Hivi kwanini mwarabu anamdharau mwanamke?

Hivi kwanini mwarabu anamdharau mwanamke?

Status
Not open for further replies.
Uislam ni unyama. Mtu akimdharau mama yake au mtu sawa na mama yake utamuitaje ?

Huna unachofahamu juu ya uislamu uislamu upo katika kuhifadhi jamii Na uislamu umnataka kutokuwa Na mchanganyiko Kati ya wanaume na wanawake katika mikisanyiko yake. Tufanye mfano mmoja umepanda basi mchanganyiko Na mama yako halafu dungadunga akamchafua mama yako Kwa nyuma utafurahia hilo acheni ushabiki wa kipuuzi huo. Kama dini zenu zinaruhusu ndoa za mashoga ni nyie Na ushoga wenu uislamu utasimamamia mambo ya haki milele
 
Hakuna chuki ya aina yeyote ile bali ni misingi na sheria(matakwa)ya dini ndizo zinazo amrisha mwanamke kuwa katka mzingira ya namna hyo ila unapaswa kujua kuwa hakuna mtu anae thamininiwa kama mwanamke ktk dini ya kiislaam...inshaallar kwa leo mi naona niishie hapa..!!!!
 
Usilinganishe dini ya mungu na dini ya kutengeneza ni vitu viwili kabisa
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom