little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 2,440
- 4,805
MBT kabisa?? Sema field artillery bana.Hayo Mavifaru yapo hata Tabora kwenye Kambi kubwa ya jeshi ya MIRAMBO kwahiyo Hilo neno inawezekana litoe hapo.
MBT kabisa?? Sema field artillery bana.Hayo Mavifaru yapo hata Tabora kwenye Kambi kubwa ya jeshi ya MIRAMBO kwahiyo Hilo neno inawezekana litoe hapo.
Exactly true..Jeshi limegawanywa kwenye Brigades ..Tanzania kuna Brigades tano...Arusha, Songea, Tabora, Dar, na Zanzibar...hizo Brigade zina wakuu wake...Kila brigade ina save baadhi ya Mikoa...
NB
Hizo Brigade zimekaa kimuundo wa Vita, mipaka na uelekeo wa adui...Siyo mipaka ya kisiasa... hizo ni tactical position incase tukivamiwa na adui
Nchi gani ina uongozi wa jeshi katika ngazi ya wilaya au mkoa?Magereza,police na vyombo vingine vya ulinzi na usalama vina ngazi kutokea ya kitaifa mpaka ya kiwilaya,mfano polisi kuna uongozi ngazi ya mkoa na ngazi ya wilaya na magereza hivyo hivyo.Je kwanini JWTZ haiko hivyo iwe na Mkuu wa JWTZ wa mkoa na mkuu wa JWTZ wa wilaya.nadhani Kuna nchi zina uongozi wa jeshi wa mkoa
IranNchi gani ina uongozi wa jeshi katika ngazi ya wilaya au mkoa?
Sijajua mimi naijua kambi moja yenye vifaru81, 82 napo vipi??
Yup sio paramilitary ni majeshi kamili yenye dhamana katika respective areas.Polisi usalama wa raia na magereza ulinzi wa wahalifu.Jamaa ameingia chaka sana kusema haya majeshi ni paramilitariesMagereza na polisi sio paramilitary. Tafuta maana ya paramilitary hata google tu.
Kwaiyo JW sio taasisi?Kwakuongezea hizo nyingine ni taasisi lakini JESHI NI JWTZ..
Ndio ni jeshiKwaiyo JW sio taasisi?
Unajua maana ya taasisi?Ndio ni jeshi
eshi mnaongelea wanajeshi....mi naongelea kambio za jeshi ambayo ndio makazi ya wanajeshi yapo kila mkoa na kila wilaya basi ni sawa mko sahihi kabisaAchana na mkoa. Muulize wilaya tu.
Self-propelled Guns[SPG] na Large-Calliber guns zinaingia kwenye hilo kundi la Field Artillery. Sasa swali la kujiuliza ma Self-propelled guns au ma self-propelled artillery kibongobongo mkuu tunayaitaje kama si Mavifaru?.MBT kabisa?? Sema field artillery bana.
Umewaza kama mimi nilivyowahi kuwazaMagereza,police na vyombo vingine vya ulinzi na usalama vina ngazi kutokea ya kitaifa mpaka ya kiwilaya,mfano polisi kuna uongozi ngazi ya mkoa na ngazi ya wilaya na magereza hivyo hivyo.Je kwanini JWTZ haiko hivyo iwe na Mkuu wa JWTZ wa mkoa na mkuu wa JWTZ wa wilaya.nadhani Kuna nchi zina uongozi wa jeshi wa mkoa
AhaUmewaza kama mimi nilivyowahi kuwaza
Twende Bakita mzee tukaombe msaadaSelf-propelled Guns[SPG] na Large-Calliber guns zinaingia kwenye hilo kundi la Field Artillery. Sasa swali la kujiuliza ma Self-propelled guns au ma self-propelled artillery kibongobongo mkuu tunayaitaje kama si Mavifaru?.
Hakuna Kambi ya jeshi, Kuna Makao makuu ya Jeshi la akibaSingida Kuna Kambi ya jeshi
Huko Wilayani JWTZ wanafuata nini? JWTZ ni walinzi wa mipaka, siyo walizi wa vibaka wa kuiba kuku. Kwa muundo wao wana hadi Mkuu wa Kikozi na Mkuu wa Kamnbi ya Jeshi.Magereza,police na vyombo vingine vya ulinzi na usalama vina ngazi kutokea ya kitaifa mpaka ya kiwilaya,mfano polisi kuna uongozi ngazi ya mkoa na ngazi ya wilaya na magereza hivyo hivyo.Je kwanini JWTZ haiko hivyo iwe na Mkuu wa JWTZ wa mkoa na mkuu wa JWTZ wa wilaya.nadhani Kuna nchi zina uongozi wa jeshi wa mkoa
Miundo ya majeshi haifanani duniani.Tafuta kwanza muundo wa kijeshi ulivyokaa kuanzia section mpaka corps. Nina imani utapata majibu ya maswali yako mkuu.
Wewe ndio umejibu swali na umemaliza Kila kituJeshi limegawanywa kwenye Brigades ..Tanzania kuna Brigades tano...Arusha, Songea, Tabora, Dar, na Zanzibar...hizo Brigade zina wakuu wake...Kila brigade ina save baadhi ya Mikoa...
NB
Hizo Brigade zimekaa kimuundo wa Vita, mipaka na uelekeo wa adui...Siyo mipaka ya kisiasa... hizo ni tactical position incase tukivamiwa na adui