Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,012
- 945
Hahah huyo mwamba is my all time fave musician and lyricist.
Sauti nzito hatari nashindwa kujua ni kwann kashindwa kabisa kurudi kwenye game
Hahah huyo mwamba is my all time fave musician and lyricist.
Halafu mbona inaonyesha hata JF ulijiunga kwenye birthday yake akiwa anatimiza miaka 40? Ulipanga nini mkuu?
ukiona hivyo ujue hukumpendaKumbuka mlivyokutana, mkatongozana mkaelewana, mkanjunju weee kwa kila style kila saa mkutanapo.
Mkapostiana kwenye mitandao wee kila upande wa dunia. Ooh you're my errything bey...Me and you forever boo...!!!
Mmeitana kila aina ya Pet names spent alot of times together on each others spot. Nobody looked perfect on you unajua except for him, or her.
All over sudden, ati jamaa kageuka mbwa? Mshenzi and all that curse is for him. Mwanamke kawa bitch nae.
Aisee huwa tunakwama wapi jamani.!?
Inakuwaje unamchoka mtu unayempenda? Inatokeaje yani maana ulimpenda kama lulu?
i agree with you 😂Watu wa kamba ndio uchokana. Ukiwa mkweli mambo yanakushinda mapema mno wala hamfikii kwenye kuitana mbwa.
Hata nikikuambia huwezi mjua,.Mukubwa alikuwa nani etii. .
Nimeenda nje ya mada ila jibu tu
Acha uongoMapenzi ni yote kuhusu uongo.
Ukiwa mkweli kama mimi mapenzi tunakuwa hatuyawezi.
Shida kwenye mahusiano mengi zinaanza kwa kua na tafsiri tofauti kwenye jambo mojaKumbuka mlivyokutana, mkatongozana mkaelewana, mkanjunju weee kwa kila style kila saa mkutanapo.
Mkapostiana kwenye mitandao wee kila upande wa dunia. Ooh you're my errything bey...Me and you forever boo...!!!
Mmeitana kila aina ya Pet names spent alot of times together on each others spot. Nobody looked perfect on you unajua except for him, or her.
All over sudden, ati jamaa kageuka mbwa? Mshenzi and all that curse is for him. Mwanamke kawa bitch nae.
Aisee huwa tunakwama wapi jamani.!?
Inakuwaje unamchoka mtu unayempenda? Inatokeaje yani maana ulimpenda kama lulu?
Aaaka...kuna binam yngu nlmkumbukaNani tena huyo??
Hiyo imekaa poa sana hata kwa mtazamo wangu ningeweza sema hilo hilo, chanzo cha kuchokana ni mmojawapo kuwa na tabia ambazo hazivumiliki kwa ustawi wa mahusiano, mfano Ke kuwa na kiburi na ujuaji huku akijiona yupo na haki ya kukupandishia anavyotaka na ukimsema ni mtata hataki kukubali kuwa anakukwaza. Vile vile kwa mwanamke huenda ni kidume kutokuwa na tabia ya kujali hisia zake na kutaka kumburuza tu huku ukimsaliti hili nalo ni tatizo.Shida kwenye mahusiano mengi zinaanza kwa kua na tafsiri tofauti kwenye jambo moja
Mfano yeye (mwanamke) Ana tabia flani flani ambazo kwake yeye anaona ni sawa kwa yeye kua nazo ila kwako wewe (mwanaume) unaona kabisa hizi tabia sio sawa Sasa hapo ndo mtiti unaanza (ugomvi)
Maswala ya tabia zake mbaya nayo ni vile vile
Mfano yeye anatabia flani ambazo kwake anaona ni sawa ila kwa upandd wako unaona hizi tabia sio sawa akiendelea tu na hizo tabia ugomvi tayari
MAPENDEKEZO (suggested solutions)
Vijana acha kukurupuka kuchukua tu mwanamke umekutana naye bar au club eti unataka awe mke na mlee watoto (ukibisha we chukua ila uwe tayari kulipa gharama ya maamuzi yako dhaifu ambayo ni mfano wa issue zinazo tokea Kama ilivyo letwa na muanzusha uzi )
Kwa kifupi tafuta mwanamke ambae tabia zenu kwa kiasi kikubwa mnaendana ili kuepusha baadhi ya magomvi ambayo yanaweza yasiwe ya lazima Sana
Mwisho kabisa kuchukuliana katika mapungufu yetu huwezi kupata mwanamke/mwanaume aliye perfect hayupo hata m1 Kama upo kwenye mahusiano hasa hasa ndoa mchukulie huyo mpenzi wako katika mapungufu yake JARIBU KUVUMILIA NDO WAKO HUYO
KAMA HAIWEZEKANI KABISA KABISA YAANI KABISA
kuliko Vita Bora ukamwambia tu yatosha Sasa yatosha na kila mtu ashike njia yake
Amazingyeah ni kweli kabisa vyote ulivyoandika ni msingi mzuri sana ukiongezea na haya
1. Love Means Growing together, but growth looks different for everyone. you have to observe how YOU grow and help your partner grow in a way that is natural and organic to you not what you expect from yourself
2. YOU are not in this world to make someones happy, that's his/her responsibility to make himself/herself happy. YOU are the person to support, enhance and add to anything your partner do and he should do the same
3. YOU are not together to feed each others insecurities and ego. You are with the person to become the best version of yourself and for you to encourage, enlighten and empower each other
4. There are times when man will lead and there are times when woman will lead knowing when and letting the other do so is very important
5. Whenever there's an issue, Argument or challenge, remember, it's the two of you against the problem. You are team, there's no right or wrong, there's is no winning or losing
6. Without a higher spiritual purpose any bond can weaken and break
(a) Love is about support not sacrifice
(b) Love is about communication not compromise
(c) Love is about trust not tolerance
(d) Love is about Energy not ego
All these things takes time someone shouldn't expect them in one day.

.Discpline huwa inahitajika sana, uvumilivu ni mwiba mchungu sana kwa wengi. Mtu yupo radhi kuacha uhusiano wa miaka 10 kisa mwenza amekatishwa kibarua na hana tena chanzo cha kipato badala ya kutafakari wanawezaje kujipanga kukabiliana na hali hiyo. Anatafutwa mwenye hela 😂😂😂Vijana wa siku hizi hawana discipline katika mambo yao. Mtu mwenye discipline automatically anakua mvumilivu.
Hahahah halafu ndio unaniambia hilo leo hata sikuwahi kujua, nahisi ilitokea tu kama Coincidence, he flashes a lot of memories in my mind huyo mwamba cant stop listening to his hits.Halafu mbona inaonyesha hata JF ulijiunga kwenye birthday yake akiwa anatimiza miaka 40? Ulipanga nini mkuu?
Bifu hizi huwa zinampa faida gani 50, coz huwa anatusi saana ma black wenzake..hana rafiki jamaa .hata loyd bank mwana G unit mwenzake ashamkimbiaMkuu Leloo June 50 cent ni Qooma,,,he destroyed Ja Rules Career akishirikiana na Slim Shady, i hate those 2 muhfukas for that. Ja was on the peak by the time 50 alitaka kutoka na hakuwa na njia ya ku hit mainstream akaanza ku diss style ya muhuni kuwa was wack na kwamba alikuwa ana impersonate uhuni esp image ya Tupac. Too bad alirudi na kuitumia yeye hio style during his music career kmalammke 50.
Irv Gotti wa Murder Inc ndio alikuwa talk of the time na ndio aliproduce na ku Dj ngoma za Ja Rule. Inshort ni wivu tu wa wasanii wenzake ndio ulipelekea kuua career yake maana Ja Rule alikuwa mbishi ikapelekea shootings za raia kadhaa jamaa wakaanza kumpa na makesi akawa anakula ban za kurecord na show na kuna kipindi flani Ja Rule alifungwa ila i still respect that Nigga for the Talent he has.
To date bado 50 Cent anastalk moves za Ja Rule na Irv Gotti kwa kila wanachojaribu kufanya ili wapige hela. That muthafuquer is tailing on 'em niggas like a damn bug, sasa sijui anapata faida gani na Rule alishaamua kuachana na beef isio na maana. He left it in the past na hana mpango wa kuwa na urafiki na 50 cent. Kila mtu na njaro zake ila 50 can't resist revealing his pussy attitude everytime he sees Ja doing something big. I hate that stupid envious muthafuka till i fuckin die ma nigga, wish i had a chance to kill that wack niggas ass, those 9 shots weren't enough foe that mean mug gay ass muthafukker mane.
He once fucked up with Terror Squad, and he got his ass on heat...Acting like he can't get touched!!! Joe Crack alimaliza kwa diss track moja tu fuckk 50!!!
Mkuu Leloo June 50 cent ni Qooma,,,he destroyed Ja Rules Career akishirikiana na Slim Shady, i hate those 2 muhfukas for that. Ja was on the peak by the time 50 alitaka kutoka na hakuwa na njia ya ku hit mainstream akaanza ku diss style ya muhuni kuwa was wack na kwamba alikuwa ana impersonate uhuni esp image ya Tupac. Too bad alirudi na kuitumia yeye hio style during his music career kmalammke 50.
Irv Gotti wa Murder Inc ndio alikuwa talk of the time na ndio aliproduce na ku Dj ngoma za Ja Rule. Inshort ni wivu tu wa wasanii wenzake ndio ulipelekea kuua career yake maana Ja Rule alikuwa mbishi ikapelekea shootings za raia kadhaa jamaa wakaanza kumpa na makesi akawa anakula ban za kurecord na show na kuna kipindi flani Ja Rule alifungwa ila i still respect that Nigga for the Talent he has.
To date bado 50 Cent anastalk moves za Ja Rule na Irv Gotti kwa kila wanachojaribu kufanya ili wapige hela. That muthafuquer is tailing on 'em niggas like a damn bug, sasa sijui anapata faida gani na Rule alishaamua kuachana na beef isio na maana. He left it in the past na hana mpango wa kuwa na urafiki na 50 cent. Kila mtu na njaro zake ila 50 can't resist revealing his pussy attitude everytime he sees Ja doing something big. I hate that stupid envious muthafuka till i fuckin die ma nigga, wish i had a chance to kill that wack niggas ass, those 9 shots weren't enough foe that mean mug gay ass muthafukker mane.
He once fucked up with Terror Squad, and he got his ass on heat...Acting like he can't get touched!!! Joe Crack alimaliza kwa diss track moja tu fuckk 50!!!
I love uAcha uongo