Hivi kwanini JWTZ haina muundo huu kama wa majeshi mengine?

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
13,322
Reaction score
20,975
Magereza,police na vyombo vingine vya ulinzi na usalama vina ngazi kutokea ya kitaifa mpaka ya kiwilaya,mfano polisi kuna uongozi ngazi ya mkoa na ngazi ya wilaya na magereza hivyo hivyo.Je kwanini JWTZ haiko hivyo iwe na Mkuu wa JWTZ wa mkoa na mkuu wa JWTZ wa wilaya.nadhani Kuna nchi zina uongozi wa jeshi wa mkoa
 
Nikurekebishe mtoa mada kisheria nchi hii ina jeshi moja tu, jeshi la wananchi tu, zingine ni paramilitary si full military components

Lakini pia unatakiwa ujue sababu ya majukumu waliyonayo, na aina ya kazi wanazofanya ni tofauti na taasisi zingine za ulinzi na usalama. Hawewez kuwa sawa maana jwtz halifanani kimajukum na taasis hizo
 
Swali la kizushi mjibu hoja hivi hapa tz hamna kambi ya jeshi
 
Hamna jeshi dunian ambalo hali serve interest za serikal yake, although modernization iko kwenye motion lakin bado safar ni ndefu
Umenena vyema ila mimi nimesema kuserve interest za serikali ya kikoloni#
 
Nikurekebishe mtoa mada kisheria nchi hii ina jeshi moja tu, jeshi la wananchi tu, zingine ni paramilitary si full military components

Lakini pia unatakiwa ujue sababu ya majukumu waliyonayo, na aina ya kazi wanazofanya ni tofauti na taasisi zingine za ulinzi na usalama. Hawewez kuwa sawa maana jwtz halifanani kimajukum na taasis hizo
Uko sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom