Hivi kwanini JWTZ haina muundo huu kama wa majeshi mengine?

Magereza,police na vyombo vingine vya ulinzi na usalama vina ngazi kutokea ya kitaifa mpaka ya kiwilaya,mfano polisi kuna uongozi ngazi ya mkoa na ngazi ya wilaya na magereza hivyo hivyo.Je kwanini JWTZ haiko hivyo iwe na Mkuu wa JWTZ wa mkoa na mkuu wa JWTZ wa wilaya.nadhani Kuna nchi zina uongozi wa jeshi wa mkoa

Una hoja usikilizwe
 
Kwa hiyo unataka kutengeneza mchwa wengine wa kuendelea kutafuna kodi zetu. Hao wakuu wa JWTZ wa mikoa na wilaya watakuwa wanafanya kazi gani maana tangu 1978 walivyopata kazi ya kupigana na Fashist Idd Amin Dadaa hao wanajeshi wa kawaida tu hawajawahi kupata kazi nyingine hadi wengine walishastaafu bila kupata kazi na wanalipwa mafao.
 
Kaka unajua maana ya paramilitary organization? , kwa sheria za nchi yetu , hazitambui polisi, magereza, polisi, na hawa wa juzi uhifadhi kama full force military components. Kenya GSU ni unit similar to FFU wakwetu, zote ni police field units, under mwavuli wa polisi.

Jeshi pekee linalotambulika kama full military ni jeshi la wananchi tu, Wengine ni paramilitary, yes sababu ya aina ya miongozo na mafunzo.
Wewe uliambiwa na nani kuwa hizo taasisi za kiraia ni paramilitary au ni maoni yako?
 
Wewe uliambiwa nani kuwa hizo taasisi za kiraia ni paramilitary au ni maoni yako?
Good question. Unaweza kuanzia hapa Sheria ya Polisi na Huduma Saidizi ya Mwaka 2002, althogh hii specificaly ya police, ila kwa upande wa zanzibar pia, vinatambulika hivyo
 
Ipo muundo wake upo hivi

Kuna mshauri wa mgambo kwa ngazi ya mkoa huyu ana anzia cheo cha kanali

Kuna mshauri wa mgambo kwa ngazi ya wilaya huyu anakuwaga na cheo cha meja mara nyingi

Hivi ndivi ilivyo tofauti ni kwamba polisi na magerez wanaitwa viongozi wa usalama kwa jeshi fulan kwa ngazi ya mkoa ivyo
Mkuu jeshi letu Uongozi upo Kikanda na siyovki mikoa kama polisi, Jeshini hakuna mkuu wa jeshi la Arusha au Mbeya, ila kuna Kuna mkuu wa Kanda mfano Kuna mkuu wa Kanda ya Kusini yani Mikoa yote ya kusini inaongozwa na Brigedier.
 
Nikurekebishe mtoa mada kisheria nchi hii ina jeshi moja tu, jeshi la wananchi tu, zingine ni paramilitary si full military components

Lakini pia unatakiwa ujue sababu ya majukumu waliyonayo, na aina ya kazi wanazofanya ni tofauti na taasisi zingine za ulinzi na usalama. Hawewez kuwa sawa maana jwtz halifanani kimajukum na taasis hizo
Mkuu Police nalo ni Jeshi ambalo lipo kwa ajili usalama wa raia wa ndani . Au labda tuseme kiswahili hakina misamiati ya kutosha kuweza kutofautisha maneno haya kingereza
1. Force.
2.Military
3. Army.
4. Paramilitary

Kwahiyo Jeshi la police hawa sio paramilitary lakini ndani ya Jeshi lao ndio Kuna paramilitary ambo ni FFU au tunaweza kusema kuwa ndani ya Jeshi la police Kuna police units FFU ambao ndio paramilitary kutokana na their training, equipment, and role.

Kwahiyo Jeshi Police na Jeshi la wananchi haya ni majeshi. Japo Jeshi la police lipo kwa ajili ya civilian law enforcement

Yaliyobaki Magereza, Uhamiaji, TFS, FFU, TAWA na JKT
haya ndio paramilitary.

Anyways, Paramilitary units aren’t full military but are more hardcore than regular police. And "force" is a general term that can apply to any organized security
group.
 
Naelewa ila kasema mikoan na wilayani hawapo

Mfano jeshi likachukua nchi nani anakuwa mkuu wa mkoa atabaki yule yule au?

Na kila kanda imegawanyika na zinatambulika kwa majina mfano brigedi ya mbuni
 
Magereza,police na vyombo vingine vya ulinzi na usalama vina ngazi kutokea ya kitaifa mpaka ya kiwilaya,mfano polisi kuna uongozi ngazi ya mkoa na ngazi ya wilaya na magereza hivyo hivyo.Je kwanini JWTZ haiko hivyo iwe na Mkuu wa JWTZ wa mkoa na mkuu wa JWTZ wa wilaya.nadhani Kuna nchi zina uongozi wa jeshi wa mkoa
Wapo wanaitwa washauiri wa Mgambo wilaya na mkoa
 
Mkuu Police nalo ni Jeshi ambalo lipo kwa ajili usalama wa raia wa ndani . Au labda tuseme kiswahili hakina misamiati ya kutosha kuweza kutofautisha maneno haya kingereza
1. Force.
2.Military
3. Army.
4. Paramilitary

Kwahiyo Jeshi la police hawa sio paramilitary lakini ndani ya Jeshi lao ndio Kuna paramilitary ambo ni FFU au tunaweza kusema kuwa police units can have aparamilitary depending on their training, equipment, and role.

Kwahiyo Police na Jeshi la wananchi haya ni majeshi. Japo Jeshi la police lipo kwa ajili ya civilian law enforcement

Yaliyobaki Magereza, Uhamiaji, TFS, FFU, TAWA na JKT
haya ndio paramilitary.

Anyways, Paramilitary units aren’t full military but are more hardcore than regular police. And "force" is a general term that can apply to any organized security
group.
Umejitahidi kuelezea , lakini sheria zetu halitambui kama jeshi. Bali jeshi usu

Kuna mkanganyiko wa kiswahili na kingereza. Military - jeshi
paramilitary - jeshi usu

Polisi technicaly si jeshi kamili kama jwtz, japo kwa mazoea watu wanaita jeshi.
Kimuundo limefanana, lakini kimajukumu, kisheria , hata kimajukumu hawafanani na jwtz.
Ni Taasis inayotumia muundo unaofanana na jeshi kuendesha shighuliza zake
Na si polisi tu. Sijajitungia lakin

Lakin hivi vitu hufundishwa mapema na wale waliwahi kutumikia jwtz, police na uhamiaji, uhifadhi, hufundishw akatika basic. Na ni sheria
 
Moshi, singida, geita, manyara, simiyu, na mikoa mingi baadhi mostly mipya
Singida lipo hapo barabarani kabisa. Kuna dereva alishawahi pigishwa kwata kwa kukiuka sheria za barabarani na kutaka kuhatarisha uhai wa raia. Japo ni kitambo sana hili tukio
 
Mkuu Police nalo ni Jeshi ambalo lipo kwa ajili usalama wa raia wa ndani . Au labda tuseme kiswahili hakina misamiati ya kutosha kuweza kutofautisha maneno haya kingereza
1. Force.
2.Military
3. Army.
4. Paramilitary

Kwahiyo Jeshi la police hawa sio paramilitary lakini ndani ya Jeshi lao ndio Kuna paramilitary ambo ni FFU au tunaweza kusema kuwa ndani ya Jeshi la police Kuna police units FFU ambao ndio paramilitary kutokana na their training, equipment, and role.

Kwahiyo Jeshi Police na Jeshi la wananchi haya ni majeshi. Japo Jeshi la police lipo kwa ajili ya civilian law enforcement

Yaliyobaki Magereza, Uhamiaji, TFS, FFU, TAWA na JKT
haya ndio paramilitary.

Anyways, Paramilitary units aren’t full military but are more hardcore than regular police. And "force" is a general term that can apply to any organized security
group.
Point ni hiyo paragraph ya mwisho. Huko kwingine hata hujui ulichoandika.
 
Singida lipo hapo barabarani kabisa. Kuna dereva alishawahi pigishwa kwata kwa kukiuka sheria za barabarani na kutaka kuhatarisha uhai wa raia. Japo ni kitambo sana hili tukio
haha hapo suma walipoanzisha mradi wa kilimo cha korosho haha basi upo sawa
 
Kaka unajua maana ya paramilitary organization? , kwa sheria za nchi yetu , hazitambui polisi, magereza, polisi, na hawa wa juzi uhifadhi kama full force military components. Kenya GSU ni unit similar to FFU wakwetu, zote ni police field units, under mwavuli wa polisi.

Jeshi pekee linalotambulika kama full military ni jeshi la wananchi tu, Wengine ni paramilitary, yes sababu ya aina ya miongozo na mafunzo.
Kwani Sheria ya para military inasemaje?
Hii ni JF lazima twende ndani zaidi
 
Umejitahidi kuelezea , lakini sheria zetu halitambui kama jeshi. Bali jeshi usu

Kuna mkanganyiko wa kiswahili na kingereza. Military - jeshi
paramilitary - jeshi usu

Polisi technicaly si jeshi kamili kama jwtz, japo kwa mazoea watu wanaita jeshi.
Kimuundo limefanana, lakini kimajukumu, kisheria , hata kimajukumu hawafanani na jwtz.
Ni Taasis inayotumia muundo unaofanana na jeshi kuendesha shighuliza zake
Na si polisi tu. Sijajitungia lakin

Lakin hivi vitu hufundishwa mapema na wale waliwahi kutumikia jwtz, police na uhamiaji, uhifadhi, hufundishw akatika basic. Na ni sheria
paramilitary is a military that is not a part of a country's official or legitimate armed forces.[1]

Hio ndio maana halisi ya paramilitary, swali la kujiuliza:
Police
Magereza
Uhamiaji

Yanakosa sifa hiyo kwa sababu ni majeshi yaliyo anzishwa kisheria(legality) na sio hayatambuliki.
Yapo chini ya direct command ya Command in Chief mwenyewe.
Hata ukifatilia National security council utaona hao ni permanent member.

Paramilitary hatambuliki kisheria na sio sehemu ya majeshi ya nchi.

organized like an army but is not official and often not legal.

Mfano Wagner, M-23 ,
 
Nikurekebishe mtoa mada kisheria nchi hii ina jeshi moja tu, jeshi la wananchi tu, zingine ni paramilitary si full military components

Lakini pia unatakiwa ujue sababu ya majukumu waliyonayo, na aina ya kazi wanazofanya ni tofauti na taasisi zingine za ulinzi na usalama. Hawewez kuwa sawa maana jwtz halifanani kimajukum na taasis hizo
Agiza soda kwa mdomo wako nakuna kulipa mimi
 
Back
Top Bottom