Hivi kwanini mwarabu anamdharau mwanamke?

Hivi kwanini mwarabu anamdharau mwanamke?

Status
Not open for further replies.
-

Katika Quran 19:83 “

Je, huoni ya kuwa

tumewatuma

mashetani juu ya

makafiri

wanaowachochea

kufanya mabaya?”

Kwa mujibu wa Allah Shetani ni MTUME wa allah na ametumwa kuja kuchochea watu wafanye mabaya, maovu,

Wewe unatuambia shetani hakuumbwa ili aje kufanya maovu

Sasa ebu tuambie kati ya wewe na quran ni nani ndie muongo zaidi?

Unachanganya mambo, hata wewe ni shetani, nini kinakufanya wewe usiwe shetani wakati unaabudu binaadam mwenzako.

Hiyo post uliyoijibu inaongelea Majinni na Binaadam. Wewe unaongelea shetani. Kumbuka shetani anaweza akawa jinni na anaweza akawa binaadam kama wewe.
 
Wewe unajua hadithi? Unajua hadithi zote ni sahihi? Unajua maadui wa uislam wameanza leo? Unajua kuna hadithi ngapi ni za kuletwa tu na maadui wa uislam na mwisho kuandika (sahihi muslim) unalijua hilo?

SURA 4:34 inahitaji ufafanuzi au na hiyo ni hadithi ya maadui wa uislam?

Shida yenu mkishindwa kutoa ushahidi wa jambo mnakimbilia kubwabwaja. Sio nyinyi mnaoambizana kusoma quran na hadithi.

Kwa kifupi, watu wakiamua kuweka aya hapa kutachafuka.
 
Muungwana haropoki hasemi ila vitu alivyo ifanyia utafiti,wala hio bibilia si dhani kama inawafundisha wafuasi wake kutusi dini za wengine,ndugu zangu mnaokashifu Uislam someni muelewe msitopoke tu kwani mtajidhuru wenyewe,kitu km huna elimu nacho bora nyamaza.Kwa kuwasaidia wale wasiojua uislam someni nenda The Religion of Islam, tubeislam sikiliza video za comparative religion nawaombeni mtumie muda muwaskilize kina Dr Zakir Naik ktk video yake ya concept of God in major religion,is Quraan God's words?,scientific errors in the bibble na nyingi tu pia stories of the converters na mengineo mengi ikiwa mnataka kujua ukweli. Pia angalieni lectures zao ktk Peace TV .
Mtaskia mengi msichukue aya na ahadithi out of conext mkapoteza watu.Kuna wachungaji kibao na mapadri wamesilimu hamujulizi kwa nn?lakini hujasikia sheikh aalimu aliyesoma Uislam katoka ktk dini yake lkn mapadri waliousoma ukristo wakauelewa ikisha wakasoma uislam bas wanaiona haq na baatil.mfano wapo hapa na nje wengi tu.km ww kitu huamini si km ndio ukweli au kutukana ndio itasaidia kuubatilisha ukweli,haq itabaki hata mkiichukia.
 
Unachanganya mambo, hata wewe ni shetani, nini kinakufanya wewe usiwe shetani wakati unaabudu binaadam mwenzako.

Hiyo post uliyoijibu inaongelea Majinni na Binaadam. Wewe unaongelea shetani. Kumbuka shetani anaweza akawa jinni na anaweza akawa binaadam kama wewe.

Na hii ya mwanamke kubondwa na mumewe?
 
Hakuna sehemu yeyoye uislam unamnyanyasa mwanamke, inabidi usome japo kidogo kutoa ushamba, watu wanasema tu na wamejengewa kwenye mind zao visivyo ndivyo kuhusu uislam

Mbona msikitini mnawabagua amkao nao....
 
Hakuna sehemu yeyoye uislam unamnyanyasa mwanamke, inabidi usome japo kidogo kutoa ushamba, watu wanasema tu na wamejengewa kwenye mind zao visivyo ndivyo kuhusu uislam

Kwanini mwanamke akibakwa au kuzaa nje ya ndoa apigwe mawe hadi afe wakati mwanaume/wanaume waliombaka hawafanywi chochote? Napo utasema siyo waislam?
 
Wadau kuna jambo huwa najiuliza lakini nakosa majibu, inafahamika kuwa uarabuni mwananke ananyimwa haki kama ilivyo kwa baadhi ya makabila Afrika. Lakini wenzetu waarabu wamezidi, kuzuiawa kuendesha gari Saudia inafahamika.

Mimi nilidhani kuwa wanawanyima haki kama ilivyo mfumo dume, lakini wao wamezidi. Huko Misri wasichana wanapigwa au kujeruhiwa wakionekana mtaani. Jana kwenye taarifa ya habari huko Parkistan imefikia hatua imebidi wawatafutie daladala zao peke yao. Wanawake walifurahia kupatiwa daladala specho kwa yao, wanalalamika kuwa wakipanda daladala za kawaida, yaani jinsia zote, wanaume uwatukana matusi, uwaonesha chuki kama vile wao si binadamu.

Sisi tunanyanyasa wanawake lakini si kiwango cha kutotaka kuwaona hata mtaani. Jambo la kujiuliza, hivi nani huwa anawazaa Waarabu, hawa si ndiyo mama zao ambao wamewatunza tumboni na kuwalea wakiwa hawajitambui. Any way, kwanini wanachukia wanawake kiasi cha kuwaona kama mbwa?. Pakistan Women Decry Lack of Safe Public Transport - YouTube

View attachment 147324

Mwanamke kupanda daladala peke yao na mwanamke anayegegedwa na Mbwa yupi ndie anayenyanyaswa..? Mwanamke kuvaa jalabib na nikab na yule anayetembea barabarani nusu uchi yupi ndie anayedhalilishwa...chuki imekuzidi ndugu yangu mpaka akili yako haifanyi kazi vizuri.....mbona huwasemi wale wakurya wanaowapiga wanawake eti ndio kuonyesha mapenzi.....mbona hujawasema wale mapadre wanaobaka watoto na wanawake huko nnch za ulaya au hii ni sawa kwako.....ww unapobanana kwenye siti moja na mamaako kwenye daladala huwa anajisikia raha san au unapoangalia dadaako kavaa nusu uchi unaburudika sana....acha chuki ndugu yangu ya TZ yanakushinda unaingilia ya Waarabu..... Unataka mwanamke apewe haki gani....au unafurahi mwanamke anapotumika kama chombo cha kutamanisha watu katika mabaa. Beach na muziki....Hivi unajua idadi gani ya wanawake wanaobakwa pale America kila siku...au mpaka abakwe dadaako ndio utzhuzunika. AKILI ZA KUPEWA NA MCHUNGAJI WAKO CHANYANYA NA ZA KWAKO.
 
Uislam umemtukuza sana Mwanamke na kumpa Heshima ya Juu sana ktk kila Nyanja
Mwanamke amefanywa na Uislam kuwa ni Tunu na ndo maana Uislam ukaelekeza ni Jinc gani Mwanamke avae na kumtoa katika Udhalili wa kutembezwa Uchi Mabarabalabi
Leo hii watu Wamfurahia Museven kwa kupiga Marufuku Vimini na kusahau kuwa Uislam hayo uliyajua Karne na Karne
 
Kwanini mwanamke akibakwa au kuzaa nje ya ndoa apigwe mawe hadi afe wakati mwanaume/wanaume waliombaka hawafanywi chochote? Napo utasema siyo waislam?

Ingekua ni swali ningekujibu vizuri mkuu, hiyo adhabu ipo kwa wote
 
mimi kuna kitu sikipendi toka kwa waislamu walio wengi wanapenda kubagua wakristo eti makafiri!! hapa nyumbani jiran zangu wengi ni waislam mwaka jana chrismas nilipika msosi mwingi nikawaalika tuje kusherekea pamoja daaah kwani walikuja eti hawalagi kwa makafiri nisije nikawachanganyia na kitimoto. nimegundua hawa jamaa hata uwapende vipi watakuona kaffir tu .wana roho ya ubaguzi na kujiona bora
 
Unaushahidi gani?Hakuna dini duniani inaomthamini mwanamke kama uislam.

Eti uislamu ni UNYAMA huyu jamaa nazani sio mzi a. Ebu angalia hapa Tofauti kati ya mnyama na binaadamu ni kwamba binadamu amepewa akili yani ufahamu......kwa sababu hiyo ndio maana mnyama anatembea uchi yaani havai nguo ila binadamu anajistiri kwa kuvaa nguo. From this point of view kati ya wakristo na waislam wapi ndio Wanyama..? Vazi la kiislam kwa mwanamke ni HIJABU ambayo hufunika mwili mzima wa mwanamke na halionyeshi maumbile ya mwanamke(sifa ya UBINADAMU) na mavazi ya ndugu zetu hata wakienda makanisani ni NUSU UCHI mfani Vimini, Suruali zilizobana kupitiliza na kuonyesha umbile lote la mwanamke(sifa ya UNYAMA).
 
Kakende,

Wewe kwanza kweli ni kakende tena kile kilogeuka kabusha.

Kwanza hata hujui waarabu ni nani, pili umekurupuka kuandika bila ya kufanya home work wacha kufanya utafiti. Umeangalia Pakistan na kuweka basi za wanawake, wewe shule gani uliyosoma ukafundishwa kuwa Pakistanis ni Waarabu?

Israel wanawake wanalazimishwa kukaa viti vya nyuma katika public transport buses. Hivi karibuni mwanamke alishushwa basi na.kutemewa mate kwa sababu amegoma kukaa viti.vya nyuma kule Israel.

Mwanamke Daktari tena mwanasayansi alifanikiwa kuvumbua dawa amabayo itaponyesha magonjwa sugu ya watoto basi mgeni wa heshima ambae ni Rabi wa madhehebu ya Orthodox Jews alipangiwa amkabidhi mume wake eti asipokee mwenyewe tuzo sababu ni mwanamke na hapo ukumbini alibidi akakae upande wa.wanawake na hali aliambatana na mume wake pale ukumbini.

Madhehebu hayo hayo yana walazimisha wanaume kuangalia chini wanapotembea mitaani ili wasi waangalie wanawake.

Mtoto wa miaka minane alitemewa mate usoni sababu mama yake amemvalisha kigauni kinachoonesha vipaja vyake.

Matangazo ya biashara kwenye Billboards yanayoonyesha wanawake walovaa bikini au sehemu yoyote inayoonyesha wazi kwenye mwili wa mwanamke kuanzia shingoni hata kwa mfano sehemu ya juu ya kifua basi humwagiwa rangi nyeusi au hata kubomolewa.

Sasa nakupa mfano wa hadithi ya Mtume Muhammad hapa kuhusu Uislam na haki za wanawake:

Sahih Bukhari English - Reference: Sahih Bukhari English,Volume 04,51. Wills,Hadith 025:-

Narrated Az-Zuhri:

`Urwa bin Az-Zubair said that he asked `Aisha about the meaning of the Qur'anic Verse:--

"And if you fear that you will not deal fairly with the orphan girls then marry (other) women of your choice." (4.2-3)

Aisha said, "It is about a female orphan under the guardianship of her guardian who is inclined towards her because of her beauty and wealth, and likes to marry her with a Mahr less than what is given to women of her standard. So they (i.e. guardians) were forbidden to marry the orphans unless they paid them a full appropriate Mahr (otherwise) they were ordered to marry other women instead of them. Later on the people asked Allah's Apostle about it. So Allah revealed the following Verse:--

"They ask your instruction (O Muhammad!) regarding women. Say: Allah instructs you regarding them..." (4.127)

and in this Verse Allah indicated that if the orphan girl was beautiful and wealthy, her guardian would have the desire to marry her without giving her an appropriate Mahr equal to what her peers could get, but if she was undesirable for lack of beauty or wealth, then he would not marry her, but seek to marry some other woman instead of her. So, since he did not marry her when he had no inclination towards her, he had not the right to marry her when he had an interest in her, unless he treated her justly by giving her a full Mahr and securing all her rights.

Asante
Mkuu Averoes

Umetoa darsa zuri kwa huyu kakende, yeye anaona sawa wanawake wanavyochezeshwa picha za ngono Ulaya na Marekani.
 
Last edited by a moderator:
Kwanini mwanamke akibakwa au kuzaa nje ya ndoa apigwe mawe hadi afe wakati mwanaume/wanaume waliombaka hawafanywi chochote? Napo utasema siyo waislam?

Acha Uongo wako ww Ushabiki hautokusaidia
Sheria ya Kiislam inasema Mzinifu Mwanamke/Mwanamme ambae hajaoa/hajaolewa Apigwe viboko 100
Na Mzinifu Mwanamke/Mwanamme alie owa/olewa basi Wapigwe Mawe mpaka Wafe hio ndo Twahara yao
Na Sheria hii iki ktk vitabu Vyote
Tatizo lenu Hamsomi vitabu vya Dini zenu bali Mwakalia Ushabiki na kukabidhi dini zenu kwa Mapadri kila wasemalo Hewala bwana
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom