Hivi kwanini JWTZ haina muundo huu kama wa majeshi mengine?

Hivi kwanini JWTZ haina muundo huu kama wa majeshi mengine?

Nikurekebishe mtoa mada kisheria nchi hii ina jeshi moja tu, jeshi la wananchi tu, zingine ni paramilitary si full military components

Lakini pia unatakiwa ujue sababu ya majukumu waliyonayo, na aina ya kazi wanazofanya ni tofauti na taasisi zingine za ulinzi na usalama. Hawewez kuwa sawa maana jwtz halifanani kimajukum na taasis hizo
Magereza, polisi na uhamiaji sio paramilitary. Katafute maana ya paramilitary. Kenya wana GSU. Sio kila taasisi inayojua kupiga kwata na kushika bunduki ni paramilitary.
 
Ipo muundo wake upo hivi

Kuna mshauri wa mgambo kwa ngazi ya mkoa huyu ana anzia cheo cha kanali

Kuna mshauri wa mgambo kwa ngazi ya wilaya huyu anakuwaga na cheo cha meja mara nyingi

Hivi ndivi ilivyo tofauti ni kwamba polisi na magerez wanaitwa viongozi wa usalama kwa jeshi fulan kwa ngazi ya mkoa ivyo
 
Magereza, polisi na uhamiaji sio paramilitary. Katafute maana ya paramilitary. Kenya wana GSU. Sio kila taasisi inayojua kupiga kwata na kushika bunduki ni paramilitary.
Kaka unajua maana ya paramilitary organization? , kwa sheria za nchi yetu , hazitambui polisi, magereza, polisi, na hawa wa juzi uhifadhi kama full force military components. Kenya GSU ni unit similar to FFU wakwetu, zote ni police field units, under mwavuli wa polisi.

Jeshi pekee linalotambulika kama full military ni jeshi la wananchi tu, Wengine ni paramilitary, yes sababu ya aina ya miongozo na mafunzo.
 
Nikurekebishe mtoa mada kisheria nchi hii ina jeshi moja tu, jeshi la wananchi tu, zingine ni paramilitary si full military components

Lakini pia unatakiwa ujue sababu ya majukumu waliyonayo, na aina ya kazi wanazofanya ni tofauti na taasisi zingine za ulinzi na usalama. Hawewez kuwa sawa maana jwtz halifanani kimajukum na taasis hizo
Ila wapo mkuu
 
Washauri wa mgambo mkoa na wilaya ikitokea nafasi za kujitolea jkt wao ndio wasimamiz wakuu wa hilo pia

Ikatokea nchi imechukuliwa na jeshi basi hao washauri wa mkoa na wilaya wanageuka kuwa wakuu wa mikoa na wilaya
Sasa wale walipo si kambi ya jeshi ni wawakilish wa jeshi ngazi ya mkoa na wilaya
 
Magereza,police na vyombo vingine vya ulinzi na usalama vina ngazi kutokea ya kitaifa mpaka ya kiwilaya,mfano polisi kuna uongozi ngazi ya mkoa na ngazi ya wilaya na magereza hivyo hivyo.Je kwanini JWTZ haiko hivyo iwe na Mkuu wa JWTZ wa mkoa na mkuu wa JWTZ wa wilaya.nadhani Kuna nchi zina uongozi wa jeshi wa mkoa
Unajichanganya. Unaposikia neno vyombo vya ulinzi na usalama basi utambue ulinzi(defence) ndio Jeshi na usalama(security) ndio hizo taasisi za kiraia unazozitaja hapo.
 
Back
Top Bottom