Hivi kwanini JWTZ haina muundo huu kama wa majeshi mengine?

Umewachokoza polisi naona wamechachamaa.
Mkuu mi sio polisi but nna Abc ya Sheria za Bongo hususan KATIBA ya Jamhuri ya MUUNGANO wa Tanzania ambayo yenyewe ndo inatoa mamlaka na majukum ya taasisi zote za serikali katika utendaji
 
Watu wenyewe mpaka karne hii eti bado wanatumia miguvu kwenye shughuli zao,wakt tuko ulimwengu wa technology
 
Usalama pia huwa na Waambata kwenye balozi.
Uhamiaji huwa na Waambata kwenye balozi.
Pale ni platform ya kijasusi kijana.
Hiki sio kitu kipya
Huyo lasaba b hajui chochote hata kuhusu military intelligence na uambata ausemao kwenye balozi na sehemu zingine huko nje.
 
Ipo muundo wake upo hivi

Kuna mshauri wa mgambo kwa ngazi ya mkoa huyu ana anzia cheo cha kanali

Kuna mshauri wa mgambo kwa ngazi ya wilaya huyu anakuwaga na cheo cha meja mara nyingi

Hivi ndivi ilivyo tofauti ni kwamba polisi na magerez wanaitwa viongozi wa usalama kwa jeshi fulan kwa ngazi ya mkoa ivyo
ongezea kwamba kwenye vikao vya kamati za ulinzi na usalama Hao washauri wa mgambo kwa mkoa au wilaya TPDF ndo seniors kwa vyombo vya ulinzi vyote
 
Muulize ni Sheria Gani inayosema nchi Ina jeshi Moja? Nimemwelekeza kwamba ni KATIBA iliyoainisha Hilo na kwamba ni Sheria mama kuliko Sheria yoyote Ile inayofanya kazi katika nchi hii. Anaanza kuuliza eti KATIBA Ina Nini Kila ilichosema mi nikiamini!
Kama kajibu hivyo basi hajitambui kaamua kufurahisha genge
 
Usalama pia huwa na Waambata kwenye balozi.
Uhamiaji huwa na Waambata kwenye balozi.
Pale ni platform ya kijasusi kijana.
Hiki sio kitu kipya
Unaandika ujinga huku ukijiona mjuaji. Sikia wewe. Mwambata ni mwakili wa kijeshi anayeliwakilisha jeshi kwenye nchi za nje. Hao unaosema wewe wanamuwakilisha nani huko ubalozini?
 
ongezea kwamba kwenye vikao vya kamati za ulinzi na usalama Hao washauri wa mgambo kwa mkoa au wilaya TPDF ndo seniors kwa vyombo vya ulinzi vyote
Wao ndio ulinzi. Hao wengine ni usalama. Ukisikia vyombo vya ulinzi na usalama ujue tu ulinzi ndio jeshi na hivyo vyombo vingine ndio vinaitwa vyombo vya usalama.
 
Kama akina nani?
Mshauri wa mgambo wa wilaya mara nyng n meja kwa cheo. Si kwa sababu ni mshauri wa mgambo wilaya eti sasa n mgambo, bali ni afsj wa jeshi la wananchi na ni mjumbe wa kamati ya ulinzi wa wilaya, hvo hvo na mkoani ijapo mkoan cheo chake kama sikosei mara nying ni kanali
Na wana ofs zao pale pale kwa ofs ya dc na rc
 
Unaandika ujinga huku ukijiona mjuaji. Sikia wewe. Mwambata ni mwakili wa kijeshi anayeliwakilisha jeshi kwenye nchi za nje. Hao unaosema wewe wanamuwakilisha nani huko ubalozini?

Embassy Attach'e
Immigration section’s Attaché had a spesifical task and function simply and solely is on Immigration things such a passport services, self reporting, also Official Passports renewal.

military attaché or defence attaché (DA),[1] sometimes known as a "military diplomat",[2] is an official responsible for military matters within a diplomatic mission, typically an embassy.[3] They are usually high-ranking members of the armed forces who retain their commission while being accorded full diplomatic status and immunity.[4]

Maana ya Attach'e
person who is assigned ("to be attached") to the diplomatic or administrative staff of a higher placed person or another service or agency

Special Attach'e
person who works in an embassy and has a particular area of responsibility in which they have special knowledge.
Hapa ndipo Tith wanapoingia

Hapa tunajifunza either hujui mwenendo mzima wa ubalozi au umekalilishwa.

Kifupi traditional role nyingi zinabadilika au zinakuwa expanded.

Narudia kusema ubalozi wowote ni platform kwa ajili ya masuala ya kijasusi

Mfano wenye uhalisia
Commissioner Jenerali wa kwanza wa Uhamiaji Ambokile alikuwa ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza kabla ya kurudi na kupewa ukamishna jenerali.
 
'Umekalilishwa' ndio kitu gani? Jifunze kuandika vizuri kwanza. Commissiner ni mteule wa rais anaweza kuteuliwa kuwa balozi. Mtu yeyote anaweza kuteuliwa na rais kuwa balozi mfano ni huyo uliyesema alikuwa afisa uhamiaji. Wala hakuwa ubalozini kama afisa uhamiaji bali kama mwakilishi tu. Kwa upande wa military attache lazima awe mwanajeshi na ni lazima awepo kwenye kila nchi zenye uhusiano wa kidiplomasia na anakuwa official kijeshi. Analiwakilisha jeshi kimataifa akiwa ubalozini. Balozi anaweza kuwa yeyote aliyeteuliwa na rais lakini military attache anateuliwa na jeshi.
 
Hakuwa balozi bali afisa Uhamiaji.
Na si huyo tu wapo wengi.
hadi Sasa.
Nijifunze kuandika 🤣🤣🤣🤣🤣 unadhani Mimi darasa la Saba B mwenzio au?
Sio jambo jipya hilo au geni, jifunze utaelewa taratibu.
Acheni kudanganyana.
 
ongezea kwamba kwenye vikao vya kamati za ulinzi na usalama Hao washauri wa mgambo kwa mkoa au wilaya TPDF ndo seniors kwa vyombo vya ulinzi vyote
Hili ndio jibu la swali la mtoa mada.

Waliopo kwenye kamati za ulinzi za wilaya, ndio viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama vya level hiyo, na kwa mikoa ndio hivyo hivyo
 
No.8
The National Security Council
20107
PARTⅢ
SECURITY COMMTTTEES
Composi-
tion of
Regional
Security
Committees
8.-(1)There is hereby established the following Security
Committees-
(a)the Regional Security Committees;and
(b)the District Security Committees.
(2)The Regional Security Committee shall be composed of-
(a)the Regional Commissioner,who shall be the
Chairman ;
(b)the Regional Administrative Secretary,who shall be
the Secretary;
(c)the Regional Police Commander;
(d)the Commanding Officer of the Tanzania Peoples'
Defence Forces Unit;
(e)the Regional Security Officer;
(f)the Regional Immigration Officer;
(g)the Regional Militia Advisor;and
(h)the Regional Prisons Officcr and,in the case of
Tanzania Zanzibar,the Regional Rehabilitation
Colleges'Officer.
 
Hili ndio jibu la swali la mtoa mada.

Waliopo kwenye kamati za ulinzi za wilaya, ndio viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama vya level hiyo, na kwa mikoa ndio hivyo hivyo
Screenshot_20250329-193143_1.jpg
 
Back
Top Bottom