Hivi kwanini devil worshippers wengi wana IQ kubwa kuliko Muslims/Christians?

Hivi kwa nini devil worshippers wengi wana uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kucheza na mind za watu kiasi kwamba wanaweza kukuaminisha uwongo kuwa ukweli ?

Christians wengi wana akili ndogo sana kiasi kwamba wanachoambiwa na viongozi wao wa dini wana fuata bila kuhoji, kwa mfano kesi kama ya kibwetele alipo waambiwa waumini wake wagawe mali zao zote yesu anakuja kuwachukuwa na waumini hawakumbishia matokeo yake aliwafungia na kuwachoma moto

Au kuna juzi juzi tu kuna kiongozi wa dini alikuwa anawanywesha wafuasi wake dettol kama sehemu ya ibada

Hakuna punguani asiyejiona kuwa ana akili kubwa, nnakushangaa wewe unaewaona wengine wana akili kubwa kuliko wengine? Sijuwi nikuweke kundi lipi?

Tuwekee ushahidi kwa uyasemayo la sivyo wewe utakuwa ni mtu mwenye akili kubwa sana.
 
Ushahidi upi tena ?

Kwani kibwetele humjui ?

Na hilo sakata la waumini kunyweshwa dettol nalo ni geni masikioni mwako?
 
Hivi kwa nini devil worshippers wengi wana uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kucheza na mind za watu kiasi kwamba wanaweza kukuaminisha uwongo kuwa ukweli ?

Christians wengi wana akili ndogo sana kiasi kwamba wanachoambiwa na viongozi wao wa dini wana fuata bila kuhoji, kwa mfano kesi kama ya kibwetele alipo waambiwa waumini wake wagawe mali zao zote yesu anakuja kuwachukuwa na waumini hawakumbishia matokeo yake aliwafungia na kuwachoma moto

Au kuna juzi juzi tu kuna kiongozi wa dini alikuwa anawanywesha wafuasi wake dettol kama sehemu ya ibada
Me nakuna wewe ndio huna akili na fukara wa ubongo hivi kuna taasisi iliyotoa mchango wa kufuta ujinga duniani kama kanisa?

Unajua makanisa kwa ujumla wake wanamiliki taasisi ngapi kubwa za elimu duniani?
 
Ushahidi upi tena ?

Kwani kibwetele humjui ?

Na hilo sakata la waumini kunyweshwa dettol nalo ni geni masikioni mwako?
Kwahiyo katika kanisa umemuona kibwetele tu ndio icon ya IQ ya wakristo na ukristo wote kwa ujumla?

Wewe huna tofauti na pumpkin around the house
 
Anhaaa bado unataka ushahidi zaidi basi haina shaka

Nilimtumia kibwetele kwa sababu kisa chake ni common
 
Ushatoa jibu... kwamba wanafuata bila kuhoji... hilo ndiyo tatizo... Toka mdogo mpaka unakua umekuwa ukiambiwa usinywe dettol ni hatari, na hata maelezo yanasema siyo kwa matumizi ya kunywa... alafu ukubwani unaenda kudanganywa...
Imeandikwa weka mbali na watoto nasio watu wazima
 
Ushatoa jibu... kwamba wanafuata bila kuhoji... hilo ndiyo tatizo... Toka mdogo mpaka unakua umekuwa ukiambiwa usinywe dettol ni hatari, na hata maelezo yanasema siyo kwa matumizi ya kunywa... alafu ukubwani unaenda kudanganywa...

Na kuhoji jambo sio devilish act bali ni critical thinking. Na huyo prof. ni prof. jina na prof. wa ukweli.
 
Mzee wa Loliondo unamzungumziaje ?
Sasa em nikuulize wewe chanzo chako cha ukweli juu ya ukristo ni kipi!?

Mimi ningekuona wa maana kama ungekua unauchambua ukristo kutoka kwenye Bible lakini kuuelezea ukristo kutoka kwa mtu yoyote eti kisa anaitwa John au Peter au Mary inaonesha ni jinsi gani ulivyo shallow in data collection and analysis.
 
yaani hapa ndo mnazidi kuonesha uwezo wenu mdogo wa kufikiri

Sasa mtu yupo kanisani anasali kila siku na matukio yote hayo yanatokea ndani ya kanisa sasa utathibitisha vipi kuwa sio mkristo mtu huyo?
 
Nikweli hata ukiwaangalia waislamu wengi wanaambiwa wabebe mabom na kuua watu ndio watauona ufalme Wa mbingu nao wanakubali, utakuta mwislamu mzima anamchinja mwenzake kisa tu kaambiwa akiua ataenda mbinguni
yawezekana sijakuelewa mleta mada, unaposema devil worshiper unamaanisha nini. Manake wengi wao IQ zao zinakuaga na shida. Imagine mtu anamtoa kafara mzazi au mtoto wake, au anapewa sharti la kulala na mwanae na wanafanya. Acha wale anakua na hela lakini anaambiwa asilale kitandani ukiwaza haya bora hata hao waislam na wakristo wanaofundishwa kuishi kwa upendo
 
Ushahidi upi tena ?

Kwani kibwetele humjui ?

Na hilo sakata la waumini kunyweshwa dettol nalo ni geni masikioni mwako?

Sasa hizo kwako ndiyo IQ kubwa, ndiyo maana nimesema wewe utakuwa na akili kubwa sana, tena sasa umenidhihirishia ni kupita kiasi.

Una IQ kubwa sana. Uzidishiwe.
 
yaani hapa ndo mnazidi kuonesha uwezo wenu mdogo wa kufikiri

Sasa mtu yupo kanisani anasali kila siku na matukio yote hayo yanatokea ndani ya kanisa sasa utathibitisha vipi kuwa sio mkristo mtu huyo?
Hata wewe kesho unaweza kuamka na kuchukua Bible ukatafuta jengo na kuanza biashara yako na kupata wafuasi wengi tu kutoka background tofauti wengine watakua Christians, Muslims, pagans etc kuendana na unachowapa sasa hapo hatutawanyooshea kidole wakristo bali jamii nzima sababu pale wapo multicultural from different religions.

Kwani walioenda kunywa kikombe Loliondo walikua wakristo peke yao?
 
Hivi kwa nini devil worshippers wengi wana uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kucheza na mind za watu kiasi kwamba wanaweza kukuaminisha uwongo kuwa ukweli ?

Christians wengi wana akili ndogo sana kiasi kwamba wanachoambiwa na viongozi wao wa dini wana fuata bila kuhoji, kwa mfano kesi kama ya kibwetele alipo waambiwa waumini wake wagawe mali zao zote yesu anakuja kuwachukuwa na waumini hawakumbishia matokeo yake aliwafungia na kuwachoma moto

Au kuna juzi juzi tu kuna kiongozi wa dini alikuwa anawanywesha wafuasi wake dettol kama sehemu ya ibada

Mkuu yaani unashindwa kujua kuwa Kibwetele naye alikuwa devil worshiper?

Jibu ni rahisi tu, nalo ni kuwa wapo Wachungaji wengi tu ambao ni devil worshipers, tena maarufu na wenye sifa kwa waumini wao. Hivyo usishangae kwa nini waumini wanadanganyika.

Sababu nyingine ni waumini kutotaka kusoma Neno ka Mungu na kulijua, wanafurahia matokeo tu na miujiza ya haraka na mafanikio.

Vv
 
Hivi kwa nini devil worshippers wengi wana uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kucheza na mind za watu kiasi kwamba wanaweza kukuaminisha uwongo kuwa ukweli ?

Christians wengi wana akili ndogo sana kiasi kwamba wanachoambiwa na viongozi wao wa dini wana fuata bila kuhoji, kwa mfano kesi kama ya kibwetele alipo waambiwa waumini wake wagawe mali zao zote yesu anakuja kuwachukuwa na waumini hawakumbishia matokeo yake aliwafungia na kuwachoma moto

Au kuna juzi juzi tu kuna kiongozi wa dini alikuwa anawanywesha wafuasi wake dettol kama sehemu ya ibada
Unatushangaa nini sie Wakristo wakati muasisi wa imani yetu (Kristo mwenyewe) alisema "msipokuwa kama watoto wadogo hamuwezi kuurithi ufalme wa mbinguni." Mtoto ni mnyenyekevu na hana muda wa kuhojihoji mambo kama wewe Devil Worshopper unayejinasibu kuwa na IQ kubwa. Akili nyingi huondoa maarifa. Kalagabahoop
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom