Hivi kwanini mwarabu anamdharau mwanamke?

Hivi kwanini mwarabu anamdharau mwanamke?

Status
Not open for further replies.
hakuna thehebu lolote la kikristo linaloponda uislam ila mambo yenu mnayoyafanya ndio yanakimbiza waumini wenu kukimbilia ukristo sitaki ligi huo ndio ukweli
Usiseme muumini sema muislam maana kuna tofauti hapo.Hakuna hata muislam mmoja anaeuacha uislam wake kwenda ukiristo ila kwa mambo haya either mgonjwa kadanganywa kansani kuna dawa au masikini anadhani kansani kuna pesa au kubwa zaidi ni kupata mchumba mkristo na kuuacha uislam wake na kuritadi lakini hakuna hata muislam aneingia katika ukiristo ili hali anaujua uislam wake sawasawa na kuusoma.Uislam ni Nuru ndugu yangu.
 
Katika moyo wangu hakuna kitu kinachoniuma kama mtu kuutukana Uislam.yaani anautuka uislam

Makubwa hadithi za Muhammad leo zimegeuka matusi?
na zinautukana uislam?
na leo zinawaumiza wafuasi wa muhammad? kweli hii imani ni fimbo kwa wanaoifuata.
 
Nataka nikuulize swali unapata faida gani ukibadisha maana ya aya?hio aya na maelezo yako tofauti soma uelewe sio kwa ushabiki.

wewe ndie ujaelewa mimi nimeelewa,
Na kama umeelewa ebu andika hapa hicho ulichoelewa tukione!
Kama mimi nimebadilisha maana wewe ungeleta hiyo maana ambayo haijabadilishwa, tofauti na hivyo
Huna maana zaidi ya hii.
 
Leta ushahidi hadith gani nmeikataa?
Hii hapa

LAANA NYINGINE KWA WANAWAKE WA KIISLAMU:
Wanawake ni wabaya zaidi ya watu waliokufa (Maiti), hawaruhusiwi hata kufuata jeneza
Sahih Muslim - 4.2039
HIVI MWANAMKE WA KIISLAM UNAFANYA NINI HUKO?
WEWE NI MBAYA KULIKO MAITI ASEMA ALLAH
 
Wala hawatakua Radhi mayahudi na manasara(wakrist0)mpaka mufuate mila zao sema hakika uongozo wa Allah ndio uongozi wa kweli.
 
Kwa maarifa yako naoma unieleweshe huyu Allah ndo nani?
 
Wala hawatakua Radhi mayahudi na manasara(wakrist0)mpaka mufuate mila zao sema hakika uongozo wa Allah ndio uongozi wa kweli.

Hatuta kuwa radhi kumpa shetani nafasi ya kulala katika pua zetu,
wala hatuko radhi kufuata mila zake,
na uongozi wa allah ndio uongozi wa uongo.
 
Astaghfirullah.!!hivyo ndo kanisani kwAko ulivyofundishwa.!skutegemea kupata jibu kam hili kutoka kwako.!,lakini hapo ndo akili zako zilipoishia.

Kanisani hatutumii quran wala vitabu vya hadithi za muhammad!

Haya ni mafundisho ya allah na muhammad, kama unataka ushahidi niambie nishushe aya sasa hivi sio badae wala kesho.
 
Yaani we Jamaa unabadilisha maana ya aya hivi hivi na uko hapa kwa ushindani sio kwa kupata elimu huna busara.Hapa kuna watu wanaona ujinga wako lakini wanakukaushia 2.Hebu jaribu kuulainisha moyo kidogo angalu upate iman kidogo na hio chuki uipunguze kidogo.Naoan uko katika giza totoro na hutaki kuelimishwa wala kuelimika.Omba mungu akuonyeshe njia ya kheri upate kuifuata sio kubaki kushabikia kitu huna elmu nacho.
QUR'AN haitafsiriwi kama unavyoitafsiri wewe .Punguza chuki hakika hizo chuki zako zitakufanya ujione wewe uko sahihi na wengine wamepotea na hutaweza kuongoka........
 
Aliyeko hapa kwa ushindani ni wewe unayetoa maoni ambayo hayana ushahidi wa aya

Kama wewe ujapotea tuletee hiyo tafsiri iliyo sahii

Kama mimi nimebadilisha maana leta hiyo maana ambayo aijabadilishwa,

Kama mimi nina chuki allah na nyie ndio mlioniambukiza kwa mujibu wa quran 5:51

5:51. Enyi mlio amini! Si halali kwenu kuwachukua Mayahudi na Wakristo mkawafanya ndio marafiki zenu. Wao hao ni sawa sawa katika kukufanyieni uadui. Na mwenye kufanya urafiki nao, basi ni kundi moja nao. Na hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi wanao jidhulumu nafsi zao kwa kufanya urafiki na makafiri.
5:51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu

Hii ni chuki au ni upendo ?

Mungu alishanionyesha njia ya kheri na nipo katika njia sahii

Qurani inatafsiriwa kama ninavyotafsiri mimi mengine ni porojo.

Kumbe chuki zako ndio zinakufanya wewe ujione kuwa huko sahii?

Nilisha ongoka ndio maana
Shetani halali kwenye pua zangu!.
 
Katika vitu vinavyokata swalat ni mbwa mweusi au mwanamke akipita mbele za mwanaume anayeswali. Je huku ndiko kumthamini?
haha..hawa jamaa hawana akili ..wamewekea wakfu kuwa watumwa wa shetwani....watakuja na utumbo wao kibao kukaa huu ukweli ila ktk makaburi yao, ktk mambo mengi watatumia huu ukweli kuwaweka wanawake mbali.
 
ni bora uwe mganga wa kienyeji kuliko kuwa mfuasi wa muhamadans wabaguzi wakubwa .hawana utu kabisa walioa dadangu wamemtesa kama nini mashwaitwaani.

Uislaam umekuja kushinda dini nyingine, hata kama makafiri mtachukia !
 
Uislaam umekuja kushinda dini nyingine, hata kama makafiri mtachukia !

Je? Shetani kulala katika pua zenu ndio kushinda?

Kulalamika ndio kushinda?
Maana walioshinda huwa si walalamikaji,
Kila siku mnalalamika mfumo kristo,

Kila siku mnadai upendeleo,
Huko ndio kushinda?

a.Kwa kulalamika kweli uislam umeshinda

b.Kwa shetani kulala kwenye pua zenu kweli mmeshinda

c.Na kwa kuwa na chuki uislam umeshinda,
5:51. Enyi mlio amini! Si halali kwenu kuwachukua Mayahudi na Wakristo mkawafanya ndio marafiki zenu. Wao hao ni sawa sawa katika kukufanyieni uadui. Na mwenye kufanya urafiki nao, basi ni kundi moja nao. Na hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi wanao jidhulumu nafsi zao kwa kufanya urafiki na makafiri.
5:51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu

Hii ni chuki au ni upendo ?
 
Je? Shetani kulala katika pua zenu ndio kushinda?

Kulalamika ndio kushinda?
Maana walioshinda huwa si walalamikaji,
Kila siku mnalalamika mfumo kristo,

Kila siku mnadai upendeleo,
Huko ndio kushinda?

a.Kwa kulalamika kweli uislam umeshinda

b.Kwa shetani kulala kwenye pua zenu kweli mmeshinda

c.Na kwa kuwa na chuki uislam umeshinda,
5:51. Enyi mlio amini! Si halali kwenu kuwachukua Mayahudi na Wakristo mkawafanya ndio marafiki zenu. Wao hao ni sawa sawa katika kukufanyieni uadui. Na mwenye kufanya urafiki nao, basi ni kundi moja nao. Na hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi wanao jidhulumu nafsi zao kwa kufanya urafiki na makafiri.
5:51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu

Hii ni chuki au ni upendo ?
Mwenyezimungu kutuamrisha uliyo yaandika yapo na yanatokea ktk dunia hii. Mfano ni Sadam Husein alijifanya ni rafiki wa USA na Mataifa ya ulaya na alipewa kila aina ya ushirikiano wakatianataka kuingia Ikulu ya Baghdad na akafanikiwa kuwa Rais wa Iraq na haikutosha alipewa kila aina ya misaada na USA na Mataifa ya Ulaya wakati wa vita ya miaka 8 na Iran vita ilio kosa mshindi.Lakini siku ya siku aya hiyo ulio inukuu ikatimia ikachukuwa nafasi yake.Sadam na Utawala wake ukageukwa na hao Mwenyezimungu alio tutahadharisha nao alio wataja ktk hiyo aya.Hivyo hivyo kwa Rais Gadafi amekuwa tofauti na hao alio katazwa na allah kuwarafiki kwa muda wa miaka mingi ya utawala wake wa Libya lakini muda mchache tu alio kwenda kinyume na aya na makatazo ya allah akawa rafiki na mshirika wa USA na Matifa ya ulaya Mpaka Ikafikia hatua ya wazungu kumuachia muuwaji na mtekaji Mlibya mfungwa.ndio hapo aya ikatimia na makatazo ya allah alipo yadharau na umaiti ukamkuta.M/zimungu anawajua tabia za kila kiumbe alicho kiumba.Leo nchi hii imefikia hapa tulipo kwa kuwa watumishi wengi wa serekali na mashirika yake ya umma ni hao tulio tahadharishwa na hiyo aya hawana imani wala uzalendo wa nchi.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom