Wadau kuna jambo huwa najiuliza lakini nakosa majibu, inafahamika kuwa uarabuni mwananke ananyimwa haki kama ilivyo kwa baadhi ya makabila Afrika. Lakini wenzetu waarabu wamezidi, kuzuiawa kuendesha gari Saudia inafahamika.
Mimi nilidhani kuwa wanawanyima haki kama ilivyo mfumo dume, lakini wao wamezidi. Huko Misri wasichana wanapigwa au kujeruhiwa wakionekana mtaani. Jana kwenye taarifa ya habari huko Parkistan imefikia hatua imebidi wawatafutie daladala zao peke yao. Wanawake walifurahia kupatiwa daladala specho kwa yao, wanalalamika kuwa wakipanda daladala za kawaida, yaani jinsia zote, wanaume uwatukana matusi, uwaonesha chuki kama vile wao si binadamu.
Sisi tunanyanyasa wanawake lakini si kiwango cha kutotaka kuwaona hata mtaani. Jambo la kujiuliza, hivi nani huwa anawazaa Waarabu, hawa si ndiyo mama zao ambao wamewatunza tumboni na kuwalea wakiwa hawajitambui. Any way, kwanini wanachukia wanawake kiasi cha kuwaona kama mbwa?.
http://www.youtube.com/watch?v=r_hGOkYUUg0
View attachment 147324
Kakende,
Wewe kwanza kweli ni kakende tena kile kilogeuka kabusha.
Kwanza hata hujui waarabu ni nani, pili umekurupuka kuandika bila ya kufanya home work wacha kufanya utafiti. Umeangalia Pakistan na kuweka basi za wanawake, wewe shule gani uliyosoma ukafundishwa kuwa Pakistanis ni Waarabu?
Israel wanawake wanalazimishwa kukaa viti vya nyuma katika public transport buses. Hivi karibuni mwanamke alishushwa basi na.kutemewa mate kwa sababu amegoma kukaa viti.vya nyuma kule Israel.
Mwanamke Daktari tena mwanasayansi alifanikiwa kuvumbua dawa amabayo itaponyesha magonjwa sugu ya watoto basi mgeni wa heshima ambae ni Rabi wa madhehebu ya Orthodox Jews alipangiwa amkabidhi mume wake eti asipokee mwenyewe tuzo sababu ni mwanamke na hapo ukumbini alibidi akakae upande wa.wanawake na hali aliambatana na mume wake pale ukumbini.
Madhehebu hayo hayo yana walazimisha wanaume kuangalia chini wanapotembea mitaani ili wasi waangalie wanawake.
Mtoto wa miaka minane alitemewa mate usoni sababu mama yake amemvalisha kigauni kinachoonesha vipaja vyake.
Matangazo ya biashara kwenye Billboards yanayoonyesha wanawake walovaa bikini au sehemu yoyote inayoonyesha wazi kwenye mwili wa mwanamke kuanzia shingoni hata kwa mfano sehemu ya juu ya kifua basi humwagiwa rangi nyeusi au hata kubomolewa.
Sasa nakupa mfano wa hadithi ya Mtume Muhammad hapa kuhusu Uislam na haki za wanawake:
Sahih Bukhari English - Reference: Sahih Bukhari English,Volume 04,51. Wills,Hadith 025:-
Narrated Az-Zuhri:
`Urwa bin Az-Zubair said that he asked `Aisha about the meaning of the Qur'anic Verse:--
"And if you fear that you will not deal fairly with the orphan girls then marry (other) women of your choice." (4.2-3)
Aisha said, "It is about a female orphan under the guardianship of her guardian who is inclined towards her because of her beauty and wealth, and likes to marry her with a Mahr less than what is given to women of her standard. So they (i.e. guardians) were forbidden to marry the orphans unless they paid them a full appropriate Mahr (otherwise) they were ordered to marry other women instead of them. Later on the people asked Allah's Apostle about it. So Allah revealed the following Verse:--
"They ask your instruction (O Muhammad!) regarding women. Say: Allah instructs you regarding them..." (4.127)
and in this Verse Allah indicated that if the orphan girl was beautiful and wealthy, her guardian would have the desire to marry her without giving her an appropriate Mahr equal to what her peers could get, but if she was undesirable for lack of beauty or wealth, then he would not marry her, but seek to marry some other woman instead of her. So, since he did not marry her when he had no inclination towards her, he had not the right to marry her when he had an interest in her, unless he treated her justly by giving her a full Mahr and securing all her rights.
Asante