MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,349
- 13,613
Ulishawahi kutapeliwa na askari wa Zimamoto 🤣🤣🤣🤣🤣Hata lingeundwaa jee,JWTz ni Jeshi ninaloliamini miamia,hawo wengine waoneaji/matapeli tu.Viva JWTz.
Ulishawahi kutapeliwa na askari wa Zimamoto 🤣🤣🤣🤣🤣Hata lingeundwaa jee,JWTz ni Jeshi ninaloliamini miamia,hawo wengine waoneaji/matapeli tu.Viva JWTz.
Hizo kambi za jeshi haziko kwenye wilaya ama?Huko Wilayani JWTZ wanafuata nini? JWTZ ni walinzi wa mipaka, siyo walizi wa vibaka wa kuiba kuku. Kwa muundo wao wana hadi Mkuu wa Kikozi na Mkuu wa Kamnbi ya Jeshi.
Tushawazoea hivyohivyo tukanao mpaka mwishoo, nawapendaa mieee JWTZ hadi rahaMagereza,police na vyombo vingine vya ulinzi na usalama vina ngazi kutokea ya kitaifa mpaka ya kiwilaya,mfano polisi kuna uongozi ngazi ya mkoa na ngazi ya wilaya na magereza hivyo hivyo.Je kwanini JWTZ haiko hivyo iwe na Mkuu wa JWTZ wa mkoa na mkuu wa JWTZ wa wilaya.nadhani Kuna nchi zina uongozi wa jeshi wa mkoa
JWTZ WANA MIFUMO YAO IMARA YA KIJESHI KWENYE LIKA KONA YA NCHI!!!! NDIYO MAANA NI MARA CHACHE SANA KUSIKIA MAUZA UZA KAMA KWENYE MAGEREZA NA POLISI!!!!!! NAKUMBUKA MZEE WARIOBA JUZJUZI TU ALISEMA CHOMBO PEKEE CHA ULINZINA USALAMA KINACHOAMINI NA KISAFI NI JWTZ 💪💪💪Magereza,police na vyombo vingine vya ulinzi na usalama vina ngazi kutokea ya kitaifa mpaka ya kiwilaya,mfano polisi kuna uongozi ngazi ya mkoa na ngazi ya wilaya na magereza hivyo hivyo.Je kwanini JWTZ haiko hivyo iwe na Mkuu wa JWTZ wa mkoa na mkuu wa JWTZ wa wilaya.nadhani Kuna nchi zina uongozi wa jeshi wa mkoa
Ila nimesense kitu imagine jwtz ina kamanda wa mkoa au wilaya wa JWTZhalafu wanakuwa chini ya mkuu wa mkoa tena kama yule mropokaji wa DarJWTZ WANA MIFUMO YAO IMARA YA KIJESHI KWENYE LIKA KONA YA NCHI!!!! NDIYO MAANA NI MARA CHACHE SANA KUSIKIA MAUZA UZA KAMA KWENYE MAGEREZA NA POLISI!!!!!! NAKUMBUKA MZEE WARIOBA JUZJUZI TU ALISEMA CHOMBO PEKEE CHA ULINZINA USALAMA KINACHOAMINI NA KISAFI NI JWTZ 💪💪💪
Sawa mkuu.Miundo ya majeshi haifanani duniani.
Sisi tunatumia muundo wa muingereza
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.Nikurekebishe mtoa mada kisheria nchi hii ina jeshi moja tu, jeshi la wananchi tu, zingine ni paramilitary si full military components
Lakini pia unatakiwa ujue sababu ya majukumu waliyonayo, na aina ya kazi wanazofanya ni tofauti na taasisi zingine za ulinzi na usalama. Hawewez kuwa sawa maana jwtz halifanani kimajukum na taasis hizo
Halafu kitu kingine ambacho jamaa anachopaswa kujua paramilitary zinaweza kuwa chini ya organization mfano wale wa wanyama pori wako chini ya TANAPA au mfano kuna paramilitary ilikuwa inaitwa SS ilikuwa chini ya chama cha NAZi cha adolf hitler hivyo hai.make sende kusema polisi na.magereza ni palamilitariesJeshi la Zimamoto na Uokoaji.
KilimanjaroMfano?
Ila we jamaa kisheria? Sheria Gani Inasema nchi hii Ina jeshi Moja tu? Hili ndo tatizo la jei wii kuchukua lasaba b. Humu Tanzania Sheria mama ni KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ambayo katika kifungu Cha 147 mpaka 148 inazungumzia security and defence forces nk.Nikurekebishe mtoa mada kisheria nchi hii ina jeshi moja tu, jeshi la wananchi tu, zingine ni paramilitary si full military components
Lakini pia unatakiwa ujue sababu ya majukumu waliyonayo, na aina ya kazi wanazofanya ni tofauti na taasisi zingine za ulinzi na usalama. Hawewez kuwa sawa maana jwtz halifanani kimajukum na taasis hizo
Hata si majeshi. Hizo ni taasisi za kama ilivyo Takukuru na Nida. Jeshi ni JWTZ tu.Yup sio paramilitary ni majeshi kamili yenye dhamana katika respective areas.Polisi usalama wa raia na magereza ulinzi wa wahalifu.Jamaa ameingia chaka sana kusema haya majeshi ni paramilitaries
Kwa mujibu wa Sheria wakuu.Hata si majeshi. Hizo ni taasisi za kama ilivyo Takukuru na Nida. Jeshi ni JWTZ tu.
Kwahiyo katiba ikikwambia mbuzi ni ng'ombe na wewe utaamini? Katiba sio kamusi. Jeshi ni taaluma na ni kazi kama unavyoona kazi zingine. Taaluma ya kijeshi inapatikana jeshini tu. Hiyo tafsiri ya kikatiba haina maana yoyote katika uhalisia. Wakati mleta mada anauliza swali hajui kwamba Jwtz iko nchi zote. Ukienda hata nchi jirani JWTZ ipo na ina ofisi kabisa na wakuu wake huitwa 'waambata wa kijeshi au military attaches kwa kizungu. JWTZ ipo hadi Russia, China, USA, Ufaransa na nchi nyingi tu. Sasa unaanzaje kulinganisha Jeshi na taasisi ndogo zilizoko wizara ya mambo ya ndani ambazo ni taasisi za kiraia!Ila we jamaa kisheria? Sheria Gani Inasema nchi hii Ina jeshi Moja tu? Hili ndo tatizo la jei wii kuchukua lasaba b. Humu Tanzania Sheria mama ni KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ambayo katika kifungu Cha 147 mpaka 148 inazungumzia security and defence forces nk.
Umewachokoza polisi naona wamechachamaa.Nikurekebishe mtoa mada kisheria nchi hii ina jeshi moja tu, jeshi la wananchi tu, zingine ni paramilitary si full military components
Lakini pia unatakiwa ujue sababu ya majukumu waliyonayo, na aina ya kazi wanazofanya ni tofauti na taasisi zingine za ulinzi na usalama. Hawewez kuwa sawa maana jwtz halifanani kimajukum na taasis hizo
Kisheria nchi ina jeshi moja? Sheria gani hiyo? Kisheria nchi ina majeshi manne yameorodheshwa kwenye katiba ibara ya 9 kama sikosei ukihitaji sema nikuleteeNikurekebishe mtoa mada kisheria nchi hii ina jeshi moja tu, jeshi la wananchi tu, zingine ni paramilitary si full military components
Lakini pia unatakiwa ujue sababu ya majukumu waliyonayo, na aina ya kazi wanazofanya ni tofauti na taasisi zingine za ulinzi na usalama. Hawewez kuwa sawa maana jwtz halifanani kimajukum na taasis hizo
Duh baba angu we ni mbumbumbu. Mtu unaehoji hata umuhimu wa KATIBA ya nchi na mamlaka yake .Kwahiyo katiba ikikwambia mbuzi ni ng'ombe na wewe utaamini? Katiba sio kamusi. Jeshi ni taaluma na ni kazi kama unavyoona kazi zingine. Taaluma ya kijeshi inapatikana jeshini tu. Hiyo tafsiri ya kikatiba haina maana yoyote katika uhalisia. Wakati mleta mada anauliza swali hajui kwamba Jwtz iko nchi zote. Ukienda hata nchi jirani JWTZ ipo na ina ofisi kabisa na wakuu wake huitwa 'waambata wa kijeshi au military attaches kwa kizungu. JWTZ ipo hadi Russia, China, USA, Ufaransa na nchi nyingi tu. Sasa unaanzaje kulinganisha Jeshi na taasisi ndogo zilizoko wizara ya mambo ya ndani ambazo ni taasisi za kiraia!
Respect JWTZ
Muulize ni Sheria Gani inayosema nchi Ina jeshi Moja? Nimemwelekeza kwamba ni KATIBA iliyoainisha Hilo na kwamba ni Sheria mama kuliko Sheria yoyote Ile inayofanya kazi katika nchi hii. Anaanza kuuliza eti KATIBA Ina Nini Kila ilichosema mi nikiamini!Kisheria nchi ina jeshi moja? Sheria gani hiyo? Kisheria nchi ina majeshi manne yameorodheshwa kwenye katiba ibara ya 9 kama sikosei ukihitaji sema nikuletee
Usalama pia huwa na Waambata kwenye balozi.Kwahiyo katiba ikikwambia mbuzi ni ng'ombe na wewe utaamini? Katiba sio kamusi. Jeshi ni taaluma na ni kazi kama unavyoona kazi zingine. Taaluma ya kijeshi inapatikana jeshini tu. Hiyo tafsiri ya kikatiba haina maana yoyote katika uhalisia. Wakati mleta mada anauliza swali hajui kwamba Jwtz iko nchi zote. Ukienda hata nchi jirani JWTZ ipo na ina ofisi kabisa na wakuu wake huitwa 'waambata wa kijeshi au military attaches kwa kizungu. JWTZ ipo hadi Russia, China, USA, Ufaransa na nchi nyingi tu. Sasa unaanzaje kulinganisha Jeshi na taasisi ndogo zilizoko wizara ya mambo ya ndani ambazo ni taasisi za kiraia!
Respect JWTZ