X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,700
- 14,766
mzee naomba na mimi hiki kitabuUkipata muda pita humu kitakusaidia sana hiki kujibu swali lako kwa kiasi flani
View attachment 1157418
mzee naomba na mimi hiki kitabuUkipata muda pita humu kitakusaidia sana hiki kujibu swali lako kwa kiasi flani
View attachment 1157418
Hio si ile wanaita Ego, kila mtu akitaka kuwa juu hamsogei. At times mmoja lazma awe chini🤣
aina hii kusema kweli wanayo akina dada na wanawake huwa wanakosea sema wao wanakungoja uongee tuu neni moja litakalopita kushoto anakazia hapo anakumbushia na vitu vilivyopita mwishoni anaingizia kosa lake linageuzwa linakuwa kosa lako kwanini umesema alafu mwisho mwanaume unaomba msamaha akiona unakaza sana anakimbilia tuachane anakutesea hapo weee mpaka wewe ndio uombe msamaha na usiombe awe na company ya kumshauri ndugu hamna maneno utakayoacha kuambiwa anyway nilikuwa napita tuu wananzengoWakati mwingine ni makosa madogo sana na mtu kujiona yeye ndiyo yeye japo kakosa lakini hataki kukubali kosa lake na kusema I am sorry. Mawasiliano hupungua taratibu na mwisho hukata kabisa huku kila mmoja wao akimmiss mwenzie sana. Mara PUFF! ndo imetoka.
Hello dear...
Hello dear...
Niambie
Mimi sijambo kabisaa..Mzima wewe?
mzee naomba na mimi hiki kitabu
Hahahaha mie mzima nimeamua kubadilisha nguo tu mwayaMimi sijambo kabisaa..
Hofu kwako, naona umevaa nguo mpya
Hongera sana jamaniHahahaha mie mzima nimeamua kubadilisha nguo tu mwaya
🙆🙆🙆😭😭😭kweli ??
nitamwambia
tukio gani hiloYou are like me. am always open kama ni papuchi nataka nitakuwa straight forward.
Mwaka jana nilifanya tukio moja ambalo juzi nimewasimulia washikaji hawakuamini nilicho waambia.
4: Tamaa ya ngono (wanaume)1:Tamaa ya pesa(wanawake)
2:Usaliti (Wote)
3:Kujiona bora zaidi (wote)
Uko sahihi,wameumbwa hivyo4: Tamaa ya ngono (wanaume)