Hivi kwanini mchokane?

Hivi kwanini mchokane?

Tatizo ni tamthilia za kifilipino, mmoja anakua ameangalia/au ni mfuatiliaji wa series, afu anataka kufanyiwa kama aliyekua anafanyiwa wa kwenye tamthilia, bila kujali mwenzake hajui chochote.
 
Duh eti kaz znabana so hamna mda wa kua deep na wapenzi wenu...nani anataka kubanwa kila saa?... sisi tunataka hata kama una mambo mengi basi onyesha nia ya kutaka kua karbu nae ila umeshindwa.

alafu kingine ni mazoea mabaya..ubunifu unatakiwa jaman hapa wengi ndo mnafeli.

kingine wanaume wanataka vtu 3 tuu vikubwa kwanza wanataka mwanamke sex wanaume wote wooote wanapenda sex woman umvutie haswa..cha pili heshima nature ya mwanaume ni uongoz hata awe hana ela we mpe heshma yake mpe na pesa pia kama hana ila asijue mtu wala watoto kua unampa kidogo itampa raha mana wakikosa pesa wanaumwa hawa wanaume wetu...cha mwisho sex wanaume wote sex ni chakula chao cha pili ukiacha msosi wa tumboni so apewe papuchi kila atapohitaji. Kutunza ndoa ni rahisi sana..mwanume ananyenyekewa kwa upole.
Aisee mama umeshaolewa jaman?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom