Hivi kuna wanandoa wanasex every day?

Hivi kuna wanandoa wanasex every day?

Uhalisia ni kuwa huwezi kusex siku zote eti unaacha siku za hedhi tu??!!!!...nimeshangaaa sana..kama wanandoa hasa wanaume tunafanya hivi basi mjue wazi kuwa huyo mkeo hafurahii ladha ya sex badala yake anafanya tu kwa kuogopa atakukwaza ila kinyume chake unamkwaza yeye ..na ukitaka kuamini mwambie kuwa unasafiri uone anavyofuhi moyoni ili tu apate kupumzika...miwe manafanya hivyo wakuu mtaharibu ndoa zenu..
Angekuwa anakereka/hafurahii angerudi kwao vinginevyo Ana matatizo ya Akili ndio maama anang'ang'ania
 
Kuna kitu kinaitwa hisia au hormone kama sikosei!! Kusex Mara nyingi inategemea na homorne zenu zikoje!! Kuna wanawake wenye hormen chanya na hasi hali kadhalika na wanaume pia!! Sasa ukampata mwanaume mwenye chanya nawe hasi ndo tatizo la kutoka nje ya ndoa linapoanza hali kadhalika ukawa na mke mwenye chanya nawe ni hasi hapo tegemea kushare na MTU mwingine maana hamtatoshelezana na katika mahusiano ni lazima umjue mwenza wako hormone zake ni hasi au chanya vinginevyo utakuja lalamika hapa kuwa hakutoshelezi au anataka sex Mara kwa Mara
 
Hahahhhhhh firstly love chemistry yenu ikoje.....mko attracted to each other???? ......then man unashiba?? Unakula libido food??? Unampa mamito maneno mzr????

Nb...men are sex oriented andgirld are romantic.....
 
Kuna kitu kinaitwa hisia au hormone kama sikosei!! Kusex Mara nyingi inategemea na homorne zenu zikoje!! Kuna wanawake wenye hormen chanya na hasi hali kadhalika na wanaume pia!! Sasa ukampata mwanaume mwenye chanya nawe hasi ndo tatizo la kutoka nje ya ndoa linapoanza hali kadhalika ukawa na mke mwenye chanya nawe ni hasi hapo tegemea kushare na MTU mwingine maana hamtatoshelezana na katika mahusiano ni lazima umjue mwenza wako hormone zake ni hasi au chanya vinginevyo utakuja lalamika hapa kuwa hakutoshelezi au anataka sex Mara kwa Mara
Kaka/dada natafta kitufe cha likes 15 sikuoni. Ni kweri kabisaaa....mimi uwa hamu ya kulala na mwanaume inapanda kwa msimu, sina mhemko!
 
Nipe namna mkuu
Kubadilisha namna ya tendo mnavyofanya kuanzia jinsi mnavyoanza na kuandaana mpaka mnapofikia kuanza tendo. Mfano unaweza kuanzia kuandaana mpaka mnaanza kula tunda mnakua mmesimama tu hivyo mnaweza kufanyia hata kichochoroni au sebuleni.

Kua open minded, jaribu vitu vipya mkiwa faragha akivileta vyake mpe ushirikiano usimuone malaya, kama unavipinga unatoa sababu za msingi na chako akikipinga kwa sababu za msingi unaachana nacho. Mfano mnaweza fanya kuridhishana kwa kutumia midomo tu siku hiyo (oral sex).

Kubadilisha eneo la tukio kunasaidia pia, kama huna uwezo wa kumpeleka uwanja wa ugenini (ila siamini kama hauna 15000 ) badilisha hata mandhari ya chumba kwa kukipamba au kubadilisha kitanda kinapokaa na mashuka.

Kama unaishi nyumba yenye uzio tukio litokee popote.

Kusex kusiwe na ratiba.

Katika yote haya ufunguo wa msingi ni mawasiliano kati ya mwenza na mwenza, utajua anavyojisikia na vipi unaweza kuplay part ya hiko anachojisikia.

Surprises za hapa na pale siyo dhambi, text za hapa na pale pia zitakua poa.

Jaribu kujua ikiwa dirty talking inamsisimua mtu wako, inaweza kusaidia sana.

Yale mawazo ya kidume kwamba ub00 ni suluhisho la kila kitu itabidi uyaache.
 
Wachangiaji wengi mtakuwa si wanandoa au ndoa zenu changa sana.....
 
Wachangiaji wengi mtakuwa si wanandoa au ndoa zenu changa sana.....
Kwanini maana mie ndoa yangu inamiaka7 sasa kwani kua na ndoa changa ndo kunasababisha kugongana Mara kwa Mara au ninachojua Mimi mume au mke usimpende kimazoea maana mazoeamwisho wa siku mnazoeana na kuzoea hata wakati wa kupeana tendo
 
Back
Top Bottom