Hivi kwanini JWTZ haina muundo huu kama wa majeshi mengine?

Hivi kwanini JWTZ haina muundo huu kama wa majeshi mengine?

Post namba 1 ilijibu swali zingine sasa ni ngonjera na kupoteza muda
 
Tafuta kwanza muundo wa kijeshi ulivyokaa kuanzia section mpaka corps. Nina imani utapata majibu ya maswali yako mkuu.
 
paramilitary is a military that is not a part of a country's official or legitimate armed forces.[1]

Hio ndio maana halisi ya paramilitary, swali la kujiuliza:
Police
Magereza
Uhamiaji

Yanakosa sifa hiyo kwa sababu ni majeshi yaliyo anzishwa kisheria(legality) na sio hayatambuliki.
Yapo chini ya direct command ya Command in Chief mwenyewe.
Hata ukifatilia National security council utaona hao ni permanent member.

Paramilitary hatambuliki kisheria na sio sehemu ya majeshi ya nchi.

organized like an army but is not official and often not legal.

Mfano Wagner, M-23 ,
Umejibu vema mkuu nimeshangaa kuambiwa polisi,na magereza ni palamilitary
 
Mtoto kaniuliza ivi vifaru vipo Dar tu nikakosa jinsi ya kumjibu
 
sasa jeshi lipo mikoa yote?kilimanjaro hakuna jeshi wala singida lindi watapewaje hivyo vyeo au majukumu...alafu wale ni walizi wa mipaka ya inchi
Ni jambo linalowezekana embu angalia structure ya jeshi la iran
 
Mtoto kaniuliza ivi vifaru vipo Dar tu nikakosa jinsi ya kumjibu
Inawezekana,kama ndege zilivyo kizuka tu,vifaru kuna kambi moja hivi iko kama unaelekea kibaha maili moja unachepuka kutoka highway,niliwahi kufika huko na rafiki yangu poti,kwenye hiyo kambi ukiingia kuna mkifaru mmoja wa zamani wa rangi ya kijani unqupita unapoingia kambini ,ila vifaru vyenyewe vya kazi jamaa akawa ananionyesha kwa mbali makazi ya hivyo vifaru viko kwenye yard fulani tuliyokuwa tunaiona kwa mbali
 
Nikurekebishe mtoa mada kisheria nchi hii ina jeshi moja tu, jeshi la wananchi tu, zingine ni paramilitary si full military components

Lakini pia unatakiwa ujue sababu ya majukumu waliyonayo, na aina ya kazi wanazofanya ni tofauti na taasisi zingine za ulinzi na usalama. Hawewez kuwa sawa maana jwtz halifanani kimajukum na taasis hizo
Sheria ipi hiyo unayoizungumzia wewe ambayo iko juu ya Ibara ya 147(4) ya Katiba ya JMT?
Achana na story za vijiweni zitakupotezea muda
 
Magereza, polisi na uhamiaji sio paramilitary. Katafute maana ya paramilitary. Kenya wana GSU. Sio kila taasisi inayojua kupiga kwata na kushika bunduki ni paramilitary.
Da nimeshangaa sana prisons na police kuitwa paramilitary,mfano mzuri wa paramilitary ni vikosi vya chama cha Nazi cha Adolf Hitler kama SS(Schutzstaffel)
 
Inawezekana,kama ndege zilivyo kizuka tu,vifaru kuna kambi moja hivi iko kama unaelekea kibaha maili moja unachepuka kutoka highway,niliwahi kufika huko na rafiki yangu poti,kwenye hiyo kambi ukiingia kuna mkifaru mmoja wa zamani wa rangi ya kijani unqupita unapoingia kambini ,ila vifaru vyenyewe vya kazi jamaa akawa ananionyesha kwa mbali makazi ya hivyo vifaru viko kwenye yard fulani tuliyokuwa tunaiona kwa mbali
Hayo Mavifaru yapo hata Tabora kwenye Kambi kubwa ya jeshi ya MIRAMBO kwahiyo Hilo neno inawezekana litoe hapo.
 
Ipo muundo wake upo hivi

Kuna mshauri wa mgambo kwa ngazi ya mkoa huyu ana anzia cheo cha kanali

Kuna mshauri wa mgambo kwa ngazi ya wilaya huyu anakuwaga na cheo cha meja mara nyingi

Hivi ndivi ilivyo tofauti ni kwamba polisi na magerez wanaitwa viongozi wa usalama kwa jeshi fulan kwa ngazi ya mkoa ivyo
Kwa uwepo wao huo means hakuna uongozi wa JWTZ wa ngazi ya mkoa au wilaya hao maana yake jurisdiction yao inaishia kwa migambo
 
Kwa uwepo wao huo means hakuna uongozi wa JWTZ wa ngazi ya mkoa au wilaya hao maana yake jurisdiction yao inaishia kwa migambo
Hapana wanaingia vikao vyote vya usalama wa mkoa na wilaya na kama waziri wau raisi anakuja mkoa husika wao ndio waratibu wakuu
 
Umejitahidi kuelezea , lakini sheria zetu halitambui kama jeshi. Bali jeshi usu

Kuna mkanganyiko wa kiswahili na kingereza. Military - jeshi
paramilitary - jeshi usu

Polisi technicaly si jeshi kamili kama jwtz, japo kwa mazoea watu wanaita jeshi.
Kimuundo limefanana, lakini kimajukumu, kisheria , hata kimajukumu hawafanani na jwtz.
Ni Taasis inayotumia muundo unaofanana na jeshi kuendesha shighuliza zake
Na si polisi tu. Sijajitungia lakin

Lakin hivi vitu hufundishwa mapema na wale waliwahi kutumikia jwtz, police na uhamiaji, uhifadhi, hufundishw akatika basic. Na ni sheria
Una story za kuokoteza sana, ungekuwa unaweka na rejea ya vifungu (reference) ya hizo sheria unazotaka kutuaminisha na kuachana na huu upotoshaji wa kwenye vijiwe vya kahawa au mkiwa na vipensi vya blue kwenye mahanga
 
Unajichanganya. Unaposikia neno vyombo vya ulinzi na usalama basi utambue ulinzi(defence) ndio Jeshi na usalama(security) ndio hizo taasisi za kiraia unazozitaja hapo.
Mimi nadhani kila taasisi katika hizo ulizozitaja inavyote hivyo viwili ulinzi na usalama,kwa hiyo taasisi za kiraia hazina ulinzi?
 
Back
Top Bottom