chamtemamoto
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 796
- 215
Wewe unajua hadithi? Unajua hadithi zote ni sahihi? Unajua maadui wa uislam wameanza leo? Unajua kuna hadithi ngapi ni za kuletwa tu na maadui wa uislam na mwisho kuandika (sahihi muslim) unalijua hilo?
Je? shetani kulala katika pua za waislam na kuchezea ma.ta.ko yao ni hadithi ya kweli au ya uongo? Ni hadithi sahii au si sahii?
au hii nayo imeandikwa na kuletwa na maadui wa uislam?