Hivi kwanini JWTZ haina muundo huu kama wa majeshi mengine?

Hivi kwanini JWTZ haina muundo huu kama wa majeshi mengine?

ngoja tujikite kwenye mada kwahy unapinga kuwa kila mkoa hakuna jeshi?
Kama kuna sehemu nimeandika hivyo hebu quote hiyo statement. Na mada kama hizo za national security hazina afya kujadiliwa mitandaoni.
Nilijikita katika ukosoaji uliokuwa unaendelea kufanyika kuwa nchi hii Jeshi ni moja tu na kuacha kuyatambua mengine kama TPF na Magereza wakati Ibara ya 147(4) ya Katiba ya JMT 1977 imeweka wazi kila kitu
 
Ndio maan sijatak kuendelea boss poa
 
Ipo muundo wake upo hivi

Kuna mshauri wa mgambo kwa ngazi ya mkoa huyu ana anzia cheo cha kanali

Kuna mshauri wa mgambo kwa ngazi ya wilaya huyu anakuwaga na cheo cha meja mara nyingi

Hivi ndivi ilivyo tofauti ni kwamba polisi na magerez wanaitwa viongozi wa usalama kwa jeshi fulan kwa ngazi ya mkoa ivyo
Umejibu vyema na ofisi zao huwa ni kwenye ofisi za wakuu wa mikoa na wilaya
 
Swali zuri, JW ipo karibia kila mkoa ila haipo kila wilaya ( imetengezwa kikanda) hivyo ni vigumu kuwa na viongozi kimkoa au kiwilaya.
 
sasa jeshi lipo mikoa yote?kilimanjaro hakuna jeshi wala singida lindi watapewaje hivyo vyeo au majukumu...alafu wale ni walizi wa mipaka ya inchi
Lindi kuna kambi za jeshi wilayani Nachingwea.
Kuna kikosi Cha mizinga.
Kuna kambi ya Majimaji.
Kuna Medium camp.
Ilikuwepo kituo Cha mafunzo vikosi vya ukombozi kambi ya Farm 17.
 
Hilo siyo jeshi la kutoa huduma za mambo ya ndani ya nchi.
Halipo kila Wilaya.
Wapo washauri wa jeshi la migambo wilayani.
 
Nikurekebishe mtoa mada kisheria nchi hii ina jeshi moja tu, jeshi la wananchi tu, zingine ni paramilitary si full military components

Lakini pia unatakiwa ujue sababu ya majukumu waliyonayo, na aina ya kazi wanazofanya ni tofauti na taasisi zingine za ulinzi na usalama. Hawewez kuwa sawa maana jwtz halifanani kimajukum na taasis hizo
Kwakuongezea hizo nyingine ni taasisi lakini JESHI NI JWTZ..
 
sasa jeshi lipo mikoa yote?kilimanjaro hakuna jeshi wala singida lindi watapewaje hivyo vyeo au majukumu...alafu wale ni walizi wa mipaka ya inchi
We jamaa uko serious, kuna mkoa hauna Jeshi nchi hii??
 
paramilitary is a military that is not a part of a country's official or legitimate armed forces.[1]

Hio ndio maana halisi ya paramilitary, swali la kujiuliza:
Police
Magereza
Uhamiaji

Yanakosa sifa hiyo kwa sababu ni majeshi yaliyo anzishwa kisheria(legality) na sio hayatambuliki.
Yapo chini ya direct command ya Command in Chief mwenyewe.
Hata ukifatilia National security council utaona hao ni permanent member.

Paramilitary hatambuliki kisheria na sio sehemu ya majeshi ya nchi.

organized like an army but is not official and often not legal.

Mfano Wagner, M-23 ,
Waambie hao. Wanadhani paramilitary ni kubeba bunduki na kukimbizana na vibaka mtaani.
 
Da nimeshangaa sana prisons na police kuitwa paramilitary,mfano mzuri wa paramilitary ni vikosi vya chama cha Nazi cha Adolf Hitler kama SS(Schutzstaffel)
Magereza na polisi sio paramilitary. Tafuta maana ya paramilitary hata google tu.
 
Inawezekana,kama ndege zilivyo kizuka tu,vifaru kuna kambi moja hivi iko kama unaelekea kibaha maili moja unachepuka kutoka highway,niliwahi kufika huko na rafiki yangu poti,kwenye hiyo kambi ukiingia kuna mkifaru mmoja wa zamani wa rangi ya kijani unqupita unapoingia kambini ,ila vifaru vyenyewe vya kazi jamaa akawa ananionyesha kwa mbali makazi ya hivyo vifaru viko kwenye yard fulani tuliyokuwa tunaiona kwa mbali
81, 82 napo vipi??
 
Nikurekebishe mtoa mada kisheria nchi hii ina jeshi moja tu, jeshi la wananchi tu, zingine ni paramilitary si full military components

Lakini pia unatakiwa ujue sababu ya majukumu waliyonayo, na aina ya kazi wanazofanya ni tofauti na taasisi zingine za ulinzi na usalama. Hawewez kuwa sawa maana jwtz halifanani kimajukum na taasis hizo
Askari jeshi usiye na elimu hiyo sheria ni ya nchi gani!!

Huwa unasoma katiba ya nchi au unajua kuilinda tu lakini haujui yaliyomo? 😃
 
Back
Top Bottom