Hivi kwanini mchokane?

Hivi kwanini mchokane?

Na kwanza ndugu naamini wengi wapo pamoja kwakuwa hawajapata wanayemhtaji....!!wanawake n wanaume huenda na hitaji lilipo..!!

Kuchokana n dalili ya kuw kuna mmoja ameshapata upenyo...!!dharau n kiburi hfuata kisha break up

Out of topic
Hakuna kipindi ambacho girls wanarudi kwa maEX zao kwa kasi ya 4G kama kipindi hiki

Just hii ni kama walipendwa lkn hawakuona hilo
Na huko walipoenda wamekutana na mapopo wala mabungo
😂😂😂😂😂 hii hutokea sana
 
Watu wanatabirika mnoo yaan wakati hatutakiwi kutabirika kivile...kua mpya kila siku
Sasa unatakiwa uishije ili usitabirike😂😂😂 au ndio mambo ya kuishi kama mwizi penzini
 
Kinachoua mapenzi ni mapenzi kuisha kati ya mmoja ama wawili waliowahi kupendana

Hapo sababu za kuisha kwa mapenzi ndio kuna factors nyingi kama kina usaliti,migogoro ya kila mara,umbali na mengine mengi
Lakini sidhani kama vyote vinatosha kuua penzi, si kuna kusameheana?
 
Tatizo kuchochana kila wakati kunapunguza haiba na mvuto wa kimapenzi kiasi mnazoeana hadi kuelewa mpaka alama zilizojificha miilini, kiasi mtu anajua hadi alama zote mwilini alizonazo mwenzake. Mapenzi ni ujinga na upumbavu, yanahitaji muda na kuchochana kiasi kila mtu awe mshamba katika mwili wa mwenzake. Hapo hamtochokana na kila kila siku uwe kama unakutana na kitu kipya kwenye mwili wa mwenzio.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom