Hivi kuna wanandoa wanasex every day?

Hivi kuna wanandoa wanasex every day?

Off course ni kukosa kazi na kulengesha akili zetu kuwa tumeoana kwa ajili ya hilo tukio, to me na mwenzi wangu hakika ni hapana! Tunafanya ndio lakini si kila siku kama mfanyavyo nyie
Sababu kuu hatutaki kuchokana, kila siku kubinuana mwisho ubunifu huwa 0, lazima kuna mmoja wenu atafanya kama wajibu wake lakini hatofanya kama haki yake, muwe mnapeana muda hata wa siku 3-4-5 ziwe siku za kisses na romance tu wakubwa sio kila siku kulima shamba ardhi nayo inachoka mwisho huisha rutuba
Mimi hyo romance ndo ugonjwa wangu lazima niombe kumalizia hata b,,j,,o,,b itahusika
 
Sijaoa nilikaa na nwanamke miezi mitatu show ni usiku na asubuhi kila siku nilipata ajali kidogo na pikipiki nikachubuka kidogo nyuma ya mkono ndo nikapumzika kama wiki ivi baada ya hapo wembe nj uleule.aliniambia kachoma sindano
 
Hahahahaha vipi kama nikikwambia kua ule mchemsho wa mgahawani ndiyo unakufanya uendelee kuona wali maini wa nyumbani ni mtamu?
Hapana mkuu. Huyu wa nyumbani pamoja na sababu nyingine. Mojawapo nilimtoa kwao ili aje achezee gia. Kila siku(kutoa zile Apollo tu). Au labda mpaka injini ikizima uzeeni.

Hao wa mchemsho ninatoa humanitarian aid. Wasije wakakosa(tuko wachache)
 
Off course ni kukosa kazi na kulengesha akili zetu kuwa tumeoana kwa ajili ya hilo tukio, to me na mwenzi wangu hakika ni hapana! Tunafanya ndio lakini si kila siku kama mfanyavyo nyie
Sababu kuu hatutaki kuchokana, kila siku kubinuana mwisho ubunifu huwa 0, lazima kuna mmoja wenu atafanya kama wajibu wake lakini hatofanya kama haki yake, muwe mnapeana muda hata wa siku 3-4-5 ziwe siku za kisses na romance tu wakubwa sio kila siku kulima shamba ardhi nayo inachoka mwisho huisha rutuba
Haaaaaaaaa mbavu zangu
 
Dahh mkuu umenigusa!!!! eti napewa kalenda siku hzi wakti mwanzo alikuwa anaanzisha yy match kila nikirudi kazini na kabla cjaenda kazini,,
Hv hii kitu haina dawa kweli? wanasingizia wanachoka nabaki najiuliza unachoka nn ikiwa upo nyumbani? je mm ninae amka saa 11 naanza kugombana na makondakta na kurudi hvo hvo nisemeje?
Mwishoni ananipa kiunyonge hata siinjoy khaaaaa,,haaa
Dawa ipo, pindua ratiba nzima. Hata kwenda naye lodge na kulala huko siku mbili inasaidia.
Kusex kiratiba na kupindishwe, pia fanyia kazi huo uchovu wake.
 
Hapana mkuu. Huyu wa nyumbani pamoja na sababu nyingine. Mojawapo nilimtoa kwao ili aje achezee gia. Kila siku(kutoa zile Apollo tu). Au labda mpaka injini ikizima uzeeni.

Hao wa mchemsho ninatoa humanitarian aid. Wasije wakakosa(tuko wachache)
Hongera sana isingekua unywaji wako wa supu migahawani ningesema kua uko na uhusiano imara wa kingono na mkeo.

Toa hizo supu kwenye equation kisha maintain hiki kitu na wife, halafu anzisha thread ni kwa vipi umeweza kufika hapo. Utakua umesaidia wengi sana.
 
Watu wanaosex kwa huu mtindo hua wanakua na uhusiano wa kingono imara na wenye afya.

Wale kusex ni kitandani na mitindo ni doggy na missionary wanakaribisha tatizo.
Ila changamoto ya style hzi za kungonoka wakija wageni au mmeoata mtoto ambaye atahtaji dada wa Nazi za ndani
 
Ila changamoto ya style hzi za kungonoka wakija wageni au mmeoata mtoto ambaye atahtaji dada wa Nazi za ndani
Ikifika hatua hiyo, siku moja moja show inaenda kupigwa ugenini hata siku mbili mkibaki ugenini zinatosha.
 
Ukiwa na mke potabo mwenye needed figure easy to handle unaweza ukawa unafanya kila siku ila bonge unaweza muua bure nawe ukaishia kunyea debe.
kwanza mabonge wenyewe hawapendi mechi za kila siku.
 
Ata shamba baada ya mavuno linapumzishwa kwa ajili ya msimu mwingine wa kilimo
 
Back
Top Bottom