Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,599
Ahahah sema karanga kashavuka kwenye pitshotUna story za kuokoteza sana, ungekuwa unaweka na rejea ya vifungu (reference) ya hizo sheria unazotaka kutuaminisha na kuachana na huu upotoshaji wa kwenye vijiwe vya kahawa au mkiwa na vipensi vya blue kwenye mahanga