Hivi kwanini devil worshippers wengi wana IQ kubwa kuliko Muslims/Christians?

Huyu anayejiita HR 666 kama kweli amedhamiria kuwa mpinga kristo namuomba afanye alivofanya kwenye Uzi wake. Mkimsikia anaishi tena basi mtambue huyu MTO ni mpinga Kristo kweli ila kama anabeep atakiona
 
Hivi kwa nini devil worshippers wengi wana uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kucheza na mind za watu kiasi kwamba wanaweza kukuaminisha uwongo kuwa ukweli ?


Christians wengi wana akili ndogo sana kiasi kwamba wanachoambiwa na viongozi wao wa dini wana fuata bila kuhoji, kwa mfano kesi kama ya kibwetele alipo waambiwa waumini wake wagawe mali zao zote yesu anakuja kuwachukuwa na waumini hawakumbishia matokeo yake aliwafungia na kuwachoma moto


Au kuna juzi juzi tu kuna kiongozi wa dini alikuwa anawanywesha wafuasi wake dettol kama sehemu ya ibada
Wale wanatumia nguvu za Giza wanakuondolea ufahamu kwanza kwa kukujaza mapepo,hafu unakuwa unawatii kwa kila jambo.
 
Mi naamini wale jamaa wanaowachinja wanadamu wenzao kama kuku mungu wao ni shetani hapo hakuna mjadala hats Biblia imesema mapema kabla ya dini ya shetani haijawepo kuwa watakuja watakao waua wenzao wakidhani wanamtolea Mungu sadaka.kwa hiyo angalia usidhani umesimama kumbe uliisha anguka.
 
Nikweli hata ukiwaangalia waislamu wengi wanaambiwa wabebe mabom na kuua watu ndio watauona ufalme Wa mbingu nao wanakubali, utakuta mwislamu mzima anamchinja mwenzake kisa tu kaambiwa akiua ataenda mbinguni
Hivi ni kweli wanaenda kupata mabikra mbinguni
 
Mbona unaidhihaki dini ya kikristo tu? Hapo hujawatendea haki si kila atakaye litaja jina la Yesu atauona ufalme wa Mungu.
Pia unatuambia nn kuhusu alqaida vs Muslim, alshabab vs Muslim na ISS vs Muslim .Je ni halali kuuhusisha uislam na makundi haramu ya kigaidi? Mm naona hatuwezi tukafanyaivo bc kama ni ivo hatuwezi tukasema watu wa dini fulani wana IQ ndogo
Watu hushiriki kwenye uovu fulani huku wakitumia mwavuli wa taasisi ilotukuka.
Mheshimiwa nakushauri usihuzunike na maneno ya mtoa mada maana hufahamu wake ndipo ulipoishia, neno devil's worshipers sio dini kiswahili ni waabudu shetani ni mtu yeyote wa dini yeyote anaweza akawa Christian au Islam au hata Pagan lkn ana amini vitu vimuhusisho Shetani let say wewe ni Christian au Islam lkn unaenda kwa waganga ktk harakati zako za maisha mnapunga mashetani then unapewa Hirizi ya kukukinga you are Devil worshiper my friend! Hata zile secret societies ambazo tunaziita Satanic ,members wake ni watu kutoka kwenye madhehebu na dini zetu tena waumini wazuri na wenye misaada sana kwa jamii ila kuna imani nyingine ya ziada wanaifanya ili kugain power and prosperity!
 
Huyu anayejiita HR 666 kama kweli amedhamiria kuwa mpinga kristo namuomba afanye alivofanya kwenye Uzi wake. Mkimsikia anaishi tena basi mtambue huyu MTO ni mpinga Kristo kweli ila kama anabeep atakiona
Aisee kumbe mkuu ulikuwa unataka kunitoa kafara



Ha ha ha ha ha


Mimi mtoto wa ujinini mkuu


Nayajua ya duniani na ya ujinini


Kwa hilo umefeli
 
Nikweli hata ukiwaangalia waislamu wengi wanaambiwa wabebe mabom na kuua watu ndio watauona ufalme Wa mbingu nao wanakubali, utakuta mwislamu mzima anamchinja mwenzake kisa tu kaambiwa akiua ataenda mbinguni
Wanafanya hayo pamoja na kuwa na IQ kubwa!! Aisee!
 
Hivi kwa nini devil worshippers wengi wana uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kucheza na mind za watu kiasi kwamba wanaweza kukuaminisha uwongo kuwa ukweli?

Christians wengi wana akili ndogo sana kiasi kwamba wanachoambiwa na viongozi wao wa dini wana fuata bila kuhoji, kwa mfano kesi kama ya Kibwetele alipo waambiwa waumini wake wagawe mali zao zote Yesu anakuja kuwachukuwa na waumini hawakumbishia matokeo yake aliwafungia na kuwachoma moto.

Au kuna juzi juzi tu kuna kiongozi wa dini alikuwa anawanywesha wafuasi wake dettol kama sehemu ya ibada.
MKUU Mara nyingi watu wasio fuata dini zenye sheria na mipaka ya kufikiri uwa wanafikiria behind the limit kwaiyo ni nafuu kwao katika kugundua na kuvumbua mambo makubwa na magumu
 
Back
Top Bottom