Hivi kwanini mwarabu anamdharau mwanamke?

Hivi kwanini mwarabu anamdharau mwanamke?

Status
Not open for further replies.
Uislam ni unyama. Mtu akimdharau mama yake au mtu sawa na mama yake utamuitaje ?

Wewe ndio mnyama,,,,,hakuna dini inayompa daraja mwanamke kama uislam,,,,ila kwavile huna elimu nayo ndo mana unaropoka fanya uchunguz kwanza bfo hujaangea,,,,,hakuna dini inayomtaka mtu ampende amheshim na amjali mama yake kama uislam,,,,,,acha kubwabwaja ww,,,kama huna cha kuongea kaa kimya
 
uislam ni unyama. Mtu akimdharau mama yake au mtu sawa na mama yake utamuitaje ?

ukristo ni unyama!!!!!!!! Mama anavaa skin tight imebana mpaka kibumbu kinaonyesha unene wake na yupo mitaani au sebuleni na watoto wake wa kiume na kike
 
Katika vitu vinavyokata swalat ni mbwa mweusi au mwanamke akipita mbele za mwanaume anayeswali. Je huku ndiko kumthamini?

Mbali Na Hilo mwke akiwa mwezn haruhusiw kuingia msktn, hata wkt Wa ibada wanatengwa et Mbali Na wanamume.Hata kielimu wakifaulu tu la Saba wanaolewa ndoa Za utotoni badala ya kwenda elim ya secondary. Mwame anaruhusiwa kumfanya lolote mwke ikiwa hata kumwaingilia knyume Na maumble akiwa mwezn bla ridhaa Yake.Watu wanafananisha uislam Na uarab kwakuwa waarab Na unyama wao ndio % kubwa Ni Jamii ya kiuslam hata wapemba Ni masalia ya uislam. Ni wachache sana waislam islam hasa waliosoma shule za mishen...
 
ukristo ni unyama!!!!!!!! Mama anavaa skin tight imebana mpaka kibumbu kinaonyesha unene wake na yupo mitaani au sebuleni na watoto wake wa kiume na kike
Na nyie kwa unafik??! Mnakula ktmoto kamakawa dai lenu et hamkuwapo kwenye ugomv kat ya ntume Na nguruwe.Halafu barabaran mnavaa buibui hom kwenu mbona shwar tu ful kujiachia sebulen hasa wkt Wa usku chek paja la mpemba jran yangu hapa temeke anapenda kunilingshia unywele ukimwona road kaufunika Kama sio yy... Wema ----nbitch Ni mkristo??? Quran imkemee ukahaba anaputangaza tv kila uchao.
 
Kabla ya kuutukana,kuubuza,kuupaka matope Uislam hebu usome kwanza.Ndo utajua ukweli.sio mnakaa na chuki zenu mlizopandishwa na viongozi wenu wa Ibada then you just follow them.

Ndugu zangu, hebu nawaombeni tupunguze jazba na turudie kusoma kilichowasilishwa na mtoa maada. Katika maelezo yake hajaandika neno uislam, amezungumzia uarabu! alilokosea ni kuwaiata wa Pakistani waarabu. Cha kushangaza wachangiaji wote mmekurupukia kwenye udini, 'fanatism"
 
Nyie mnaumwa woote Mbona mtoa maada hajaongelea uislaam? Kaongelea waarabu jamani.
 
Mabwege tu hao wanaouzungumzia uislamu wasioufahamu. Mbona hawazungumzii kashfa ya mapadri wa kikatoliki kulawiti watoto? Mbona hawazungumzii mapadri wa kianglikana kuolewa na wanaume wenzao? Mbona hawazungumzii mabasha wao wa kizungu kuhalalisha ndoa za kisodoma na gomola?. Uislamu ni dini ya haki. Isomemi na sio kuzunhumza kwa mafikirio ya mapadri na makakasisi wenu. Muigeni aliyekuwa PAPA aliyestaafu baada ya kuujua vizuri uislamu. Papa aliamua kuingia msikitini mjini instabul uturuki na kusaliswa na waisalamu. Alipomaliza sala, AKAAMUA KUACHANA NA UKRISTO KWA KUTANGAZA KUSTAAFU. Nj


Mimi sio Mkristo lakini hapo kwenye red ni uongo. Acha uongo wako!
 
Unachanganya mambo, hata wewe ni shetani, nini kinakufanya wewe usiwe shetani wakati unaabudu binaadam mwenzako.

Hiyo post uliyoijibu inaongelea Majinni na Binaadam. Wewe unaongelea shetani. Kumbuka shetani anaweza akawa jinni na anaweza akawa binaadam kama wewe.

Faiza una bahati kipindi cha mohammad hukuwepo, na wewe ungeolewa na miaka 6 kama walivyofanywa wanawake wenzako (Qur'an 33:21)
 
Last edited by a moderator:
Unaushahidi gani?Hakuna dini duniani inaomthamini mwanamke kama uislam.

shahidi wa yote ni matendo sio maneno. Nchi za kiislamu mwanamke haruhusiwi kutembea bila ndugu wa kiume kwa hofu ya kutongozwa, hivyo sokoni unakuta wamama watu wazima wanaongozana na watoto wao wa miaka 10. Mtoto hajui hata kuvuka barabara, lakini ndio "anamlinda" mama yake asitongozwe! Hii ndio thamani au dharau?

ushahidi wa mwanamke ni theluthi ya ushahidi wa mwanaume, hii unaijua? maana yake mwanamke huyu hana akili ndio maana akili za watatu ni sawa na akili ya mmoja.
 
Ukristo unamlinda mwanamke sana mpaka imefikia makanisa kuwafungisha ndoa wanaume kwa wanaume au mwanamke na mbwa!!!!!!!
 
Hao uliowataja ndio wata edit hii sura?
Faiza una bahati kipindi cha mohammad hukuwepo, na wewe ungeolewa na miaka 6 kama walivyofanywa wanawake wenzako (Qur'an 33:21)

Quran 33-21
ﻟَﻘَﺪْ ﻛَﺎﻥَ ﻟَﻜُﻢْ ﻓِﻲ ﺭَﺳُﻮﻝِ ﺍﻟﻠَّﻪِ ﺃُﺳْﻮَﺓٌ ﺣَﺴَﻨَﺔٌ ﻟِﻤَﻦْ ﻛَﺎﻥَ ﻳَﺮْﺟُﻮ ﺍﻟﻠَّﻪَ ﻭَﺍﻟْﻴَﻮْﻡَ ﺍﻵْﺧِﺮَ ﻭَﺫَﻛَﺮَ ﺍﻟﻠَّﻪَ ﻛَﺜِﻴﺮًﺍ

Hakika nyinyi mnayo ruwaza njema kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu kwa anaye mtaraji Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho, na akamkumbuka Mwenyezi Mungu sana.

We kitimoto aya hiyo hapo juu mbona ni tofauti na unacho zungumza?
 
Hao uliowataja ndio wata edit hii sura?
Faiza una bahati kipindi cha mohammad hukuwepo, na wewe ungeolewa na miaka 6 kama walivyofanywa wanawake wenzako (Qur'an 33:21)

Hiyo SURA na AYA uloi-mention kama reference ulikikusudiani...?!!

Ilimu ya mijadala hasa KIDINI yahitajia wabobezi kwa maana ni BAHARI isojulikana KINA chake, na si mfia-chama kama weye.

Sasa ni hishma ya Ulamaa Averoes ndo kumuitika wito wake hapa barzani.

Idara hii hatuendi kwa khabar za ati nimesikia..!
Kama umesikia sie tukufanzeje..?!!

Weka kitu ambacho uhakika/ Ushaahid wake unafahamika.

Hujaona kama umejidhalilisha muda mwingi sana katika bayana zako na kuurejea UPOGO wako..?!!!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom