You are like me. am always open kama ni papuchi nataka nitakuwa straight forward.Damn...tuachege tamaa basi. Ila mbona mie huwa siwezagi kumwambia mtu nampenda kama simaanish masta. Yani ukiona nimekwambia maneno yote bila hilo ujue thats a gameplay.
Hakuna namna mapenzi n hisia lakin ukiuendekeza moyo bila kutumia akili utateseka sanaHahahahah aisee, hatari sana mzee baba ukijimix tu lazma uje umwage mashairi jftunaishi ka digidigi.
Siku hizi neno "pingu za maisha" limekua adimu sana, maana linatisha.Discpline huwa inahitajika sana, uvumilivu ni mwiba mchungu sana kwa wengi. Mtu yupo radhi kuacha uhusiano wa miaka 10 kisa mwenza amekatishwa kibarua na hana tena chanzo cha kipato badala ya kutafakari wanawezaje kujipanga kukabiliana na hali hiyo. Anatafutwa mwenye hela![]()


Its easy to run away from problems than facing them.Ndugu mfumo mzima wa maisha ndo unatuharibu
Na pia n kama sisi tulivo na tamaa bas na wao nd hvyo hvyo
Tunajtahd sana ila sincerely speaking huwez kmtimizia mwanamke kila kitu
Mwanamke akiwa deeply in love hutaka mda wote muwe mnawasiliana....means ucende chooni...usile....na pia ucwe bize...!!
Wanaume hatuwezi hili coz adhabu ya kutafuta kwa jasho inatubana..!!
Na kwanza haya mambo yalishaisha 2014....now days tupo dunga dunga tuuu...!!
Na kwanza ndugu naamini wengi wapo pamoja kwakuwa hawajapata wanayemhtaji....!!wanawake n wanaume huenda na hitaji lilipo..!!
Kuchokana n dalili ya kuw kuna mmoja ameshapata upenyo...!!dharau n kiburi hfuata kisha break up
Out of topic
Hakuna kipindi ambacho girls wanarudi kwa maEX zao kwa kasi ya 4G kama kipindi hiki
Just hii ni kama walipendwa lkn hawakuona hilo
Na huko walipoenda wamekutana na mapopo wala mabungo
sureNa kwanza ndugu naamini wengi wapo pamoja kwakuwa hawajapata wanayemhtaji....!!wanawake n wanaume huenda na hitaji lilipo..!!
Kuchokana n dalili ya kuw kuna mmoja ameshapata upenyo...!!dharau n kiburi hfuata kisha break up
Out of topic
Hakuna kipindi ambacho girls wanarudi kwa maEX zao kwa kasi ya 4G kama kipindi hiki
Just hii ni kama walipendwa lkn hawakuona hilo
Na huko walipoenda wamekutana na mapopo wala mabungo
Msaada PDF file yake km unayo mkuuUkipata muda pita humu kitakusaidia sana hiki kujibu swali lako kwa kiasi flani
View attachment 1157418
Mimi nilikimbiwa kisa pesa, kanikimbia kamfuata jamaa kisa ana kazi nzuri, pesa na magari.
Hahahaaa pole ndugu....wengne tulikimbiwa punde tu magu alipozuia ajira...!!ila namshukuru...alinipa hasira ya kutafta pesa...mpk sasa safari bado lkn nmepiga hatua co kama zamanMimi nilikimbiwa kisa pesa, kanikimbia kamfuata jamaa kisa ana kazi nzuri, pesa na magari.
Hivi unavodhan mwanamke ukimjali ndo itakuwa sababu ya yeye kuwa nawe kipndi chote??Ulikuwa unamuonyesha mapenzi na kumjali?
Msaada PDF file yake km unayo mkuu
Kwahiyo wewe ukiwa na mwanamke haumuonyeshi mapenzi wala kumjali?Hivi unavodhan mwanamke ukimjali ndo itakuwa sababu ya yeye kuwa nawe kipndi chote??
Unamaanisha hata mwanaume ambaye ni mzinzi na myanyanyasaji naye afanyiwe hayo?Duh eti kaz znabana so hamna mda wa kua deep na wapenzi wenu...nani anataka kubanwa kila saa?... sisi tunataka hata kama una mambo mengi basi onyesha nia ya kutaka kua karbu nae ila umeshindwa.
alafu kingine ni mazoea mabaya..ubunifu unatakiwa jaman hapa wengi ndo mnafeli.
kingine wanaume wanataka vtu 3 tuu vikubwa kwanza wanataka mwanamke sex wanaume wote wooote wanapenda sex woman umvutie haswa..cha pili heshima nature ya mwanaume ni uongoz hata awe hana ela we mpe heshma yake mpe na pesa pia kama hana ila asijue mtu wala watoto kua unampa kidogo itampa raha mana wakikosa pesa wanaumwa hawa wanaume wetu...cha mwisho sex wanaume wote sex ni chakula chao cha pili ukiacha msosi wa tumboni so apewe papuchi kila atapohitaji. Kutunza ndoa ni rahisi sana..mwanume ananyenyekewa kwa upole.