FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,890
- 109,224
Hivi kwa nini devil worshippers wengi wana uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kucheza na mind za watu kiasi kwamba wanaweza kukuaminisha uwongo kuwa ukweli ?
Christians wengi wana akili ndogo sana kiasi kwamba wanachoambiwa na viongozi wao wa dini wana fuata bila kuhoji, kwa mfano kesi kama ya kibwetele alipo waambiwa waumini wake wagawe mali zao zote yesu anakuja kuwachukuwa na waumini hawakumbishia matokeo yake aliwafungia na kuwachoma moto
Au kuna juzi juzi tu kuna kiongozi wa dini alikuwa anawanywesha wafuasi wake dettol kama sehemu ya ibada
Hakuna punguani asiyejiona kuwa ana akili kubwa, nnakushangaa wewe unaewaona wengine wana akili kubwa kuliko wengine? Sijuwi nikuweke kundi lipi?
Tuwekee ushahidi kwa uyasemayo la sivyo wewe utakuwa ni mtu mwenye akili kubwa sana.