Hivi kwanini mchokane?

Hivi kwanini mchokane?

Bifu hizi huwa zinampa faida gani 50, coz huwa anatusi saana ma black wenzake..hana rafiki jamaa .hata loyd bank mwana G unit mwenzake ashamkimbia
50 cent huwa namuona mkundu tu, sorry for the foul language but jamaa anakeraaaaa😡😡😡😡😡. Huwa sijui anajiona special or sumn kumbe ni mtu tu kama wengine na anapenda kuzodoa wenzake tu.
 
Kwa sababu ndivyo tulivyoumbika.

Commitment was introduced, necessary for survival; not from 'love'.
'Love' is ambigous. The 'love' in the beginning never lasts. Whats left in the long run is always the benefits of being in a relationship; and not necessarily, 'love'.
 
Hadi joe alipotezwa sio ja rule tu...
Vp ile show ya ja rule ilifanyika Ambayo 50 alihaidi kununua tiketi 200
Alinunua kweli ticket 200 za siti za mbele kisha akakaa yeye😂😂😂! 50 ni mkundu sio siri, ana mambo za kisenge kinoma!
 
Hadi joe alipotezwa sio ja rule tu...
Vp ile show ya ja rule ilifanyika Ambayo 50 alihaidi kununua tiketi 200
Alinunua kweli ticket 200 za siti za mbele kisha akakaa yeye😂😂😂! 50 ni mkundu sio siri, ana mambo za kisenge kinoma!
 
Ni mazwazwa tu wanaochokana


Wenye akili timamu huzalisha upya PENDO kila uchao.
 
Oohh very well then
Hahahah halafu ndio unaniambia hilo leo hata sikuwahi kujua, nahisi ilitokea tu kama Coincidence, he flashes a lot of memories in my mind huyo mwamba cant stop listening to his hits.
 
Kuna mda unakumbuka ivi ni yule wa siku zilizopita leo kawa ivi, unajaribu kutumia mbinu zote ulizotumia kumteka moyo wake ndio kwanza anakuambia unajichosha mapenzi ni kujitoa ufaham
 
Wapo. si unajua unaweza kuwa umemtamani tu
Damn...tuachege tamaa basi. Ila mbona mie huwa siwezagi kumwambia mtu nampenda kama simaanish masta. Yani ukiona nimekwambia maneno yote bila hilo ujue thats a gameplay.
 
Kuna mda unakumbuka ivi ni yule wa siku zilizopita leo kawa ivi, unajaribu kutumia mbinu zote ulizotumia kumteka moyo wake ndio kwanza anakuambia unajichosha mapenzi ni kujitoa ufaham
😂😂😂😂😂😂
 
Hahahahah repetition nothing new in this forum anymore
Mtu akiwa bored anajitungia mada ili tu kupass time teh
Inapendeza kuona maoni ya watu tofauti, wale wenye kuona inawachosha waende majukwaa mengine nadhani yapo mengi tu😂😂😂😂😂
 
Ndugu mfumo mzima wa maisha ndo unatuharibu

Na pia n kama sisi tulivo na tamaa bas na wao nd hvyo hvyo

Tunajtahd sana ila sincerely speaking huwez kmtimizia mwanamke kila kitu

Mwanamke akiwa deeply in love hutaka mda wote muwe mnawasiliana....means ucende chooni...usile....na pia ucwe bize...!!
Wanaume hatuwezi hili coz adhabu ya kutafuta kwa jasho inatubana..!!

Na kwanza haya mambo yalishaisha 2014....now days tupo dunga dunga tuuu...!!
Hapo ndipo utata unapokuja na adui wa mwanamke ni upweke, hapo katika utawala wangu anaweza akafanywa chochote!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom