwagia mashahawa....hakika mna hasara kweli...
Nchi za kiislam huwezi kukuta haya. Ukienda oman gari halipiti kama mwanamke na watoto wamakatisha barabara.
Kwenye bus wao huingia mwanzo na wanaka mbele then ndio mibaba inaingia.hii ni respect sio ubaguzi.
Kuendesha gari ni sheria ya nchi na haikatazwi na uislam bali kama fursa hio inaleta uchafu na uhuni kwa wasichana wanayo haki kuzuia jambo hilo.
Hapa tunaona wanawake wenye magari wakifanywa ndani magari ...hivyo hio ni sheria yao ya kiserikali.
Uislam kwa ufupi ni mfumo kamili wa maisha na wanawake wetu tunawaheshimu na kuwajali kwami pepo ipo miguuni kwao
 
Mwenyezi Mungu anasema "sikuwaumba majini na watu ila waniabudu"
Majini/shetani ni viumbe wa Mungu, na wala hakuumbwa waje kufanya maovu hapana wameumbwa ili kuja kumuabudu Mwenyezi Mungu, tatizo la nyinyi wenzetu mnatafsiri shetani vibaya

Kwa maana hiyo shetani anakubalika/anadhaminika katika uislam?
Chagua jibu sahihi

a) ndiyo
b) hapana
 
-

Katika Quran 19:83 “

Je, huoni ya kuwa

tumewatuma

mashetani juu ya

makafiri

wanaowachochea

kufanya mabaya?”

Kwa mujibu wa Allah Shetani ni MTUME wa allah na ametumwa kuja kuchochea watu wafanye mabaya, maovu,

Wewe unatuambia shetani hakuumbwa ili aje kufanya maovu

Sasa ebu tuambie kati ya wewe na quran ni nani ndie muongo zaidi?
hivyo eeh!
 
-

Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) Amempa heshima mwanamke kwa kumpandisha cheo kutoka Kwake na sio kutoka kwa mwanamme. Lakini hiyo sio hali ya mwanamke wa Kimagharibi, kwani Mungu anafutwa kabisa na hakuna ulinganisho unaofanywa ila kwa mwanamume tu. Matokeo yake mwanamke wa Kimagharibi analazimika kutafuta cheo chake kwa kujilinganisha na mwanamme. Na kwa kufanya hivyo, amejikubalisha kufuata njia isiyo sahihi. Amekubali kuwa mwanamme ndio kigezo chake, na hatoweza kuwa binadamu kamili mpaka awe sawa na mwanamme.

-

Na ni wanawake wangapi tunawaona wakiiga nyendo za kiume? Mwanamme anapokata nywele zake, na yeye hutaka kuzipunguza. Anapojiunga na jeshi, mwanamke pia hutaka kujiunga na jeshi, mwanamme akiwa konda wa daladala na yeye pia anataka kuwa konda wa kike na mengineyo zaidi. Anataka vitu hivi bila ya sababu nyengine ila ni “usawa”.

-

Kawaida ya mwanamke wa Kimagharibi ni kuwa, anamsahau Mungu na hayupo kwenye imani iliyo sahihi. Haya ndiyo yanayofanyika hata kwa wanawake wa Kiislamu, kujidai kumsahau Mungu na kutoka kwenye imani iliyo sahihi. Pia wanawake wa Kiislamu wamekuwa wakifuata kwa upofu mwenendo usio sahihi na kiitikio cha dhana ya kuwa mwanamke ni sawa na mwanamme kwa kila kitu. Muislamu wa kike anasahau kutambua kuwa Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) amempa heshima mwanamme na mwanamke kutokana na tofauti zao na sio kutokana na usawa. Hakika sio maadili ya Uislamu kufuata kila akifanyacho mwengine hata kikiwa sio sahihi. Hili ndilo linalofanyika kwa wanawake, kwa kuwa mwanamme anakifanya na wanawake watake kuiga. Kwa mfano mwanamme kuongoza swala ya jamaa wakiwemo hata wanawake ndani yake kumewashughulisha sana wanawake mpaka kufikia kutaka kuswalisha hata wanaume. Na kuongoza sala sio bora kwa kuwa ni jambo la uongozi tu. Yule anayeongoza sala hana kwa njia yeyote hadhi ya imani na dini. Kama kweli ingekuwa nafasi ya mwanamke kupata utukufu, cheo na utashi wa dini, kwanini Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) ashindwe kumuomba Bibi Khadiyjah (Radhiya Allaahu ‘Anha) au Bibi Ayshah (Radhiya Allaahu ‘Anha) ambao ni bora wa bora kwa viongozi hawa wa kike kuongoza swala? Wanawake hawa waliahidiwa pepo kwa imani zao na wala sio kwa uongozi wao.

-

Wanawake wa leo wanamuangalia mwanamme na kuanza kufikiria kuwa “hiyo sio haki”. Kila kukicha wanamuangalia mwanamme alifanya nini jana na anaendelea kwa kuvumbua nini ili naye mwanamke apate kuwa sawa na huyo mwanamme. Wanawake wanafikiri hayo, ijapokuwa kwa upande mwengine Mungu hakutoa utukufu wowote kwa mwanamme katika mambo ya mirathi wala kuongoza swala. Isipokuwa kikubwa walichonacho wanaume ni mzigo wa majukumu ya kuwatumikia hao wanawake kila siku. Wanachoshindwa wanaume, ni kusimamisha huo wajibu wao, na ndio maana wanawake hawapati haki zao. Yareti kama wanaume watamhifadhi mwanamke na kumtumikia namna ambavyo Uislamu umeamrisha, mwanamke leo hatowaacha watoto wake kwenda kutafuta kazi zisizokuwa za msingi. Ni juu yao wanawake kupigania haki zao na sio kuzibeza tu kila kukicha.

Ni wakati wa wanawake kukaa kupitia daarisa zinazomgusa mwanamke na kuona neema alizofadhilishwa kwa dini yake na sio kwa jinsia yake. Na Mungu amempa heshima pekee mama. Mtume ametufundisha kuwa pepo ipo chini ya nyayo za mama. Lakini vyovyote atakavyofanya mwanamme, hawezi kuwa sawa na mwanamme. Kwa jambo hili mbona hakuna usawa? Kwanini mama amepewa heshima pekee kuliko mwanamme? Lilipotolewa suala nani anayefaa kupewa heshima zaidi baina ya mama na baba, Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alijibu “mama” mara tatu kabla ya kusema “baba” mara moja tu. Je kwa hili wanaume hawahitaji ukombozi? Sasa tuigeuze shilingi upande wa pili kwa kuuangalia wajibu wa mwanamme kumtumikia mwanamke katika malazi, mavazi mpaka viazi (chakula). Pia tunamuona mwanamme akifaradhishwa kuswali msikitini hali ya kuwa mwanamke amestiriwa kutekeleza ibada hii adhimu ndani ya nyumba yake. Jee kwa hili kuna usawa? Hamna wanaume watakaopenda na wao waruhusiwe kuanzia sasa kuswali vyumbani mwao bila ya udhuru wowote? Mbona hapa wanaume wanahitaji ukombozi? Na kwanini asisimame mwanamme kutetea ukombozi wa kijinga kama huu kwa ile dhana ya “jinsia sawa”? Hii yote kwa sababu mwanamme si mtu wa kuchezewa kifikra mara moja. Anaelewa umuhimu wake ndani ya jamii na nafasi yake kwa mwanamke. Kilichoshindikana hapa ni utekelezaji tu wa mwanamme juu ya majukumu yake. Na ndio maana hatokaa mwanamme kuanza kunadi “ukombozi wa mwanamme” Na itakuwa kioja cha karne wanaume kudai usawa katika mambo hayo. Tunarudia kusema vyovyote afanyavyo, mwanamme (baba) hawezi kuwa sawa na hadhi iliyo sawa na mama.

-

Na katika mambo ambayo Mungu amempa heshima kwa upekee wake mwanamke, atajifanya kuwa na kazi ya kutafuta nafasi na heshima yake kwa kigezo cha mwanamme, iwe ni kwasababu ya cheo au hata kuwa kuonekana tu. Kwa hivyo upekee wake mwanamke uwe wa aina yoyote, kulingana na desturi za Uislamu ni kujishusha hadhi kwa kujilinganisha kwake na mwanamme. Kwa hisia hizo ni aibu, kwani hata cheo kile tukufu cha mama kimesahaulika. Kwenye mapambano baina ya vita vya hisia na uwezo wa kufikiri, ni kawaida sasa uwezo wa kufikiri unaingiliwa zaidi na cheo. Na ndio maana mwanamke amekuwa akikimbilia cheo bila ya kuhisi au kufikiria taathira mbaya kwa jamii nzima.

-

Muda atakapoanza mwanamke kukubali kuwa kila afanyacho mwanamme ni bora, vyote vitakavyofuata ni kujibeza na kujiona kuwa hayupo sawa. “Kama mwanamme anacho na sisi tunakitaka” Kama mwanamme amekuwa akifanya kazi, wanahisi kuwa hilo ni bora na hivyo kutaka kuwa mbele katika kazi hata zisizoshabihiana na maumbile yake mwanamke au hata kuingia katika biashara haramu. Hukaa hadi kufikiria kuwa kama wanaume wanasalisha, basi Imam (mwanamme) yupo karibu na Mungu.

-

Kwa njia hizi, wanawake wamejikubalisha na hisia ya kwamba uongozi hapa duniani ni bora kuliko kuwa na cheo chao pekee mbele ya Mungu. Muislamu wa kike hahitaji kujidhalilisha, lazima atambuwe kuwa anaye Mungu kama mfano wake. Anaye Mungu wa kumpa cheo chake, hapa hahitaji mwanamme.

-

Kwa kweli, vita hivi vya kumfuata mwanamme, wanawake hawajakaa kuangalia kuwa walivyonavyo ni bora kwao. Na katika kadhia nyengine, mwanamke amekubali hata kuutupa utukufu wake kwa sababu tu ya kuwa sawa na mwanamme. Yule konda wa kike akibakwa na kukashifiwa atamlaumu nani? Mbona hatusikii konda wa kiume kubakwa?

-

Miaka hamsini iliyopita, mwanamme alionekana kuondoka nyumbani kwenda viwandani. Na mwanamke wakati huo akiwa nyumbani kama mama. Na wakati huo huo mwanamke alijua fika kuwa mwanamme anakwenda viwandani kwa ajili yake yeye, akaona kana kwamba ni ukombozi wa mwanamke kuacha kumsimamia kiumbe chengine (mtoto) ili tu kufanya kazi viwandani. Amekubali kuwa kufanya kazi ni lazima, na cheo ni bora kwani tu inanyanyua upande mdogo wa msingi wa jamii. Hii yote ni kwasababu mwanamme anafanya na mwanamke anataka kuiga.

-

Jamii inashindwa kuelewa taathira ya kazi hiyo, kwani bado mwanamke anatarajia kuwa kiumbe aliye bora, mama bora, mke bora, mfanyakazi mzuri wa nyumbani na mfanyakazi bora wa kike. Yote haya anatarajia yeye kiumbe mmoja mwanamke. Ingawa kwa kweli hamna kosa lolote, kwa maana ya mwanamke kuwa na kazi, lakini baadaye mwanamke anakuja kutambua kuwa amejitoa sadaka kwa upofu wake wa kumfuata mwanamme.


Tunaangalia tukiwaona watoto wakikulia kuwa na tabia za maajabu, na baadaye tunatambua ni namna gani watoto wetu wangekulia kama mama angemsimamia vilivyo mtoto wake. Kwa mnasaba wa utandawazi, Jamii inaanza kuangusha lawama kwa kuporomoka maadili. Na kwa vile utandawazi ni wa jinsia zote, lawama ni za wote. Na kwa vile utandawazi haushughulishwi na uchaguzi wa kazi kwa jinsia, lawama zaanzwa kushushwa kwa wanaume pia, wakae ndani kupika na kulea watoto kama wafanyavyo wanawake.


Namna hoja zitakavyotolewa, ni kweli kuwa mwanaume ana wajibu wa kuchangia malezi kwa kuwa karibu na mtoto wake. Mtoto halelewi na mzazi mmoja tu, ni mashirikiano ya baba na mama, wote wawili kwa wakati mmoja. Lakini kati ya mwanamke na mwanamme, ni nani mwenye nafsi na maumbile ya kulea mtoto akakulia kuwa ni mtoto wa kweli? Ni baba au mama? Ukweli ni kuwa mama. Au Mungu alikosea kumpatia maumbile ya kumnyonyesha mtoto kupitia kwa mwanamke? Kwa wanavyojidai kupigania “jinsia sawa” ilibidi mwanamme na mwanamke wote wawe na maumbile ya kumnyonyesha mtoto.

-

Ni wanawake wangapi wanaomba kubaki nyumbani na watoto wao, lakini wanalazimika kuwa kazini kutokana na “umuhimu wa fedha”. Mwanamke wa leo ameshughulishwa kufanya kazi sio tu kwa ajili ya familia yake, bali ni kukua kwa matumizi yasiyo na msingi. Ni fedha ngapi yaenda kwa saluni? Ni fedha ngapi zaenda kwenye sherehe zisizo na maana katika misingi ya Uislamu? Mwanamke amefunguliwa saluni, duka la nguo za mitindo ya Magharibi na mengineyo zaidi. Akili ya mwanamke imeelekezwa huko bila ya kuifikiria jamii kwenye matatizo ya mayatima na maeneo ya kusomea. Yareti kama mwanamke atakuwa na maisha ya wastani, atatumia muda wake mwingi kumtumikia mtoto na sio kazi. Mwanamke mjinga ni yule afanyaye kazi kutwa, na kumaliza muda na pesa zake kwenye saloon,-parties na trips akimwacha mtoto wake kulelewa na nyanya.- Umuhimu huu unalazimishwa zaidi na hisa za “jinsia sawa” kutoka Magharibi ambao umemuondoshea mwanamke wa Kiislamu dhana ya cheo cha mwanamke kwa kigezo cha “tofauti za jinsia” na sio “jinsia sawa”.

-

Imewachukua karibu karne moja wanawake wa Kimagharibi kutambua cheo cha mwanamke. Ambapo ndani ya Uislamu, mwanamke ana cheo chake takriban miaka zaidi ya 1,400 iliyopita. Mwanamke atakuwa dhalili pale atakapohitaji kuwa na cheo kilicho sawa na mwanamme. Na kusema ukweli, hahitaji kuwa sawa na mwanamme. Kwani, mwanamke wa kweli, hatofikia ukombozi halisi wa mwanamke hadi pale atakapoacha kujilinganisha na mwanamme kwenye mambo yasiyo na msingi. Hii ni kwa sababu, mwanamke ana cheo na utukufu wake kutokana na tofauti yake na mwanamme. Cheo kilichotunukiwa kutoka kwa Mola.

-

Kwa yule mwenye akili, daima atachagua uadilifu dhidi ya uhuru. Hali kadhalika, baina ya uongozi wa dunia na pepo chini ya nyayo, atachagua pepo.

-

Namna utakavyoenda Mashariki, ndivyo utakavyoipa mgongo Magharibi. Namna utakavyokuwa na shughuli za kuitumikia Dunia ndivyo utakavyokuwa mbali na Akhera. Na ndio maana kila mwanamke akitumikia kazi anakuwa mbali na mtoto. Kipi muhimu zaidi baina ya nafsi ya mtoto na fedha za ziada? Daima nafsi ya mtoto itakuwa juu. Kumbuka kuwa mwanamke ana cheo kikubwa kwa ulezi wake uliojaa huruma, uadilifu, subira na hekima. Hakuna utajiri kuliko kukinai. Mwanamke aparamie ngazi moja baada ya nyengine, afanye kazi mithili ya punda kwa ajili ya pato la dunia. Lakini daima akumbuke kwamba, mtoto ndio kigezo chake kwa jamii anayoishi. Akimharibu, amejiharibia, akimchunga, amejichunga.
 
Wale wote wanaochanganya mambo kuhusu Waislam wanawake, katika Quran mwanamke kapewa hadhi kubwa sana.

Mwanamke kwenye Uislam haruhusiwi hata kwenda vitani.

Mwanamke pepo yake ni mambo mawili tu kumuheshimu mume wake na kujistili na kumcha Mungu wake.

Quran inasema radhi zetu sisi binadamu hapa duniani zipo kwa wanawake mama zetu.
 

HAKIKA MUHAMMAD ALIKUWA NABII WA UONGO



Muhammad(SAW) alikiri kuwa yeye hakuwa na uwezo wa kufanya Miujuza
Ndugu zanguni, leo ningependa tusome kidogo kuhusu huyu Muhammad aliye dai kuwa yeye katumwa na Mungu. Hebu soma kwanza:

17. SURA AL ISRAAI (BANI ISRAIL)


90. Na walisema: Hatutakuamini mpaka ututimbulie chemchem katika ardhi hii.
91. Au uwe na kitalu cha mitende na mizabibu, na utupitishie mito kati yake ikimiminika.
92. Au utuangushie mbingu vipande vipande kama ulivyo dai; au utuletee Mwenyezi Mungu na Malaika uso kwa uso.
93. Au uwe na nyumba ya dhahabu, au upae mbinguni. Wala hatutaamini kupaa kwako mpaka ututeremshie kitabu tukisome. Sema: Subhana Rabbi, Ametakasika Mola wangu Mlezi! Kwani mimi ni nani isipo kuwa ni mwanaadamu na Mtume?
(Qur-Sura 17:90-93)



Baada ya kuombwa afanye angalau muujiza mmoja tu, Muhammad alishindwa vibaya sana na kuto fanya hata muujiza mmoja.


Swali:
1. Kwanini Muhammad alishindwa kufanya miujiza kama alivyo ombwa afanye?
2. Muhammad ni Nabii peke yake alieshindwa kufanya Miujiza tokea dunia iumbwe, Je, anaa kufuatwa na kuaminiwa?
3. Kwanini Allah nay eye hakumsaidia Nabii wake kufanya muujiza?


HAKIKA MUHAMMAD ALIKUWA NABII WA UONGO
acha utani, alifanya muujiza wa kutoka jasho jingi kwenye vidole vyake.
 
Wale wanawake wanaofanywa mamiss hamuoni kama wanadhilishwa ma wanashushwa thamani?mnabaki na waarabu tu!!yaani mwanamke anabakishwa na chupi tu na sidiria kisha anaonyeshwa live kwenye tv dahh ule ni udhalilishaji kabisa hawana hata haya mwili
wake unakuwa nothing eti kisa miss kisa
m20.mwambie mkeo kesho atoke hivyo uone
utajisikiaje!!

Kaka wanataka watu wote tuwe kama wafanyavyo viongozi wao wakubwa wa Imaani yai
 

Attachments

  • 945654_194172747401404_1535154406_n.jpg
    945654_194172747401404_1535154406_n.jpg
    28.1 KB · Views: 90
Haikuwa ni bure kuwapatia uongozi wanaume juu ya wanawake ndani ya Uislamu. Huu ni uongozi wa kimaumbile ambao unakubalika ndani ya makabila na mataifa mengi duniani; kwamba mwanamme ndio mkuu wa shughuli za mwanamke.
-
Allaah Anasema ndani ya Qur-aan Tukufu (tafsiri):
-
{{Wanaume (wawe) ni walinzi wa wanawake; kwa sababu Mwenyezi Mungu Amewafadhilisha baadhi yao kuliko wengine, na kwa sababu ya mali zao wanazozitoa.}} [An-Nisaa: 34]
-
Waislamu tofauti wamekuwa wakifanya harakati za kurudisha utamaduni wa Kiislamu. Hata hivyo, kibarua hichi kimeonekana kuwa ni kigumu mno. Tatizo kubwa linalotukabili ni wanaume wenyewe kukosa muelekeo pamoja na kuacha muongozo sahihi wa Uislamu.
-
Wanawake wamekosa hayaa hadi kutembea utupu. Heshima baina ya mume na mke zimeporomoka, halikadhalika baina ya baba na binti. Haya yote yanasababishwa na mwanamme mwenyewe. Yareti kama mwanamme atakuwa na msimamo mbele ya mwanamke, hatayumbishwa.
-
Ni nani anayemvizia mwanamke hadi kumuingiza ndani ya mtego wa panya? Nani anayemfadhili na kumtembeza mwanamke mithili ya kinyago? Bila ya shaka yoyote, majibu ya masuala haya ni mwanamme! Kwani mwanamke anapovaa Hijaab, ni mwanamme ndiye aendae kumwambia yu mshamba. Anapovaa jeans na mini skirt, mwanamme atampigia kofi za kila namna. Sasa mwanamke anapotembea bila ya kufuata misingi ya Kiislamu nani tumlaumu? Wa kwanza ni mwanamme.
Hivyo sivyo kwa upande wa Uislamu, kwani mwanamme ndio anatakiwa kuwa kinara wa tabia nzuri. Hapo inakuwa ni rahisi kufuatwa tabia hizi njema kwa mwanamke: “Muumini aliyekamilika kwa imani ni yule mwenye tabia njema, na mbora wenu ni yule aliye mbora kwa wake zake kwa tabia.” (Abu Daawuud na At-Tirmidhiy).
Wahenga walituambia: "Mti hawendi ila kwa nyenzo." Ukweli ni kwamba, mwanamke ni mwepesi wa kuiga mambo kama alivyo mtoto. Hivyo, yahitajika muongozo sahihi na hoja nzuri za kumridhisha. Iwapo atapatiwa wigo wa Uislamu, hiyo itakuwa ni nyenzo tosha kwake. Pia tufahamu kuwa haitakikani kutumia nguvu na mabavu kumfunza mwanamke. Hekima na busara zaidi zitumike kumfahamisha. Hii ni kwa mujibu wa maneno ya Mtume wetu (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) aliyesema: "Mwanamke Ameumbwa kwa ubavu, na sehemu iliyopinda ya ubavu ni juu yake, ukijaribu kuunyoosha utauvunja, na lau utauacha utaendelea kupinda, nakuusieni (kuwafanyia wema) wake zenu.” (Al-Bukhaariy na Muslim).
Lawama za kuporomoka maadili kwa wanawake kwanza kabisa ziwaendee wanaume wenyewe! Na ndio maana hata Siku ya Hesabu mume ataulizwa juu ya mkewe, baadae ndipo ataulizwa mke mwenyewe juu ya mumewe. La muhimu, ni mashirikiano mema baina ya mume na mke.
Juu ya kukosa muongozo na ulinzi tosha kutoka kwa mwanamme, bado mwanamke anatakiwa kujituliza na kujiheshimu, kwani hiyo ni amri ya Mola Mlezi:
{{Basi wanawake wema ni wale wenye kutii, wanaojihifadhi (hata) wasipokuwapo (waume zao); kwa kuwa Mwenyezi Mungu Amewaamrisha wajihifadhi.}} [An-Nisaa: 34]
 
Kwanini mwanamke akibakwa au kuzaa nje ya ndoa apigwe mawe hadi afe wakati mwanaume/wanaume waliombaka hawafanywi chochote? Napo utasema siyo waislam?

Kitu kama hukijui ni bora ukanyamaza tu broo unajiabisha tuu......sasa hapo juu ndio umeandika nini si bora ungekaa tu kimya. Sheria ya kiislam inasema mzinifu wanamke na mzinifu mwanamme kama hawajaoa au kuolewa wote wanapigwa viboko 100 na mtu mwenye nguvu na pia mzinifu mwanamke na mzinifu mwanamme kama wamshaoa au kuolewa hawa wote azabu yao ni kupigwa mawe mpaka wafe...sasa hapa ni wapi mwanamme ameachwa........fuatilia mambo mzee sio unavamia tuu
 
Je? Shetani kulala katika pua zenu ndio kushinda?

Kulalamika ndio kushinda?
Maana walioshinda huwa si walalamikaji,
Kila siku mnalalamika mfumo kristo,

Kila siku mnadai upendeleo,
Huko ndio kushinda?

a.Kwa kulalamika kweli uislam umeshinda

b.Kwa shetani kulala kwenye pua zenu kweli mmeshinda

c.Na kwa kuwa na chuki uislam umeshinda,
5:51. Enyi mlio amini! Si halali kwenu kuwachukua Mayahudi na Wakristo mkawafanya ndio marafiki zenu. Wao hao ni sawa sawa katika kukufanyieni uadui. Na mwenye kufanya urafiki nao, basi ni kundi moja nao. Na hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi wanao jidhulumu nafsi zao kwa kufanya urafiki na makafiri.
5:51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu

Hii ni chuki au ni upendo ?

kulhani imekaa kitaarab taarabu hivi. lol! hata taarabu, ni nyibo za kiislamu.
 
Katika vitu vinavyokata swalat ni mbwa mweusi au mwanamke akipita mbele za mwanaume anayeswali. Je huku ndiko kumthamini?

Sio kweli,ibada za dini ya kiislamu huzijui hayo ni maneno ya yako waulize wanaojua wakuelimishe!
 
Je unaweza kunionyesha USA kwenye aya hii?

Quran 5:51 Haiwalengi USA INAWALENGA WAKRISTO NA WAYAUDI,

Je USA HAKUNA WAISLAM?

NA USA AIONGOZWI NA INJILI WALA TORATI,

Na katika vita hivyo ulivyokumbushia hata waislam waliusika kumpiga ghadafi na sadam

Na hivyo vita vilikuwa ni vya kisiasa na si vya kidini,
maana VINGEKUWA NI VYA KIDINI WANGEANZA KWANZA NA WAISLAM WALIOPO USA
ndipo waende libya na iraq

Na huo urafiki wa Sadam na ghadafi na USA ulikuwa wa kisiasa si kidini

Lakini chuki zinazopandikizwa na allah ni za kidini si za kisiasa

NA UMEKWEPA SWALI hii ni chuki au ni upendo?

KWA MAANA HIYO HOJA YAKO HAIINGI HAPA.

Huwezi kuitoa serikali ya usa na ukiristo na huwezi kuizungumzia Israil Yahudi bila usa kama hujui uswahiba wa serikali ya Washington na Israil na uswahiba serikali za Ulaya ikiwemo Uk na Vatikan na serikali ya Itali basi ww huijui hii dunia. Mm nimefanya staha tu ktk maandiko yangu sikupenda kufunguka zaidi. Lakini serikali za Ulaya na Usa ni serikali zinazo upenda ukiristo
 
Nakupa mfano mmoja tu ww uliyekurupuka kuanda mada hii ya uongo huko kwa waraabu mwanamke akiachika bac mume anapaswa amtizame kwa kila kitu akiwa na watoto na km mume atakua hatoi matumizi bac mwanamke akenda kushtaki huyo mwanamme mshara wake unakatwa na kupewa mmke wa kutosheleza mahitaji yake.Twambie hapa wangapi wameachwa na watoto hawauliizwi hata pesa ya chumvi nani alowatetea?nani anamnyanyasa mmke ?mwarabu au cc waacrika?soma babaa!usikurupuke au chuki tu binafsi imetawala?
Na km mnafikiri uislam ndo unamnyanyasa mke mjue kua Uislam ndio mkombozi wa wanawake kuna mengi tu yalikuja kumuokoa mmke kutokana na unyanyasaji.
Unajua mmke hata km anafafanya kazi mme ndio amtizame kwa kila kitu?yy matumizi ni hiari yake?hata km mwanamke ana nyumba ndio anaishi na mume wake mume anawajibika ailipie kodi amlipe huyo mkewe,ila km mmke mwenyewe ameridhika kumsamrhe mumewe.Na ukimuacha mmke unatakiwa km ana watoto umpe makaazi na matumizi kamili,na ikiwa ana mtoto mchanga anamnyonyesha bac umpe chakula mmke na pia umlipe ujira wakunyonyesha mtoto wenu kwa kiwango atakachotaka yeye ,yapo mengi tu mwenye macho haambiwi tazama.
 
Uislam ni unyama. Mtu akimdharau mama yake au mtu sawa na mama yake utamuitaje ?

NI Kweli, wanahamasisha kujitoa mhanga. mkiristo gani alishawahi kujitoa mhanga? Uislam unafundisha kuuwa watu......kuchinja wakiristo wasio na hatia.
 
Mabwege tu hao wanaouzungumzia uislamu wasioufahamu. Mbona hawazungumzii kashfa ya mapadri wa kikatoliki kulawiti watoto? Mbona hawazungumzii mapadri wa kianglikana kuolewa na wanaume wenzao? Mbona hawazungumzii mabasha wao wa kizungu kuhalalisha ndoa za kisodoma na gomola?. Uislamu ni dini ya haki. Isomemi na sio kuzunhumza kwa mafikirio ya mapadri na makakasisi wenu. Muigeni aliyekuwa PAPA aliyestaafu baada ya kuujua vizuri uislamu. Papa aliamua kuingia msikitini mjini instabul uturuki na kusaliswa na waisalamu. Alipomaliza sala, AKAAMUA KUACHANA NA UKRISTO KWA KUTANGAZA KUSTAAFU. Nj

Ndo mnavyodanganyana huko misikitini kuwa Papa amestaafu kwa ajili ya uislamu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom